Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Chukulia mfano, ndiyo wewe, je utajificha au utatoka nje kutazama?
 
Yule ng'ombe (Netanyaho) pamoja na taarabu za juzi kumbe bado anapenda ugali🤣🤣🤣
 
Sema msaada gani China amempatia Iran kuhusu mapigano!?
Labda ukisema kuhusu uchumi sawa China kamsaidia sana Iran.
kwani nguvu ya kijeshi haiendani na nguvu ya au msaada wa uchumi?
 
Sema msaada gani China amempatia Iran kuhusu mapigano!?
Labda ukisema kuhusu uchumi sawa China kamsaidia sana Iran.
kwan msaada mnaosema inaopewa israel na US ni wa kijeshi pekee au kijeshi na kiuchumi?
 
kwan msaada mnaosema inaopewa israel na US ni wa kijeshi pekee au kijeshi na kiuchumi?
Israel anapewa msaada wa kiuchumi kwa kupewa fedha za bajeti bungeni kila mwaka na msaada wa bajeti ya jeshi lao kila mwaka na akishambuliwa USA na UK wanatoa msaada wa vifaa na intelijensia.
Hata makombora alorusha Iran USA wamesaidia kuyadungua.
 
Ooh mkuu shalom salam ya wapi tena hiyo!??

حمرلله علا كل حال ارباب
Nipe tu pole aisee.
Zike 200 Ballistic Missile zimepandisha pressure yangu aisee.
Kuna moja limetua 200m kabisa yaani, ngoja nifanye jambo chapu nisije kuwa banda la kuku.
 
Nipe tu pole aisee.
Zike 200 Ballistic Missile zimepandisha pressure yangu aisee.
Kuna moja limetua 200m kabisa yaani, ngoja nifanye jampo chapu nisije kuwa banda la kuku.
Mkuu mbona unatutisha🙄🙄🙄😳😳.
هل انت في البلد سراءيل!؟؟
Tusije kukukosa tukashindwa kunywa supu ya kuku bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…