Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

Iwapo Israel itaanza kushambulia maeneo ya raia moja kwa moja kama ambavyo Iran imekuwa ikifanya au kama alivyofanya Gaza, hatua hiyo inaweza kubadili mwelekeo rasmi wa vita hii katika eneo la Mashariki ya Kati !? hasa ikizingatiwa kuwa Iran haina mfumo imara wa ulinzi wa anga.
Iran mnamwonea tu asishambulie makazibya raia wakati ndio israel anaweka iron dome?
 
Ndio maana taarifa zikiwekwa humu kunakua na supporting documents ili kwa wasiyo a mini inakwenda ku verify . Usipende kujifungia ndani
Ukiona mpaka nimeandika hivyo ujue nimeshindwa ku verify, siwezi kwenda ku verify kwenye medias nisizozielewa, yaani nika verify kwenye sources a like of Millard Ayo?
Naona mnashundani kujazana upepo tu humu, huyu ataleta habari za sijui Israel kafanya h8vi, huyu Iran kafanya vile, ukienda ku verify sources unakuta hazipatikani kwenye media zozote huru zaidi ya zile za Propaganda,
 
Israel Hana mentality ya kulipua raia
🤣🤣Hapa muisrael ikaingia cha kike, akipiga raia kama kawaida yake naye atapigiwa raia wake. Hiyo inaitwa tit for tat hakana kukubali unyonge

Na muisrael analijua hilo ndio maana anaogopa kujaribu
 
Tunaomba tu, USA+CHINA+URUSI na mwingine yeyote asiingilie Ili tuone kati ya Kulwa na Dotto nani atamtia mwenzake adabu. Maana Tuliaaminishwa sana kua Dotto ndio Kila kitu anaakili kuliko yeyote yule. Lakini Kulwa anatuonyesha upande Halisi wa nduguye.
USA asiingilie mara ngapi kama anasaidia kutungua makombora ya Iran

Kama manowari yake ipo karibu kabisa kutoa msaada wa kiintelijensia na masuala mengine


Kama mabomu ya laser kapewa kwa wingi Israel


Unataka USA asiingilie vipi vita hij wakati toka mwanzo ameshaingilia
 
Iran KWA pace hii ya makombora ingeachwa bila vikwazo hata US angesubiri kijeshi. Nimeona Kombora moja linapaa juu utadhani linalenga jua. Likishuka linashuka vertically KWA speed ya hatari Hadi kwenye target.

Kwa alichokifanya katika level za ushabiki Mimi nimeridhika hata akibondwa. Nimeona wale jamaa wanaakili kubwa sana Kila mtu duniani amejua. Hakuna Thaad, allow Wala David sling au iron dome, zilikuwa ni siasa za kijeshi na kibiashara tu
Sakata LA Israel no Iran litatibua Sana multi billion dollar business ya silaha za Kimerikani. Dunia nzima imeangalia luninga na kuona jinsi missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa air defense systems za Kimerikani zilizo kuwa zinapigiwa debe pamoja no propaganda za kila siku kuhusu Umahili wa silaha hizo, huku wakitumia media za magharibi kuziponda silaha za Urusi na Uchina kwamba si lolote si chochote.

Vita hii ndio imewatia aibu hasa zaidi Merikani, ndiyo maana Israel wamehamua kikipiga mabomu kituo cha matangazo ya Radio na TV cha Iran, hawaraki Dunia ifahamu jinsi Air defense systems za magharibi zilivyo kuwa zinazidiwa kete no missiles za Iran na ukiwekea maanani kwamba mapaka sasa Iran imekwisha tungua ndege 3(tatu) aina F-35 - hivi sasa Merikani na marafiki zake walio nunua F-35 kwa wingi wamechanganyikiwa na hawataki kitunguliwa kwa ndege hizo kujulikane!!

Sijui kwa nini Trump amerudi haraka haraka White House kutoka mkutanoni,sina shaka anataka kutafuta mbinu za kuisadia Israel, mwishowe atajikuta ya Afghanitani yanajirudia tena huko Iran - Yankees ,never learn!!!
 
USA asiingilie mara ngapi kama anasaidia kutungua makombora ya Iran

Kama manowari yake ipo karibu kabisa kutoa msaada wa kiintelijensia na masuala mengine


Kama mabomu ya laser kapewa kwa wingi Israel


Unataka USA asiingilie vipi vita hij wakati toka mwanzo ameshaingilia
Sasa mbona Iran alionya kwamba atakayeingilia nayeye kipondo kinamhusu vipi ashaanza kushusha kipondo kwenye base za US hapo middle east?
 
Back
Top Bottom