Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Sijui uko dunia gani. Marekani Hana makombola yenye masafa 2000 km?
Kipindi cha bill Clinton, kombola lilirushwa kutoka USA hadi Libya kwa Ghadaffi. Ulikuwa umbali gani huo.
Achana nae huyo hajitambui.
 
Biblia sio kitabu cha kidini. Biblia ni Neno la Mungu lililoandikwa na Roho wa Mungu. Na Biblia inawahusu watu wote (pamoja na wewe)

YESU NI BWANA&MWOKOZI

Kwa hiyo uko kiimani zaidi ndugu.

Hata hivyo umejiuliza kama Kuna player yeyote kwenye kadhia hii; yaani Natenyahu au mayahudi, Palestina, Iran, Hezbollah, HAMAS, Lebanon, UN, NATO nk anaye kubaliana nawe kwenye maono yako?

Hizi za kwenu na kina matunduizi (watumishi) si tulikubaliana mpeleke kwenye majukwaa yenu ya dini huko?
 
mkuu, kila jambo duniani ni kwa Imani. Na Imani huja kwa kulisikia na KULIELEWA NENO LA MUNGU.

swala la Israeli kupigana vita halijaanza leo. waliingia Kanaani kwa njia ya vita wakitokea utumwani Misri. Israeli wamezungukwa na maadui pande zote tokea enzi hizo za Kale.

hakuna jambo Jipya duniani.
 
Hata Hayati Saddam Hussein naye alipoanza kushambuliwa na wamarekani alirusha makombora Israel, yaani wafuga majini sijui Israel kawakosea nini mpaka watake kuwamaliza duniani na hawatoweza.
 
Mimi siwez bisha japo kila mtu anajua wamarekan wapo kujisia sana kama yapo ampe muisrael nae ayaveshe tehran ili tuone vita sababu yy alisema Israel aitowai shindwa juzi juzi tu pale UN na kasema anaweza shambulia ata Iran so tunasubilia aidha yeye mwenyewe USA apige au muisrael sababu tunaambiwa asala ya jana ni tumuch ndege nyingi za f-35 zimeunguzwa kabisa n mengine mengi. Nyumba wanapokaa wasomi mambo ya jesh la anga zipo mqjivu jamaa waliambiwa wakatoleshe ndege kwenda kisiwa cha Cyprus wakawaiwa na viuma Leo yumkin utosikia gaza kumewaka moto. Wairan sio watu wazuli mjomba. Tramp na tim yake ya ulinzi wanakosa amani na wairan wanawajua nyoko.
 
mabom yamedondoka mengi sana na kuidhuru Israel, though vyombo vya habari vinaficha ukweli huu. pia, hakuna raia wa Israela mekufa, kwasababu nyumba zao zote zina shelters (mahandaki chini) hivyo majengo ndio yameumia. hapo unaona wenzetu wanavyojali raia wao. walipoona rockets tu wakaagiza kwa njia ya mitandao ya simu n.k watu wakimbilie kwenye shelters na hakuna aliyekufa.

the worse side of it, wapalestina hawapo kwenye database ya kupewa taarifa, wengi hawakiuwa na taarifa na nyumba zao westbank hazina shelters. niliwaonea huruma jana walipata shida manake hawaelewi kinachoendelea.

Israel na USA Watampiga pabaya sana. sasaivi nimeona wamepoint maeneo muhimu kama kile kisiwa chao kinachozalisha mafuta 99% ya Iran, Kituo cha kuzalisha umeme, Nuclear cites wanakojaribu kutengeneza bomb, na radar zao, na kuua viongozi wa Iran, ayatola sasaivi hatoki nje ya handaki kabisa.

Nijuacho, kwenye suala la mafuta, Marekani atafanya juu chini kuishawishi Israel wasipige kisiwa cha mafuta kwa sababu wanaona itavuruga uchumi wa dunia sana, ila cite ya nuke enrichment watapiga, na vituo vya umeme unaotegemewa. kuna uwezekano vita ikawa kubwa sana.

Iran anaogopa sana hii vita kwasababu anajua Marekani tayari alishajiandaa na yupo karibu na alimwahidi kwamba sifanye alichofanya jana. Iran ambao ni shia, wanajua hawana mtetezi, wapo peke yao. Russia atawaambia yupo nao ila huwa anaongea maneno tu hatoagi msaada (angalia syria aliwaahidi ila sasaivi ni failed state), china huwa anaongea tu ila hawezi kumsaidia kivita iran, North Korea hana uwezo kumsaidia. nchi zingine zote za kiislam haziwezi kumsaidia Iran kwa sababu ni adui yao kidini na Iran huwa anawatishia. wasuni wengi wanapenda iran apigwe.

why nasema anaogopa? utasikia jana, baada ya kupiga, amesema "nimeshapiga na sina mpango kuendelea kupiga" manake anaonyesha ulimwengu kwamba ameshajirudishia ila hana mpango wa kuendelea na vita, anataka kusema kwa sababu amejirudishia Israel nayo itulie isilipize. Ukweli ni kwamba Marekani, Israel, UK, france na magharibi wana uwezo mkubwa sana kumpiga Iran wapendavyo, na sasaivi inaweza kutokea.
 
Wataalamu wa Vita wa Kinondoni Mkwajuni, Kijiwe Samli na Malamba Mawili uwanja ni wenu
Na tumeanza tayari na "Mungu ibariki Israel" uzuri sie wa Malamba mawili vita ikihusisha Israel tu huwa tunatumia hisia kutoa conclusion kuliko factor zingine. Nunua popcorn ufuatilie tunaendea kutiririka
 
Talking a lot of trivial issues.
It is MILLITARY INFRASTRUCTURE NOT OBJECTS YOU FOOL.
Go and look on social media platforms you will see how Nevatim air base was damaged.
 
Kobazi hiyo haiwezi kukuelewa ni nyepesi kuelewa alkasusu na bikira 72.
 
Ninawaza,, tu. Israel akiona anazidiwa, akaamua kutupia nuclear hapo Tehran,, Irani, kama USA alivyotupia Atomic kule Hiroshima Japan 1945 dunia itakuwaje ? Madhara ya hiyo nuclear kimazingira yatasambaa kiwango gani ?
Inatakiwa itupwe Ile ambayo dunia mzima ipate madhara ili wajue kushabikia vita utamu wake ndiyo huu
 
Kawahi bikira 72 Tena uzuri kawaishwa na Iran. Well done
 
Na Ile iliyomuua mtembea na miguu barabarani ni military pale? Acheni ushabiki maandazi. Wayahudi wengi hawajafa sababu walikua wamepata tahadhari na kuingia kwenye maandaki.fatilia vizuri
 
Mkuu nafurahishwa Sana na analysis zako za silaha
Hongera kwa uchambuzi makini
Jf ikupe Medali ya uchambuzi wa masuala ya silaha za kivitaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Pia jamaa aliyemjibu naye si haba
Nafuatilia madini haya taratibu kabisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Propaganda zime fail vibaya sana kila mtu kaona kuficha ime shindikana ivyo imebidi wajivike u zombie kusema walio kufa ni wale wale Palestina. Syria na iran wenyewe dah muajemii sio mtu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Attachments

  • GY1mSHlXEAASSjn.jpeg
    27.1 KB · Views: 1
Malipo gani? Mbona Iran iliichapa Israel mwezi Aprili na Israel haikufanya chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…