Unataka taja hovyo USA kila swala la Iran. Lakini ukweli ni kwamba Iran hamuwezi USA hata kidogo. Domo tu ndiyo anachoweza USA kubwa Sana kwa iranIran naye ni mwendawazimu kama wao na Israel wanajua hilo!
Yaani viongozi wa Iran ni Netanyahu mara 2 yake na ndiyo maana US anaenda kwa step.
Tusubirie tuone Israel watakushangaza na mtazamo wakoHuwezi kurusha bunker buster kwenye nchi yenye air defenses, bunker buster ni free falling bomb, inabebwa na bomber kama F35, B52 n.k, Tel Aviv inaweza kujibu kwa missiles za masafa.
Kumbuka Iran walishakamata drone ambayo ni stealth rq 170 sentinel ambayo ilitumika kumtrack Osama Pakistan...
Usitegemee bomber kuingia Iran ...
Anaondoka Ayatollah misikitini jiandaeni kutungua vilioUnategemea kwamba Netanyahu atakuwa hai ?
Unaifahamu nafasi ya Ayatollah Iran ?
Licha ya kumuelekeza hivyo unadhani atakuelewa?Huwezi kurusha bunker buster kwenye nchi yenye air defenses, bunker buster ni free falling bomb, inabebwa na bomber kama F35, B52 n.k, Tel Aviv inaweza kujibu kwa missiles za masafa.
Kumbuka Iran walishakamata drone ambayo ni stealth rq 170 sentinel ambayo ilitumika kumtrack Osama Pakistan...
Usitegemee bomber kuingia Iran ...
Hivi ni ujinga au utoto ?Anaondoka Ayatollah misikitini jiandaeni kutungua vilio
Wanawake wa Iran wakitaka kumpindua kupinga kuvaa hijabu baada ya.ya msichana mahsa kuuawa na askari wa dini kwa kugoma kuvaa hijabu na kujirusha mitandaoni bila hijabu
Mziki uliofuata wairani walianza kuchoma picha za Ayatollah mitaani na kushambulua askari wa dini wasimamia Sharia law mitaani na kuchoma magari yao nchi nzima ukiongozwa na vijana na wanawake
Ayatollah kwa kuogopa kupinduliwa aliondoa askari wote wa dini mitaani Iran sasa hivi hawako mitaani askari wa dini wasimamia sharia Kuvaa hijabu sasa hivi ni hiari uamuzi wa mtu mtu tu
Sasa kaparamia Israel lazima aondoke sio hiari kijeshi atavurumishwa na ndani upinzani utamvurumisha
Nasrallah washauwa kule HezbollahPole walinazi wape salam shoga nasrallah, shoga haniya, shoga ibrahim rais na yule shoga wenu yahya sinwar
Myahudi hanaga kazi mbovu ukijipendekeza kwake anakuwahisha kwa ibilisi akakupididy
Bila kusahau yule kamanda wao mkuu cjui qusen,pamoja na wale wataalam wa nuclear,vchwa vililiwa na myaudiIDF waliwahi kumuua Kiongozi wa Hamas Ismael Hamiyeh kwenye Kasri la Kiongozi Mkuu wa Iran, huko Tehran. Hamiyeh alikwenda Iran kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais mpya wa Iran.
Iran watachezea kichapo kuanzia Ayatollah Hadi mfagizi. Kwa sasa waandae sehemu ya Maziko ya HALAIKIHata huyo aliye kufa hakutakiwa kufa kwasababu Iran lengo lake halikuwa kuuwa raia.
AhaaUtashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele.
Kisayansi hii tunaiita WORK DONE = 0
Makombora zaidi ya 200 ambayo Iran imefyatua kuelekea Israel hakuna Muisrael hata moja aliyuawa,
Mtu pekee alieuawa ni Mpalestina moja kwa jina la "Sameh Al Asali," baada ya moja ya kombora kulipukia eneo la Palestina
Ni zamu ya Israel kujibu na wao kawaida yao huwa wanalenga zaidi viongozi.
Tutegemee kelele za vilio vya Free Iran na Cease Fire ??
Wewe ni Mchina wa Dumila 🤣.Israel haihitaji msaada wa Marekani kuipiga Iran. Inachangia kama support tu. Ni sawa na rafiki yako tajiri awe na harusi ya binti yake umchangie kwa upendo ila haimaanishi usipochanga harusi inadoda au bila michango harusi haifani.
China haifanyi maamuzi kwa akili za kukurupuka.
Hudhani inaweza kuwa ni kwa hisani ya mbeleko ya beberu?Bila kusahau yule kamanda wao mkuu cjui qusen,pamoja na wale wataalam wa nuclear,vchwa vililiwa na myaudi
Hahaha sasa kama hayo makombora hayajawadhuru kama unavyoreport ndugu kinachowaghazibisha ni nini we hujiurizi hilo ndugu
Iran ipi unaongea hii ambayo Israel wameua raisi wao na makamanda kibao wa Iran ndani ya Iran na nje?Narudia kukwambia Iran sio Iraq.
Huwezi ishambulia kiwepsi hivyo.
Pia Iran kiutafiti wa CIA inaonesha kila mkoa kuna tunnel ya ballistic missiles.
Iran sio Iraq.
Hata kama,lakn teknolojia ilio tumika ni ya myaud,mbona hata Iran anasaidiwa sana kwahyo Israeli nae akipata saport sio mbaya kikubwa lengo litimie, hakuna gaidi kuachwaHudhani inaweza kuwa ni kwa hisani ya mbeleko ya beberu?
Nani aende huko akafe...😂