Washabiki wa Hamas hawako huku kwetu peke yake mpaka Marekani wako tena wanakaribia mpaka ikulu.Huu uhalo umeutoa kwenye Quran au? No wonder unawashabikia Hamas, Hezbollah na Houthi.
Unafaa ukaishi israel au nchi yoyote isiyo ya kiislamuIran mnaikuza sana, hiyo technology ya Iran nchi ya kawaida kiuchumi wametoa wapi? Nilishangaa kuwa uchumi na maendeleo ya Saud Arabia , Turkey ni makubwa sana kuliko Iran , Wameshindwa kutengeneza ndege ya rais mpaka anatembelea ndege za USA. Kwa hiyo Iran anampa Hezibollah hizo silaha ili ampige Israel? Kwanini anafanya hivyo?
Ila Venezuela ana utajiri mkubwa wa mafuta na gesi.Kwa hilo Iran lazima ipewe mauwa yake.
Hata suala la Venezuela nako US ilishindwa kuiangamiza ile nchi kutokana na umwamba wa Iran.Waliweza kuwapelekea mafuta ya matumizi na vipuri kwa kuyapitisha kwenye njia zile zile mpaka foleni za mafuta zikafa
Iran hana tech yoyote ya maana kushindana na Marekani na mataifa ya magharibi na ndiyo maana Rais wao alifumuliwa kama kuku bandani.
Hawa ni wa kuwahurumia tu maana ukiamua kuwafumua wananchi wao watapata shida sana kama vile waparestina wanavyozunguka na mabegi kila kona kila kukicha.
Kukuh
Unaropokaga kama kawaida yako.Mambo mengine muwe mnaona aibu jamani!
Huyu Rusia si mnasema ni supa power? Ndio ategemee tukombora toka kwa Ayatollah ambae jeshi lake lilishindwa kulimlinda kamanda wa Hamas akiwa ndani ya kambi ya jeshi?
Angalia hapa hii kazi ya Israel ya jana kule Syria 👇
[🖼 🇮🇱🇮🇷Israeli Air Force fighter jets carried out several airstrikes on a research center located in the city of Masyaf in the Syrian province of Hama.
So far, five people have been reported killed and fifteen injured as a result of the strike.
The center, also known as Institute 4000, manufactures components for the Fateh, Shahab-1, Shahab-2 ballistic missiles, as well as UAVs and Burkan missiles for Hezbollah, in cooperation with Iranian specialists
Wakati unaropoka haya tambua hiyo Iran ilipigana vita ya miaka 8 hao west na USA wakimsaidia Iraq na Iran alishinda vita.Iran hana tech yoyote ya maana kushindana na Marekani na mataifa ya magharibi na ndiyo maana Rais wao alifumuliwa kama kuku bandani.
Hawa ni wa kuwahurumia tu maana ukiamua kuwafumua wananchi wao watapata shida sana kama vile waparestina wanavyozunguka na mabegi kila kona kila kukicha.
Kukuh
Unatakiwa utambue Iran ni middle-upper income country.Iran mnaikuza sana, hiyo technology ya Iran nchi ya kawaida kiuchumi wametoa wapi? Nilishangaa kuwa uchumi na maendeleo ya Saud Arabia , Turkey ni makubwa sana kuliko Iran , Wameshindwa kutengeneza ndege ya rais mpaka anatembelea ndege za USA. Kwa hiyo Iran anampa Hezibollah hizo silaha ili ampige Israel? Kwanini anafanya hivyo?
Ukubwa upi huo wakati anashuhudia zaidi ya waparestina 40,000 wameuwa, yeye yupo nchini kwake akituma vi-drone tena kwa kijificha ficha.Wakati unaropoka haya tambua hiyo Iran ilipigana vita ya miaka 8 hao west na USA wakimsaidia Iraq na Iran alishinda vita.
Hapo middle east taifa linaloogopwa ni Iran hata huto Netanyahu akimsikia Iran lazima atetemeke.
Hivyo punguza kuropoka,hauna akili kuliko Westerners ambao waliungana na USA kumuwekea vikwazo Iran vya kiuchumi na vya uundaji silaha.
Wanajua Iran ina uwezo mkubwa na akiupata itakua balaa kwao,ndio maana wanambana kwa vikwazo vya uundaji silaha na vikwazo vya kiuchumi.
Asante Mkuu Umenena Ukweli MtupuWaswahili wanasema mtoto akililia wenbe mpe umkate, US alidhani sunction ndio part of the solution kumbe hio sunction ndio part of the problem. Iran hawezi fata sheria za UN sababu UN either lazima iwe part of the solution, or iwe part of the problem. Sababu hio UN inatumiwa na US kwa agenda zake. Watu wameisha kuwa na akili hawezi kuwafanya mataifa yote hayana akili.
Kamanda wangu Robert Mgabe alisha sema UN lazima iwe reform na pia iko kwenye wrong place. Lazima waiweke kwenye right place ndio UN itafanikiwa 😄
Hawezi kufanya chochote na magaidi ya kipalestina yataendelea kupigwa tuHao nao mdomo mwingi Sana..wafanye Jambo tujionee mwishio wa dhulma kwa watoto wa Kipalestina
Israel ina waislam zaidi ya mil 2 wanaishi kwa amani pamoja na chuki zenuUnafaa ukaishi israel au nchi yoyote isiyo ya kiislamu
-Hizbollah ambaye anapigana na Israel Kaskazini mwa Israel anapigana kwa nguvu ya Iran.Ukubwa upi huo wakati anashuhudia zaidi ya waparestina 40,000 wameuwa, yeye yupo nchini kwake akituma vi-drone tena kwa kijificha ficha.
Rais wake kabokolewa, kafanya nini zaidi ya mikwala mbuzi. Kipi kinamshinda kurusha walau Ballistic missile moja tu itue pale Islael?
Na wewe itafika siku utaondoka, so endelea kufurahiaHawezi kufanya chochote na magaidi ya kipalestina yataendelea kupigwa tu
Wewe unaesupport ugaidi utabaki milele sio??Na wewe itafika siku utaondoka, so endelea kufurahia
Nani gaidi? Anaepigania nchi yake au mvamizi na muuaji kwa wasio na hatia?Wewe unaesupport ugaidi utabaki milele sio??
Waliofanya mauaji ya kikatili Oct 7. Raia zaidi ya 1200 ikiwemo na raia wenzetu wawili wa kitanzania vijana wadogo kabisa waliuawa kikatili na magaidi Hamas.Nani gaidi? Anaepigania nchi yake au mvamizi na muuaji kwa wasio na hatia?