Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaona wanajeshi wa Israel wanavaa pampas mkuu?Mishoga ni hiyo miajemi inayosaidiwa manati na china, russia na north korea halaf inajitapa nimerusha ballistic 180 Israel akiulizwa aoyeshe matokea ya kurusha hizo manati muajemi anabaki kung'ata lips
Mishoga ya kiajemi inatumia houth, hezbollah, hamas, na wengine na still myahudi kachil zake Israel
Lishoga Iran kiongoz wa hamas anauliwa ndani ya Iran tena kwenye jengo lenye ulinzi mkali punga Iran limekaa tu kihasarahasara
Kama namuona Ayatollah akifaudu mabikra 72 soon! 😂Hatimae IRAN naona kama kanasa kwenye Mtego...USA ina mahesabu makali sana.
Acha wapelekewe moto kama Samia anavyowapelekea moto sisimizi akiwa anawauaOct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country.
Soma: Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin
Mi nimependa jina lako mwaya! Mshangazi!!!!!!!Chokoza nyuki
Iran hana ubavu wowote ule wa kusimama na myahudi. Huyo ambaye manati zake leo za msaada za kichina kirusi, na n.k zinadakwa ka panya na iron dome? ndo asimame na myahudi wa pagers?Irani sio Yemen,Iran sio Lebanon, wangapi wanakumbuka hii ni mara ya pili Iran anashambulia direct Israel?!!
Kuingia vitani na Iran Israel hawezi kuthubutu,labda USA na yeye aingie akiwa na Israel.
Middle East powerful nations ni Israel na Iran, Israel hawezi kuendesha vita mwenyewe bila msaada wa intelijesia ya USA na Uingereza, ilihali Iran anaweza kusimama mwenyewe!!
Acha umbea, kwako kunabomoka unarefusha mdomo kuchonga ya jiraniWabunge wao wako busy kuondoana Uongozini Wakati uchumi wao uko hoi
Tuzidi kuwaombea 😄
Iran naye ni mwendawazimu kama wao na Israel wanajua hilo!Na Iran anasema Wapo tayari kwa lolote Wakijibu Kipigo kitaongezeka Zaidi ya hapo
Mmarekani kishaingia huko,usa angeacha kwanza kama wiki goma zipigwe mtu 2 😂Tuongoje tuone Israel akisaidiwa na Marekani namna watakavyolipiza.
Ila mashariki ya kati ipo kwenye kipindi kigumu.
Israel hivohivo hamas na Hezbollah wanatumia makazi ya watu angalia hata makao makuu yao beirut yalikuwa kwa raia kabisaMkuu naamini lengo la Iran siku zote sio kudhuru raia wasio na hatia bali kuharibu miundombinu ya kijeshi ya adui.
Kama angekuwa na nia ya kuua raia basi angelenga makazi ya watu hapo pangetokea vifo vingi mno vya raia.
Israel akilipiza kisasi kwa kulenga makazi ya raia hapo Iran atakuwa hana option nyingine zaidi ya kulipa kisasi kikali zaidi kwa kulenga makazi vile vile.
Mimi siogopi kufa!Mkuu Mimi naogopa vita ya Dunia inakaribia kuanza
Kwahio Israel hajanunuaIran imenunua vita ya muda mrefu dhidi ya israel
Mkuu Nimemuona shoga hayatola sasa hivi wanambadilisha pampaz sasa mashoga wenzake wa iran wana wasiwasi huenda ina vilipuz kama vya pagers kutokea kwa myahudi.Hujaona wanajeshi wa Israel wanavaa pampas mkuu?
Juzi Netanyahu kautetea mno ushoga na kwamba kila Myahudi anapaswa kuwaheshimu mashoga na mashoga yamejaa tele jeshini.
Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa pale Israel baada ya Uyahudi lakini mashoga mengi ni kutoka dini ya Uyahudi na yanajipambanua wazi wazi ku enjoy ushoga.
Na kweli lazima uwe na uoga maana ukifa ni straight kuzimuMimi siogopi kufa!
Naogopa kitakachotokea.
Au siyo?. Uzuri hawakai kimyaaaa. Akili yao inatafakali tunaishije katikati ya maadui zetu hawawazi amani hao. Maana Wana amini wakati wa amani ndiyo uharibifu unapowajia. Walipokua wanaweza amani walipigwa tukio likawaua wengi kwenye sikuu za vibanda. Kuliko wanaokufa kwenye vita. Now hawataki kusikia amaniNa bado wanashindwa kuyazuia kudadadeki Muajemi ni next level katika ulimwengu huu.
Hapo hajarusha supersonic missiles ndio itakuwa mwisho wa Mazayuni kuonekana katika uso wa dunia.