ni picha tofauti na hii.Ndugu yangu hujaachaga kamba tu, picha uliyoleta ni shambulizi ambalo Israel ilifanya Lebanon March 22.
Zika sawa. Fungua zote angalia kwa makini kila frameni picha tofauti na hii.
Hao kukanusha si ndiyo zao,eti raia saba wamepata mikwaruzo tu wakati wameliwa vichwa, waziri wa ulinzi anapiga mikwara eti Iran kavuka red line kushambulia makazi ya raia, *** kweli yule!!IDF imekanusha. Hakuna ndege iliyotunguliwa zaidi wameshambulia tena site nyingine ya nyuklia Istafhan
500 missiles halafu unakuta on target moja500 missiles fired at once from Iran towards occupied Palestine now, and Takbeers in Gaza now with the sound of explosions heard in the eastern Gaza Strip 🔻🇵🇸🇮🇷
Ofisi hazifunguliwi kesho telaviv,na hakuna kutoka shimoni yaani ni bampa to bampa,iron dome,sling sho zimefeli,sasa hivi marekani ndo analinda wateuleNijipe moyo alafu kubwa la kobazi kalambishwa mchanga kibabe. Shambulio moja la mapema una poteza wakuu wa jeshi ww si wakiendelea na ayatollah wana zika kesho
Wazee wa off targetSisi tupo tunakula bisi taratibu
![]()
Projectile hits central Tel Aviv amid warning of Iranian retaliation
A projectile struck central Tel Aviv, resulting in a massive explosion that sent plumes of smoke towering into the air.www.aljazeera.com
Kinu kinafuka moshi500 missiles halafu unakuta on target moja
Hasara ilioje.
Mifumo ya ulinzi ya Israel ni noma. Jinsi makombora yanavyopanguliwa angani Aiseeee
View: https://x.com/RT_com/status/1933589735814889694?t=WMAGOjsWYxTCMZFwP7IF_g&s=19
Hata shisha ina huo mchezoKinu kinafuka moshi
🏴☠️ | Dimona israeli nuclear site got heavy damages.
🔹@enemywatch
On target moja siyo!!..naona umerudi kutwa wateule mtu unajifanya huna dini,umekuja kutetea wapwa wa Mungu wakoUmeona sasa kile kile nilichokuwa nakiwaza.
Makombora 500 halafu on target moja!!!!View attachment 3367351
Weka source wewe tunakujuaIsrael kadundwa. Iranian missiles hit the Defense Ministry headquarters in Tel Aviv
Pambano bado bichi. Anapigwa mbwa mpaka mwenye mbwa atokeze
Umeona sasa kile kile nilichokuwa nakiwaza.
Makombora 500 halafu on target moja!!!!View attachment 3367351
Una akili sana mkuu!Huu mpango ulishapangwa muda mrefu,wameipa ubize Urusi apambane na Ukraine ili wapate nafasi ya kuishambulia Iran...