Unataka taja hovyo USA kila swala la Iran. Lakini ukweli ni kwamba Iran hamuwezi USA hata kidogo. Domo tu ndiyo anachoweza USA kubwa Sana kwa iranIran naye ni mwendawazimu kama wao na Israel wanajua hilo!
Yaani viongozi wa Iran ni Netanyahu mara 2 yake na ndiyo maana US anaenda kwa step.