Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi.
Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio.

Tuombe amani Hali ni tete.
Screenshot_20250617-122638.png
 
Hata Ayatollah akifa leo, kwangu atakuwa mshindi wa hii vita, he is a real man and true friend.

Amekubali kukaa kwenye vikwazo kwa zaidi ya 40yrs na kuwa na uhasama na west + Israeli kwasababu tu ya misimamo yake kuwatetea wapalestina
Ayatollah angeamu tu kukaa kimya kama wengine mfano Saudia, Kuwait, UAE nk yeye angeendelea tu kulazake bata.
 
Iran KWA pace hii ya makombora ingeachwa bila vikwazo hata US angesubiri kijeshi. Nimeona Kombora moja linapaa juu utadhani linalenga jua. Likishuka linashuka vertically KWA speed ya hatari Hadi kwenye target.

Kwa alichokifanya katika level za ushabiki Mimi nimeridhika hata akibondwa. Nimeona wale jamaa wanaakili kubwa sana Kila mtu duniani amejua. Hakuna Thaad, allow Wala David sling au iron dome, zilikuwa ni siasa za kijeshi na kibiashara tu
 
Na bahati mbaya Iran hawezi kufika Kwa ground force Israel ingeisha
 
Iwapo Israel itaanza kushambulia maeneo ya raia moja kwa moja kama ambavyo Iran imekuwa ikifanya au kama alivyofanya Gaza, hatua hiyo inaweza kubadili mwelekeo rasmi wa vita hii katika eneo la Mashariki ya Kati !? hasa ikizingatiwa kuwa Iran haina mfumo imara wa ulinzi wa anga.
 
Back
Top Bottom