Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hamas ndio takataka gani hiyo, si watoke waende wawapige Israel ili wakomboe ardhi zao wanazodai kuporwa sasa wanafanya nini kwenye mashimo wamegeuka nungunungu. Hamas bure kabisa.Mtoa mada sijui huwa anaota Hamasi awachie matekwa
Israel Gaza ataingia ili wachukue video wameingia afu wata toka mbio mbio ndio America anawambia vile watengeneze film ya rambo, lakini atapigika ile mbaya sababu Hamasi anamsubiri kwa hamu
We kweli unaonekana hufahamu vita we ujitoke kichwa kichwa adui yako ana kila aina ya silaha hivi we unadhani Hamasi wangekuwa na ndege, vifaru, navy kama za Israel unadhani Israel wangebaki.Hamas ndio takataka gani hiyo, si watoke waende wawapige Israel ili wakomboe ardhi zao wanazodai kuporwa sasa wanafanya nini kwenye mashimo wamegeuka nungunungu. Hamas bure kabisa.