Iran yasema ndio imeipelekea makombora Urusi.Vile vile imeshawapatia Hezbollah silaha yake kali ya EMP inayopiga mifumo ya kusambazia umeme.

Iran yasema ndio imeipelekea makombora Urusi.Vile vile imeshawapatia Hezbollah silaha yake kali ya EMP inayopiga mifumo ya kusambazia umeme.

Iran hana tech yoyote ya maana kushindana na Marekani na mataifa ya magharibi na ndiyo maana Rais wao alifumuliwa kama kuku bandani.

Hawa ni wa kuwahurumia tu maana ukiamua kuwafumua wananchi wao watapata shida sana kama vile waparestina wanavyozunguka na mabegi kila kona kila kukicha.

Kukuh
 
Huu uhalo umeutoa kwenye Quran au? No wonder unawashabikia Hamas, Hezbollah na Houthi.
Washabiki wa Hamas hawako huku kwetu peke yake mpaka Marekani wako tena wanakaribia mpaka ikulu.
Sababu wamejua kuwa wanapigania haki zao.Ingekuwa ni wajinga basi kila mtu angaekaa kimya
 
Iran mnaikuza sana, hiyo technology ya Iran nchi ya kawaida kiuchumi wametoa wapi? Nilishangaa kuwa uchumi na maendeleo ya Saud Arabia , Turkey ni makubwa sana kuliko Iran , Wameshindwa kutengeneza ndege ya rais mpaka anatembelea ndege za USA. Kwa hiyo Iran anampa Hezibollah hizo silaha ili ampige Israel? Kwanini anafanya hivyo?
Unafaa ukaishi israel au nchi yoyote isiyo ya kiislamu
 
Kwa hilo Iran lazima ipewe mauwa yake.
Hata suala la Venezuela nako US ilishindwa kuiangamiza ile nchi kutokana na umwamba wa Iran.Waliweza kuwapelekea mafuta ya matumizi na vipuri kwa kuyapitisha kwenye njia zile zile mpaka foleni za mafuta zikafa
Ila Venezuela ana utajiri mkubwa wa mafuta na gesi.
Ile nchi kama isingekua interference ya USA ingekua mbali sana.
 
Iran hana tech yoyote ya maana kushindana na Marekani na mataifa ya magharibi na ndiyo maana Rais wao alifumuliwa kama kuku bandani.

Hawa ni wa kuwahurumia tu maana ukiamua kuwafumua wananchi wao watapata shida sana kama vile waparestina wanavyozunguka na mabegi kila kona kila kukicha.

Kukuh

Sawa fuso, mtetezi wa wanaobariki ushoga
 
Mambo mengine muwe mnaona aibu jamani!

Huyu Rusia si mnasema ni supa power? Ndio ategemee tukombora toka kwa Ayatollah ambae jeshi lake lilishindwa kulimlinda kamanda wa Hamas akiwa ndani ya kambi ya jeshi?

Angalia hapa hii kazi ya Israel ya jana kule Syria 👇

[🖼 🇮🇱🇮🇷Israeli Air Force fighter jets carried out several airstrikes on a research center located in the city of Masyaf in the Syrian province of Hama.

So far, five people have been reported killed and fifteen injured as a result of the strike.

The center, also known as Institute 4000, manufactures components for the Fateh, Shahab-1, Shahab-2 ballistic missiles, as well as UAVs and Burkan missiles for Hezbollah, in cooperation with Iranian specialists
Unaropokaga kama kawaida yako.
Mauaji ya kustukiza ni jambo gumu kuzuia,na kiongozi wa Hamas alikua nyumba za wageni za jeshi sio kambi ya jeshi acha uongo.
Hiyo USA Donald Trump ameshambuliwa na ni rais mstaafu sembuse Iran?
Kwahiyo nao USA haina ulinzi mkubwa?
Prime minister mstaafu wa Japan Shinzo Abe alishambuliwa na risasi kifuani,kwahiyo nao Japan hawana ulinzi kamili!?
Hiyo Israel unayosemea wewe drone ilitoka Yemeni inapenya hadi Tel aviv na ikalipua jengo hakuna hata iron dome kushtuka.
Hiyo Iran unayoisemea wewe ndio inafadhili makundi ambayo yanaisumbua hiyo Israel.
Israel hadi sasa Galilaya hakuna raia anayeishi kwa mashambulizi ya Hizbollah ambayo inafadhiliwa na Iran.

Do not underestimate Iran kijana,Iran hapo middle east nzima yeye ndio mwenye missile power kubwa kuliko yeyote.
Na silaha zake zime prove kuwa zina ufanisi.Kama sio USA na UK kumkingia kifua huyo Israel,basi ballistic missile za Iran zingekua zishaifuta hiyo Israel.
 
Iran hana tech yoyote ya maana kushindana na Marekani na mataifa ya magharibi na ndiyo maana Rais wao alifumuliwa kama kuku bandani.

Hawa ni wa kuwahurumia tu maana ukiamua kuwafumua wananchi wao watapata shida sana kama vile waparestina wanavyozunguka na mabegi kila kona kila kukicha.

