Iran yarusha makombora ya masafa marefu kwenda Israel muda huu

Wakati huo makombora yaliyorushwa ni mangapi?
Duru zilikua 2-3 za makombora 100 100.
Usisahau kuwa USA inashiriki kudungua hayo makombora na Jordan.
Yani nchi tatu ikiwemo Israel imehangaika kuyadungua hayo makombora.
 
Dunia yote inajua kuwa watu wanaojadili watu wengine badala ya mada uwezo wao wa kufikiri ni chini ya kiwango. Mada iliyo mezani sasa hivi siyo kumjadili Venus Star

Kaka tunaongelea kipigo walichopokea Wayahudi. Sasa wewe badala ya kujadili mada hiyo unanijadili mimi.
Unataka dunia ikuite wewe kuwa akili zako ni nusu kipande?

Nimekupatia namba za Netanyahu na emails zake bado hujampigia, umeng'ang'ana kubadili manda. Au mwenzetu mwezi mchanga?
 
Mie nilisema humu Iran haitachelewa kurekebisha mifumo.
Watu walibisha.
Matokeo yake Iran kaingia store akatoa ADS mpya akaweka kwa ground.
Israel sasa hivi ikitaka kwenda kushambulia ijipange maana anga lisharejeshewa ulinzi.
Hizo missiles city wanazosema Israel walishambulia na kufanya covert, unakuta mossad walikuwa mis informed..
 
Targets confirmed so far:

πŸ”»Tel Aviv Financial Center
πŸ”»Israeli Ministry of Defense
πŸ”»Ministry of Economy
πŸ”»Tel Nof Airbase
πŸ”»Multiple locations in the Haifa area
πŸ”»The gas platform off the coast of the Gaza Strip
 
Wacha warushe sisi tunasubiri majibu ya Israel
 
Duru zilikua 2-3 za makombora 100 100.
Usisahau kuwa USA inashiriki kudungua hayo makombora na Jordan.
Yani nchi tatu ikiwemo Israel imehangaika kuyadungua hayo makombora.
Navyojua haya mataifa yote yana Alliance

Hata huyo Iran naye yupo anayemuunga mkono.
 
Mkuu unakosea kusema Dunia.

Kwani mtu hawezi kuwa mada na akajadiliwa?

Ingekuwa hivyo basi leo kusingekuwa na Einstein Law wala watu wasingekuwa busy kumjadili madarasani.

Au hata wewe humu ungekosa authenticity ya kusema Netanyau hivi Netanyau vile.

Kauli ya kusema watu wanajadili mada hawajadili mtu mara nyingi hutolewa pale hoja za msingi zinapokosekana.
 
Kaka, nenda kameze vidonge vya kutuliza maumivu. Kama unataka kunijadili mimi anzisha mada hiyo watu watakuja kuchangia.

Lakini katika thread hii tunajadili kipigo walichopewa wayahudi. JF ipo na members zaidi ya 500,000. Leo wewe umeng'ang'ana kunijadili mimi!!! Kwikwikwikwi.

Eti unasema unajua background yangu!!! Mimi sikujui na sina muda wa kujua account ya mtu. Jifunze kaka kujaza maarifa ya kweli kwenye ubongo wako. Achana na background za accounts za JF, kwa kufanya hivyo akili zako zilizobaki kichele zitapukutika zote ulazwe mirembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…