gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Waislam hawaogopi kufa nyie makafiri, muwe mnajifunzaAyatollah ataondoka hivi hivi kama kina Sinawar
Waislam hawaogopi kufa nyie makafiri, muwe mnajifunzaAyatollah ataondoka hivi hivi kama kina Sinawar
Kesho jumamosi upo dunia ipi kesho sabato takatifu 😆😆😆Ofisi hazifunguliwi kesho telaviv,na hakuna kutoka shimoni yaani ni bampa to bampa,iron dome,sling sho zimefeli,sasa hivi marekani ndo analinda wateule
Swala la dini linakujaje hapa?On target moja siyo!!..naona umerudi kutwa wateule mtu unajifanya huna dini,umekuja kutetea wapwa wa Mungu wako
Wayahudi wa Nachingwea mnasemaje Kwikwikwikwikwi 👇 👇 👇 👇Weka source wewe tunakujua
Sabato watafanyia mashimoni,ofisi zote za serikali Iran wanazifanyia palizi,j3 waanze kujenga kama watapata nafasiKesho jumamosi upo dunia ipi kesho sabato takatifu 😆😆😆
Kakimbilia ugirikiJUST IN - Netanyahu tells Iranians 'more is on the way' after Israeli strikes
Usingesema wazee wa off Target wakati Iran mashambulizi mawili yaliyopita walipiga target na hata leo CNN, BBC, aljazeera wanaonesha telaviv ikiwakaSwala la dini linakujaje hapa?
Mimi siwapendi Iran, wapo wakristo humu wanasapoti Iran na vile wapo waislamu wanasapoti Iran kupigwa.
Kwani hujui Saud Arabia haipendi Iran?
Muache huyo Mandonga adundwe tu mi sipendi magaidi naskia huko ndio chimbuko lao.
Wayahudi midomo yao kama kasukuTofauti ya mwenye akili na mzima watu kashambulio kao wamejiandaa mwaka mzima wahuni nusu saa TU mji mzima unafuka moshi
**************************************
In less than an hour, Iran turned the occupied city of Tel Aviv, the capital of terrorism, into a ruin. Meanwhile, the Zionist occupation claimed for more than two years that it was planning to strike Iran, gathering intelligence, and said it had destroyed all ballistic missiles. Yet just hours later, the missiles had destroyed Tel Aviv and turned it into a heap of rubble.
🇵🇸🔻🇮🇷
Hahah hawana uwezo kesho kutwa ayatollah tuna zika. Kobaz mchezeshwa sambaSabato watafanyia mashimoni,ofisi zote za serikali Iran wanazifanyia palizi,j3 waanze kujenga kama watapata nafasi
Kweli mkuuNO REFORMS NO ELECTION.
Hao waendelee na mambo yawahusuo wao.