Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

Hata Ayatollah akifa leo, kwangu atakuwa mshindi wa hii vita, he is a real man and true friend.

Amekubali kukaa kwenye vikwazo kwa zaidi ya 40yrs na kuwa na uhasama na west + Israeli kwasababu tu ya misimamo yake kuwatetea wapalestina
Ayatollah angeamu tu kukaa kimya kama wengine mfano Saudia, Kuwait, UAE nk yeye angeendelea tu kulazake bata.
Tangu zama za Mahmoud Ahmadinejad Iran imechezea vikwazo miaka na miaka. Wamejaribu sana kuidhoofisha hii nchi kiuchumi but they're still firm and strong.

I oppose war, inaumiza sana watu wa kawaida, wasio na sauti wala nguvu na kwa hili Israel na USA ni wachokozi sana.
 
Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi.
Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio.

Tuombe amani Hali ni tete. View attachment 3372854
Nilichogundua JF kuna maskhara mengi sana, unaweza ukakutana na taarifa humu lakini usikutane nazo pengine popote pale kwenye maistream.
But anyways, ni vita yao kivyao sisi tuna ya kwetu huko mpaka
 
Back
Top Bottom