Iran yarusha makombora ya masafa marefu kwenda Israel muda huu

Navyojua haya mataifa yote yana Alliance

Hata huyo Iran naye yupo anayemuunga mkono.
Wa kumuunga mkono Iran ni Russia.
Na Russia sasa hivi anahangaika na Ukraine.
Proxy wa Iran hapo mid east wapo doro.
 
Mwanajeshi wa kweli ni yule anayelifia taifa lake. Sisi Wayunani kifo cha kulifia taifa ni Thawabu. Sijui kwenu wayahudi mkifa mnapata nini.
Nenda na wewe huko Middle East kama kweli uko serious na thawabu
 
Hayo ya kwikwikwi mimi hayanihusu na mitaa niliyotoka ni nadra kumsikia Mwanaume akitamka maneno kama hayo

Ukitaka kugombana na mjinga, mwambie pale anapokosea.

Mkuu hata ukiwa mjinga tutajadili kuanzia huo ujinga wako mpaka wewe unaye umiliki.

Background yako ni upishi wa data. Kiufupi wewe ni mpotoshaji.
 
Mimi ni mwanajeshi wa bongo kaka. Lakini pia mimi ni Muyunani wa kweli. Nyie wayahudi wa Namtumbo mnatusumbua sana hapa mjini
Nami naona Mkuu
Your browser is not able to display this video.
 
Kaka hii mada imekuzidi umri. Kwikwikwikwi. Naona unanilalamikia mimi, mlaumu aliyekuleta kaka.
 
🇮🇷 apewe maua yake nchi 5 zimezuia lakini wapi makombora ya mefika sasa chukulia kama wasinge zuia huyo Israel wa mchogo angekuwa wapi
 
Leo Wayahudi waliomuua Yesu wanalala na viatu
😃😃😃😃😃 Taifa teule linachezea kichapo halafu mungu Yupo anatizama 😃😃😃

Hizi Imani hizi inabidi uwe chizi kuweza kuzi Amini
 
Hao kukanusha si ndiyo zao,eti raia saba wamepata mikwaruzo tu wakati wameliwa vichwa, waziri wa ulinzi anapiga mikwara eti Iran kavuka red line kushambulia makazi ya raia, *** kweli yule!!
Watajua hawajui
 
Msije mkatuongopea tunaona live hapa vinu vinashuka hatari jamani tuombe amani kumbe vita hatari sana
Ni kweli mkuu, vita si nzuri, Wala tusishabikie kwani madhara yake ni makunwa mno kuliko tinavyodhani.
 
Wanajiweka wazi, Mossad wanataka kujua mitambo iko wapi kisha F35 zikalipue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…