gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,557
- 7,302
Ngoja uone Tel Aviv inageuzwa Gaza nyingineKwa kurusha vijikombora tu Iran kajaaliwa cha kujiuliza ni hiki ni nini madhara ya makombora hayo kwa Taifa la Israel maana itakuwa story zilezile chenga twawapiga ila magoli twafungwa siyeee
**************************************
🇮🇷🇮🇱⚡️- BREAKING: Iran has officially named its operation against Israel "Operation Severe Punishment."