Kukuh
Wakati unaropoka haya tambua hiyo Iran ilipigana vita ya miaka 8 hao west na USA wakimsaidia Iraq na Iran alishinda vita.
Hapo middle east taifa linaloogopwa ni Iran hata huto Netanyahu akimsikia Iran lazima atetemeke.
Hivyo punguza kuropoka,hauna akili kuliko Westerners ambao waliungana na USA kumuwekea vikwazo Iran vya kiuchumi na vya uundaji silaha.
Wanajua Iran ina uwezo mkubwa na akiupata itakua balaa kwao,ndio maana wanambana kwa vikwazo vya uundaji silaha na vikwazo vya kiuchumi.
 
Iran mnaikuza sana, hiyo technology ya Iran nchi ya kawaida kiuchumi wametoa wapi? Nilishangaa kuwa uchumi na maendeleo ya Saud Arabia , Turkey ni makubwa sana kuliko Iran , Wameshindwa kutengeneza ndege ya rais mpaka anatembelea ndege za USA. Kwa hiyo Iran anampa Hezibollah hizo silaha ili ampige Israel? Kwanini anafanya hivyo?
Unatakiwa utambue Iran ni middle-upper income country.
Iran sio LDC kijana.
Na unatakiwa utambue Iran tangu 1979 imewekewa vikwazo vya kimataifa vya kiuchumi na uundaji silaha.
Sasa jiulize ni miaka 40+ Iran ipo katika vikwazo ila ni nchi yenye UCHUMI WA KATI WA JUU.
Je angekua hana vikwazo vya kiuchumi angekua wapi!??
Iran pasi na vikwazo vya kiuchumi ingekua ni taifa lenye uchumi mkubwa kuliko taifa lolote mashariki ya kati.
Hilo suala la ndege ni chanzo cha vikwazo vya kiuchumi.
 
Wakati unaropoka haya tambua hiyo Iran ilipigana vita ya miaka 8 hao west na USA wakimsaidia Iraq na Iran alishinda vita.
Hapo middle east taifa linaloogopwa ni Iran hata huto Netanyahu akimsikia Iran lazima atetemeke.
Hivyo punguza kuropoka,hauna akili kuliko Westerners ambao waliungana na USA kumuwekea vikwazo Iran vya kiuchumi na vya uundaji silaha.
Wanajua Iran ina uwezo mkubwa na akiupata itakua balaa kwao,ndio maana wanambana kwa vikwazo vya uundaji silaha na vikwazo vya kiuchumi.
Ukubwa upi huo wakati anashuhudia zaidi ya waparestina 40,000 wameuwa, yeye yupo nchini kwake akituma vi-drone tena kwa kijificha ficha.
Rais wake kabokolewa, kafanya nini zaidi ya mikwala mbuzi. Kipi kinamshinda kurusha walau Ballistic missile moja tu itue pale Islael?
 
Waswahili wanasema mtoto akililia wenbe mpe umkate, US alidhani sunction ndio part of the solution kumbe hio sunction ndio part of the problem. Iran hawezi fata sheria za UN sababu UN either lazima iwe part of the solution, or iwe part of the problem. Sababu hio UN inatumiwa na US kwa agenda zake. Watu wameisha kuwa na akili hawezi kuwafanya mataifa yote hayana akili.

Kamanda wangu Robert Mgabe alisha sema UN lazima iwe reform na pia iko kwenye wrong place. Lazima waiweke kwenye right place ndio UN itafanikiwa 😄
Asante Mkuu Umenena Ukweli Mtupu
 
Ukubwa upi huo wakati anashuhudia zaidi ya waparestina 40,000 wameuwa, yeye yupo nchini kwake akituma vi-drone tena kwa kijificha ficha.
Rais wake kabokolewa, kafanya nini zaidi ya mikwala mbuzi. Kipi kinamshinda kurusha walau Ballistic missile moja tu itue pale Islael?
-Hizbollah ambaye anapigana na Israel Kaskazini mwa Israel anapigana kwa nguvu ya Iran.
Kama haujui hilo ndio ukae ujue.
Yemen Houthi wanaoshambulia Eilat Israel wanashambulia kwa nguvu ya Iran ukae ujue hilo.
Kuanzia silaha hadi askari wapo Iran anatoa kwenda Hizbollah na Houthi.

-Suala la Ibrahim Raesi kufa kwa ajali ya helikopta Netanyahu alikanusha na alisema hausiki.Sasa nataka wewe utuletee ushahidi na huo ushahidi kuwa Israel kahusika.
Rejelea mwezi May Israel alipolipua balozi ya Iran Syria,Iran ililipiza kwa kurusha makombora na drone 300 kwenda Israel.
Je huo ni udogo!?
Vita nyingi za kumkabili Israel hapo mashariki ya kati anaziendesha Iran.
Je hilo ni jambo dogo??
-Kafuatilie Red sea ulipuaji na utekaji wa meli unaofanywa na Yemeni ile ni nguvu ya Iran.
Leo hii red sea hapapitiki kwasababu yake Iran.
 
Nani gaidi? Anaepigania nchi yake au mvamizi na muuaji kwa wasio na hatia?
Waliofanya mauaji ya kikatili Oct 7. Raia zaidi ya 1200 ikiwemo na raia wenzetu wawili wa kitanzania vijana wadogo kabisa waliuawa kikatili na magaidi Hamas.
 
Back
Top Bottom