Iran yasema inamsubiri huyo atakayejaribu kuishambulia kwa kutumia kisingizio chochote

Iran yasema inamsubiri huyo atakayejaribu kuishambulia kwa kutumia kisingizio chochote

Nchi yako ishambuliwe mara mbili alafu ikae kimya acha ujinga ndo maana walijibu mapigo wale sio mazoba

Iran kama ni mwanaume angeendelea kumshambulia pakistan yeye ndo alianza mbona kaomba poo
Kwahio Americant na shoga zake wanamuogopa iran
Iran anaiogopa Pakistan sababu wanaume ila hawaogopi wale wengine sababu sio wanaume
 
Kwamba iran alivyoitisha kikao na pakistan walikutaarifu kinachooenda kujadiliwa we kama nani
Habari zilitolewa.
Au hutizami taarifa za habari??
Aliyeitisha kikao ni Islamabad sio Tehran.
Na aliyesema kuwa mzozo uishe ni Islamabad sio Tehran.
Na Islamabad ndio ikachukua hatua ya kwanza ya kumrudisha balozi wao Tehran na kumuomba balozi wa Tehran arudi Islamabad.
Soma kwa kuelewa.
Habari zimetangazwa labda kama hukutizama.
 
Iran was Leo sio wa jana, ndiyo maana Marekani wanemtumia email zaidi ya mia mbili kumuomba akimshambulia asijibu malipizi coz hana nia ya kupigana naye.
Bora umesema. Ngoja nizisubiri email hapa unapoziweka tuwanange wabaya🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Iran ilisha mpiga nani.
1)Fuatilia Iraq-Iran war kuanzia 1980-1988.
2)Fuatilia Iran revolution 1979 US alishindwa kuokoa embassy officials wake .
3)Fuatilia Yemen war toka 2014-2021 nani alimpa nguvu Yemen Houthi ya kumzuia Saudi Arabia.
Mengine nadhani unayajua yanayoendelea Syria,Lebanon n.k.
 
Kushindwa kuokoa embassy ndo kushindwa
 
Taifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi.

Onyo hilo limetolewa na balozi wa Iran katika umoja wa mataifa Amir Saeid Iravan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hapo jana.

Kwa kauli hiyo Iran imenuia kujibu uchokozi huo kwa nguvu kubwa kadri ilizonazo.

View attachment 2889872
Us amesema atalipiza kisasi sasa nani mchokozi aliyechokozwa au mchokozi?mkiambiwa kuna miungu mingi mnabisha sasa huyo mungu mmoja kwa akili hizi
 
1)Fuatilia Iraq-Iran war kuanzia 1980-1988.
2)Fuatilia Iran revolution 1979 US alishindwa kuokoa embassy officials wake .
3)Fuatilia Yemen war toka 2014-2021 nani alimpa nguvu Yemen Houthi ya kumzuia Saudi Arabia.
Mengine nadhani unayajua yanayoendelea Syria,Lebanon n.k.
Hamna jeshi hapo, utapiganaje vita miaka minane.
 
Hamna jeshi hapo, utapiganaje vita miaka minane.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kaka embu kuwa serious.
Kwani vita ina kikomo cha muda?
Na ukumbuke Iran ndio kwanza ilikua na jeshi changa la mapinduzi toka 1979,na aliyevamia ni Iraq na US alitumia nafasi ya kuiunga mkono Iraq ili afanye regime change ila wakafeli.
 
Kwa hiyo walipoingia hao matapeli akina Ayatollah walikuta Iran haina kabisa jeshi ndio wakaunda upya au unataka kutudanganyaje wewe.
 
Back
Top Bottom