Ngoja uone Tel Aviv inageuzwa Gaza nyingineKwa kurusha vijikombora tu Iran kajaaliwa cha kujiuliza ni hiki ni nini madhara ya makombora hayo kwa Taifa la Israel maana itakuwa story zilezile chenga twawapiga ila magoli twafungwa siyeee
Gaza wakati makombora yanapanguliwa juu kwa juu na SAM.Ngoja uone Tel Aviv inageuzwa Gaza nyingine
**************************************
๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑโก๏ธ- BREAKING: Iran has officially named its operation against Israel "Operation Severe Punishment."
Upo vitani..? Au unaongelea kutokea hapo bonyokwaNdege mbili za israel zimedunguliwa,na marubani walikua wanasakwa,waliachwa wapige air defences wakajua wamemaliza,usiku huu Iran kaanza kupopoa,itakua wanashangaa tu huko shimoni
KWeli mkuuHuu mpango ulishapangwa muda mrefu,wameipa ubize Urusi apambane na Ukraine ili wapate nafasi ya kuishambulia Iran...
utasubiri mpaka unaingia kaburini kamwe hilo halitotokea yaani hilo sahau japo najua ndivyo ulivyodanganywa ila za kuambiwa uwe unachanganya na za kwako itakusaidiaNgoja uone Tel Aviv inageuzwa Gaza nyingine
**************************************
๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑโก๏ธ- BREAKING: Iran has officially named its operation against Israel "Operation Severe Punishment."
Yani walio Iran waondoke harakaWamefyatua mengine ๐
BREAKING: The IDF confirms the launch of a second wave of Iranian missiles against Israel!
Aisee
Mkuu unamuongopea nani wakati kuna makumi ya waandishi wanachukua kila kitu LIVE jinsi makombora yanapanguliwa.๐ฎ๐ท๐ดโโ ๏ธโก๏ธ | ALLAHU AKBAR!
๐ป Failure of the israeli air defense to intercept the Iranian missiles
๐ก @NEWWORLDORDYR
We umia tuUpo vitani..? Au unaongelea kutokea hapo bonyokwa
Unaumia sana siyo!!?Wanarusha mengine. Hawa jamaa Leo watarusha makombora 500 ๐
BREAKING: Iran has launched a third wave of ballistic missiles towards Israel
Hawana jipya hao.... Israel ndo baba yaoWamefyatua mengine [emoji38]
BREAKING: The IDF confirms the launch of a second wave of Iranian missiles against Israel!