Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Kweli we Maamuma huna hata haya hizo manati zimeua wangapi hapo Israel?
Uharibifu upi wa maana umeletwa na hizo manati umekaa sebuleni kwa shekh walinazi unasikiliza radio imaan ndo unakuja kuleta habari zake hapa
 
Ya kwamba unategemea Aljazeera waende kwenye vituo vya kijeshi vya Israel vilivyo shambuliwa warekodi madhara?
Kwani wewe makambi ya kijeshi walioshambuliwa umeyaonaje?.
 
sasa makombola yote ndo yaue watu sita, you are stupid just wait and see israel response
 
Hivyo vi manati Ma ayatollah wanavirusha vinadakwa kama matango
Ni kama firecrackers zile wanazofyatua washabiki kwenye viwanja vya soka. Iran na Ayatollah wao aliyezeeka wanaamua kufyatua hivyo viripuzi visivyokuwa na mwelekeo ili kuwaridhisha raia wao na kuondoa aibu kumbe hakuna kiru pale. Vilikuwa 180 tu na almost 98% vyote vimedakwa angani na IDF pamoja na US kwa usaidizi wa Meli za kivita za Marekani 2 zilzokuwa baharini Mediterranian zikingojea na kuwa tayari kuingilia kati. Huyo midevy Ayatollah asubilie response safari hii hakuna kujizuia atapata full response aulizie Makombora ya Tom Hawks yanavyofanya kazi yatakaporushwa kutoka Meli za kivita za Marekani . Yale yako guidedn na yanapinpoint targts zake 99%. Aulizie Ali Bashir yalichofanyia pale Port Sudani yalipovurumishwa toka baharini alipokuwa akituhumiwa kumuhifadhi Osama. We just wait and see. US ni baba yao hapa duniani. No question !
 
See how dunderhead you are.
Iran's aim was striking millitary infrastructures and not otherwise.
Iran intended to strikes on millitary.
 
nyie wavaa makabazi sijui mnaakili gani
 
Hatimae baba yao kajitokeza baada ya kuona watoto wanakula kichapo kila mara. Ngoja tuone kama yeye atafua dafu.
Huyo anajitutumua tu hakuna kitu pale. Aligana Vita miaka 8 na Iraq ya Sadam Hussein na wala hakuweza kufua dafu, sembuse kwa IDF na baba lao US . Atapata kichapo anachokitafuta na wataanza na hivyo vituo vyake vya kusafisha mafuta hapo pwani na mji mkuu wake wa Tehran. Vitatumwa vidude visivyokosea shabaha tokea angani na baharini na hana ubavu wa kuzuia kam wa IDF na US. Hizo ant-air defece system za kizamani za Urus za S-200 hazitamsaidia kitu.
 
WW III
Here we go!!!
Kabisa. !
Watu wanacharurana wanadhani hii ni kama Simba na Yanga πŸ˜³πŸ™„πŸ™

Hii ngoma wataingia waliokuwemo na wasiokuwamo !
Ukraine vs Russia
Israel vs Iran
The Super Powers are gonna split and take sides !!πŸ˜±πŸ™Œ
 
Kabisa. !
Watu wanacharurana wanadhani hii ni kama Simba na Yanga πŸ˜³πŸ™„πŸ™

Hii ngoma wataingia waliokuwemo na wasiokuwamo !
Ukraine vs Russia
Israel vs Iran
The Super Powers are gonna split and take sides !!πŸ˜±πŸ™Œ
Hebu sahihisha hapo kwenye Super powers. Hakuna Super Powers any more hapa duniani kwa sasa, kuna SUPER POWER mmoja tu. Kama unajua maana ya Superpower na sifa za kuwa super power nadhani utaelewa. Alibakia mmoja tu baada ya USSR kubomoka. Nielewe ninachomaanisha kama unajua maana yake.
 
Self destruction process. Utawala wa Iran unataka kujimaliza.
Hata hivyo ulishafail siku nyingi kwa wananchi wake. Ni kelele za chura. Pona yao ni kwamba Trump hajaingia Ofisini, sasa hivi ma B52 yangekuwa ngani na tayari yameisha wanyea vitu pale Tehran na kwnigineko Irani. Pia Navy destroyers za US tokea baharani zingekuwa zimeisha achia Tom Hawks na kunya moto pwani yote ya Irani na hivyo vimtimbwi vyao vyo mbao vingekuwa vinawaka moto sasa hv. Hata hivyo mzee Biden ameaonyesha atajibu.
 
Kwa kilichotokea leo sidhani kama kutakuwa na Iran 2026 lazima avamiwe na apigwe kweli kweli, leo hatuna Sadam wala mwarabu anayenyanyua mdomo kwa Israel, ukweli sipendi anayopiga watoto lakini mbabe sana sana sana na ana uwezo wa silaha na idadi ya wanajeshi kama urusi sijui dunia ingekuwajeÉ
 
Mwenye ICBM nyingi zenye kubeba vichwa vya Nyuklia ni RUSSIA πŸ‡·πŸ‡Ί na ya pili ni USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ πŸ˜³πŸ™„ !
 
Mwenye ICBM nyingi zenye kubeba vichwa vya Nyuklia ni RUSSIA πŸ‡·πŸ‡Ί na ya pili ni USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ πŸ˜³πŸ™„ !
Suala siyo idadi ya Vichwa, cha muhimu ni ukubwa( destructive force capacity) na uwezo wa delivery system ya hizo ICBM to the intended targets. USA is far better on both .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…