GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
نعم أخي.Mkuu mbona unatutisha🙄🙄🙄😳😳.
هل انت في البلد سراءيل!؟؟
Tusije kukukosa tukashindwa kunywa supu ya kuku bana.
انشاالله سىيحصنك من كل بلاء والشرنعم أخي.
لكنني سأغادر قريبًا لأنني لست معتادًا على هذا الوضع على الإطلاق.
Sitakubali kuikosa supu ya kuku. 😓
شكرا لك أخي. دعونا نعتني بسلامنا هناك Tz.انشاالله سىيحصنك من كل بلاء والشر
Urudi salama mkuu.
وأنت كذلك أرباب٫ في أي يوم أنت ترجع ؟شكرا لك أخي. دعونا نعتني بسلامنا هناك Tz.
الحرب ليست شيئًا يستحق الإعجاب، فالآذان مغطاة بصفارات الإنذار.
Shukrani . 🙏
في غضون أسبوعين من الآن سأكون هناك.وأنت كذلك أرباب٫ في أي يوم أنت ترجع ؟
Kkwani hiyo ni vita ya kidini? ... ..USA, NATO, UK Bado wanawasaidia Isreal mwaka wa 59 sasa. Hamas wamenyimwa msaada wa silaha mwaka wa 20 sasa. Lkn majeneza yanayorudishwa televiv kwa mamia. Waislam watashinda vita hivi hata wewe ukikasirika
Huoni wakiristo wa jf wanavyofurahi humu?Waislam 90% wanaamini hivyoKkwani hiyo ni vita ya kidini? ... ..
Khamenei jana alitoa speech akisema huu ni ushindi kwa allah na waislamu wote bado hujaelewa?Huoni wakiristo wa jf wanavyofurahi humu?Waislam 90% wanaamini hivyo
Hajakosea. Wakiristo wa jf tangu mpo na Isreal, na hivi sasa waislam wote duniani washashtukaKhamenei jana alitoa speech akisema huu ni ushindi kwa allah na waislamu wote bado hujaelewa?
Tangu mwaka 1947 mpaka kesho iran akishambulia lazima amtaje allah na waislam na sisi wengine tuwe upande wa wa israel maana waislamu hawatutaki tusheherekee ushindi wao kiduchu 🤣Hajakosea. Wakiristo wa jf tangu mpo na Isreal, na hivi sasa waislam wote duniani washashtuka
Huo ni ushabiki tu, mimi pia ni muislamu lkn naamini hii vita ya M E.. ..ni ya maslahi .. .Marekani na washirika wake kuna kitu wanataka kule... nchi zote zenye madini na mafuta hazina salama!Huoni wakiristo wa jf wanavyofurahi humu?Waislam 90% wanaamini hivyo
.إنشاء الله ارجع سلامفي غضون أسبوعين من الآن سأكون هناك.
شكراً جزيلاً🙏.إنشاء الله ارجع سلام
Hamna lolote hizo ni video za zamani, Isreal anatafuta ushindi wa nguvu wa kifake, ili awapoze wananchi wake eti wamenza kuwashambulia Iran
Umeumia ?Hamna lolote hizo ni video za zamani, Isreal anatafuta ushindi wa nguvu wa kifake, ili awapoze wananchi wake eti wamenza kuwashambulia Iran