Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Mkuu mbona unatutisha🙄🙄🙄😳😳.
هل انت في البلد سراءيل!؟؟
Tusije kukukosa tukashindwa kunywa supu ya kuku bana.
نعم أخي.
لكنني سأغادر قريبًا لأنني لست معتادًا على هذا الوضع على الإطلاق.
Sitakubali kuikosa supu ya kuku. 😓
 
نعم أخي.
لكنني سأغادر قريبًا لأنني لست معتادًا على هذا الوضع على الإطلاق.
Sitakubali kuikosa supu ya kuku. 😓
انشاالله سىيحصنك من كل بلاء والشر
Urudi salama mkuu.
 
انشاالله سىيحصنك من كل بلاء والشر
Urudi salama mkuu.
شكرا لك أخي. دعونا نعتني بسلامنا هناك Tz.
الحرب ليست شيئًا يستحق الإعجاب، فالآذان مغطاة بصفارات الإنذار.
Shukrani . 🙏
 
شكرا لك أخي. دعونا نعتني بسلامنا هناك Tz.
الحرب ليست شيئًا يستحق الإعجاب، فالآذان مغطاة بصفارات الإنذار.
Shukrani . 🙏
وأنت كذلك أرباب٫ في أي يوم أنت ترجع ؟
 
USA, NATO, UK Bado wanawasaidia Isreal mwaka wa 59 sasa. Hamas wamenyimwa msaada wa silaha mwaka wa 20 sasa. Lkn majeneza yanayorudishwa televiv kwa mamia. Waislam watashinda vita hivi hata wewe ukikasirika
Kkwani hiyo ni vita ya kidini? ... ..
 
Hajakosea. Wakiristo wa jf tangu mpo na Isreal, na hivi sasa waislam wote duniani washashtuka
Tangu mwaka 1947 mpaka kesho iran akishambulia lazima amtaje allah na waislam na sisi wengine tuwe upande wa wa israel maana waislamu hawatutaki tusheherekee ushindi wao kiduchu 🤣
 
Huoni wakiristo wa jf wanavyofurahi humu?Waislam 90% wanaamini hivyo
Huo ni ushabiki tu, mimi pia ni muislamu lkn naamini hii vita ya M E.. ..ni ya maslahi .. .Marekani na washirika wake kuna kitu wanataka kule... nchi zote zenye madini na mafuta hazina salama!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Picha imeambatanishwa Kwa rejea yenu

Niwatakie siku njema
 

Attachments

  • IMG_20241003_105648.jpg
    IMG_20241003_105648.jpg
    83.1 KB · Views: 1
Umekosea sana mkuu hukutakiwa kumuexpose hivi.

Mayaudi yakiona hii hatari sana.
 
Back
Top Bottom