Oct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa IRGC (lslamic Revolution Guard Corps) ikithibitisha kuwa "makumi" ya makombora yamerushwa kuelekea Israel, na kutishia shambulio jingine iwapo Israel itajibu.
Iran inasema shambulio hilo la makombora ni la kulipiza kisasi mauaji ya mwezi Julai ya kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh, pamoja na kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, siku ya Ijumaa - na kwa mauaji ya watu wa Lebanon na Wapalestina.
Inasema jeshi lake la anga lilikuwa limeazimia kulenga "kambi muhimu" na litatangaza maelezo baadaye.
Soma: Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin
mabom yamedondoka mengi sana na kuidhuru Israel, though vyombo vya habari vinaficha ukweli huu. pia, hakuna raia wa Israela mekufa, kwasababu nyumba zao zote zina shelters (mahandaki chini) hivyo majengo ndio yameumia. hapo unaona wenzetu wanavyojali raia wao. walipoona rockets tu wakaagiza kwa njia ya mitandao ya simu n.k watu wakimbilie kwenye shelters na hakuna aliyekufa.
the worse side of it, wapalestina hawapo kwenye database ya kupewa taarifa, wengi hawakiuwa na taarifa na nyumba zao westbank hazina shelters. niliwaonea huruma jana walipata shida manake hawaelewi kinachoendelea.
Israel na USA Watampiga pabaya sana. sasaivi nimeona wamepoint maeneo muhimu kama kile kisiwa chao kinachozalisha mafuta 99% ya Iran, Kituo cha kuzalisha umeme, Nuclear cites wanakojaribu kutengeneza bomb, na radar zao, na kuua viongozi wa Iran, ayatola sasaivi hatoki nje ya handaki kabisa.
Nijuacho, kwenye suala la mafuta, Marekani atafanya juu chini kuishawishi Israel wasipige kisiwa cha mafuta kwa sababu wanaona itavuruga uchumi wa dunia sana, ila cite ya nuke enrichment watapiga, na vituo vya umeme unaotegemewa. kuna uwezekano vita ikawa kubwa sana.
Iran anaogopa sana hii vita kwasababu anajua Marekani tayari alishajiandaa na yupo karibu na alimwahidi kwamba sifanye alichofanya jana. Iran ambao ni shia, wanajua hawana mtetezi, wapo peke yao. Russia atawaambia yupo nao ila huwa anaongea maneno tu hatoagi msaada (angalia syria aliwaahidi ila sasaivi ni failed state), china huwa anaongea tu ila hawezi kumsaidia kivita iran, North Korea hana uwezo kumsaidia. nchi zingine zote za kiislam haziwezi kumsaidia Iran kwa sababu ni adui yao kidini na Iran huwa anawatishia. wasuni wengi wanapenda iran apigwe.
why nasema anaogopa? utasikia jana, baada ya kupiga, amesema "nimeshapiga na sina mpango kuendelea kupiga" manake anaonyesha ulimwengu kwamba ameshajirudishia ila hana mpango wa kuendelea na vita, anataka kusema kwa sababu amejirudishia Israel nayo itulie isilipize. Ukweli ni kwamba Marekani, Israel, UK, france na magharibi wana uwezo mkubwa sana kumpiga Iran wapendavyo, na sasaivi inaweza kutokea.