Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwahio Americant na shoga zake wanamuogopa iranNchi yako ishambuliwe mara mbili alafu ikae kimya acha ujinga ndo maana walijibu mapigo wale sio mazoba
Iran kama ni mwanaume angeendelea kumshambulia pakistan yeye ndo alianza mbona kaomba poo
Marekani imetoka wapi tena uzi hauhusu marekani anzisha uzi wa marekani na iraniKwahio Americant na shoga zake wanamuogopa iran
Iran anaiogopa Pakistan sababu wanaume ila hawaogopi wale wengine sababu sio wanaume
Habari zilitolewa.Kwamba iran alivyoitisha kikao na pakistan walikutaarifu kinachooenda kujadiliwa we kama nani
Hata uzi pia hauihusu Pakistan unaihusu iran Pakistan anzisha uzi wake na iranMarekani imetoka wapi tena uzi hauhusu marekani anzisha uzi wa marekani na irani
Uzi unahusu iran alivyopigwa na pakistani akamomba msamahaHata uzi pia hauihusu Pakistan unaihusu iran Pakistan anzisha uzi wake na iran
Pia unahusu Americant ilivyopigwa na iran na ikashindwa kurudisha majibu yaaaniUzi unahusu iran alivyopigwa na pakistani akamomba msamaha
Tena huyo ni wale tunaita mwajuma ndala ndefuuMtoa mada huna tofauti na wale wanawake wa uswahili
Bora umesema. Ngoja nizisubiri email hapa unapoziweka tuwanange wabaya🏃♂️🏃♂️Iran was Leo sio wa jana, ndiyo maana Marekani wanemtumia email zaidi ya mia mbili kumuomba akimshambulia asijibu malipizi coz hana nia ya kupigana naye.
Iran ilisha mpiga nani.Ndivyo unavyojidanganya Pakistan ammudu Iran??
Kwani huyo Pakistan hajitaki mpaka akubali full confrontation na Iran?
1)Fuatilia Iraq-Iran war kuanzia 1980-1988.Iran ilisha mpiga nani.
Lini marekani ilipigana na iran unajua unakaribia kuchanganyikiwaPia unahusu Americant ilivyopigwa na iran na ikashindwa kurudisha majibu yaaani
Kushindwa kuokoa embassy ndo kushindwa1)Fuatilia Iraq-Iran war kuanzia 1980-1988.
2)Fuatilia Iran revolution 1979 US alishindwa kuokoa embassy officials wake .
3)Fuatilia Yemen war toka 2014-2021 nani alimpa nguvu Yemen Houthi ya kumzuia Saudi Arabia.
Mengine nadhani unayajua yanayoendelea Syria,Lebanon n.k.
Us amesema atalipiza kisasi sasa nani mchokozi aliyechokozwa au mchokozi?mkiambiwa kuna miungu mingi mnabisha sasa huyo mungu mmoja kwa akili hiziTaifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi.
Onyo hilo limetolewa na balozi wa Iran katika umoja wa mataifa Amir Saeid Iravan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hapo jana.
Kwa kauli hiyo Iran imenuia kujibu uchokozi huo kwa nguvu kubwa kadri ilizonazo.
View attachment 2889872
Hamna jeshi hapo, utapiganaje vita miaka minane.1)Fuatilia Iraq-Iran war kuanzia 1980-1988.
2)Fuatilia Iran revolution 1979 US alishindwa kuokoa embassy officials wake .
3)Fuatilia Yemen war toka 2014-2021 nani alimpa nguvu Yemen Houthi ya kumzuia Saudi Arabia.
Mengine nadhani unayajua yanayoendelea Syria,Lebanon n.k.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Hamna jeshi hapo, utapiganaje vita miaka minane.
Nachokosudia kusema US ilifeli rescue operation ya kuokoa maafisa wake wa balozi yake ndani ya Tehran.Kushindwa kuokoa embassy ndo kushindwa
Kwa hiyo walipoingia hao matapeli akina Ayatollah walikuta Iran haina kabisa jeshi ndio wakaunda upya au unataka kutudanganyaje wewe.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kaka embu kuwa serious.
Kwani vita ina kikomo cha muda?
Na ukumbuke Iran ndio kwanza ilikua na jeshi changa la mapinduzi toka 1979,na aliyevamia ni Iraq na US alitumia nafasi ya kuiunga mkono Iraq ili afanye regime change ila wakafeli.
Kamuulize gaidi BidenIran ilisha mpiga nani.
Lini iran ilipigana na marekani kamuulize BidenLini marekani ilipigana na iran unajua unakaribia kuchanganyikiwa
Hapana ndio kushindaKushindwa kuokoa embassy ndo kushindwa