Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,063
- 12,171
Unasubiri video mkuu wakati BBC, Al Jazeera, CNN nakadhalika wapo live na wanaonesha vyuma vinavyo hit Tel Aviv.Kama wamechapwa tuleteeni hizo video tuzione.
Idara ya zimamoto ya Israel wanasema wamezidiwa na milipuko ya moto mkubwa maeneo mengi.
Wizara ya afya ya Israel wamesema kufikia sasa watu 21 wamejuhiwa vibaya.
Na hiyo ni athari ya first phase tu ya makombora maana zimetumwa phase tatu kufikia sasa.