Duru zilikua 2-3 za makombora 100 100.Wakati huo makombora yaliyorushwa ni mangapi?
Usisahau kuwa USA inashiriki kudungua hayo makombora na Jordan.
Yani nchi tatu ikiwemo Israel imehangaika kuyadungua hayo makombora.
Duru zilikua 2-3 za makombora 100 100.Wakati huo makombora yaliyorushwa ni mangapi?
Dunia yote inajua kuwa watu wanaojadili watu wengine badala ya mada uwezo wao wa kufikiri ni chini ya kiwango. Mada iliyo mezani sasa hivi siyo kumjadili Venus StarMkuu huwezi kukwepa kujadiliwa.
Kama ulijiunga JF ukiwa na mategemeo kuwa utakuwa untouched basi ulikosea.
Na wala usijipe hiyo title ya kujiona labda wewe ni special sana usiestahili kujadiliwa.
Humu tunajadili watu&vitu. Hata Mungu pia tunamjadili na watu tunampinga na maisha yanaendelea.
Kukumbushwa kidogo tu kuhusu tabia yako ya kupika data ndio uanze kudai kuwa nakujadili?
Mkuu hatuwezi kwenda namna hiyo.
Umempigia Netanyahu? KwikwikwikwikwiOn target mpaka sasa naona moja tu
Video yako ya kwanza imeweka wazi kuwa mabomu yaliyorushwa yanakuwa intercepted
Bado haijafungwaWe strait of Hormuz inafungwa??
Yeah check balaa lakeMgumo wa ulinzi wa Iran ni Bora kulio iron dome
Mie nilisema humu Iran haitachelewa kurekebisha mifumo.Mgumo wa ulinzi wa Iran ni Bora kulio iron dome
Hizo missiles city wanazosema Israel walishambulia na kufanya covert, unakuta mossad walikuwa mis informed..Mie nilisema humu Iran haitachelewa kurekebisha mifumo.
Watu walibisha.
Matokeo yake Iran kaingia store akatoa ADS mpya akaweka kwa ground.
Israel sasa hivi ikitaka kwenda kushambulia ijipange maana anga lisharejeshewa ulinzi.
Wacha warushe sisi tunasubiri majibu ya IsraelSirens are sounding across Israel amid a major Iranian ballistic missile attack.
An estimated 100 missiles were launched from Iran at Israel, according to an Israeli military source. Detecting missile attack from Iran, IDF orders civilians to enter shelters
By Emanuel Fabian Follow
Today, 9:07 pm
The IDF says it has detected a missile attack from Iran.
“A short while ago, missiles were launched from Iran at Israel,” the military says.
Civilians are told to remain in bomb shelters until further notice.
Navyojua haya mataifa yote yana AllianceDuru zilikua 2-3 za makombora 100 100.
Usisahau kuwa USA inashiriki kudungua hayo makombora na Jordan.
Yani nchi tatu ikiwemo Israel imehangaika kuyadungua hayo makombora.
Wa kwanza mimi hapa.Navyojua haya mataifa yote yana Alliance
Hata huyo Iran naye yupo anayemuunga mkono.
Mkuu unakosea kusema Dunia.Dunia yote inajua kuwa watu wanaojadili watu wengine badala ya mada uwezo wao wa kufikiri ni chini ya kiwango. Mada iliyo mezani sasa hivi siyo kumjadili Venus Star
Kaka tunaongelea kipigo walichopokea Wayahudi. Sasa wewe badala ya kujadili mada hiyo unanijadili mimi.
Unataka dunia ikuite wewe kuwa akili zako ni nusu kipande?
Nimekupatia namba za Netanyahu na emails zake bado hujampigia, umeng'ang'ana kubadili manda. Au mwenzetu mwezi mchanga?
Dah!😀😃😃😃Leo Wayahudi waliomuua Yesu wanalala na viatu
Kawasaidie kulia kwenye msiba wa Mkuu wa majeshiWa kwanza mimi hapa.
Kaka, nenda kameze vidonge vya kutuliza maumivu. Kama unataka kunijadili mimi anzisha mada hiyo watu watakuja kuchangia.Mkuu unakosea kusema Dunia.
Kwani mtu hawezi kuwa mada na akajadiliwa?
Ingekuwa hivyo basi leo kusingekuwa na Einstein Law wala watu wasingekuwa busy kumjadili madarasani.
Au hata wewe humu ungekosa authenticity ya kusema Netanyau hivi Netanyau vile.
Kauli ya kusema watu wanajadili mada hawajadili mtu mara nyingi hutolewa pale hoja za msingi zinapokosekana.
Mwanajeshi wa kweli ni yule anayelifia taifa lake. Sisi Wayunani kifo cha kulifia taifa ni Thawabu. Sijui kwenu wayahudi mkifa mnapata nini.Kawasaidie kulia kwenye msiba wa Mkuu wa majeshi
View attachment 3367443
Mizingo miwili kila mmoja cost ya $4.8b+ imedondoka kama mapapaiKawasaidie kulia kwenye msiba wa Mkuu wa majeshi
View attachment 3367443