hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😁😁😁😁 Nacheka kama mazuriAaaah.
Nani kawafundisha Iran kulenga!?
Mbona ghafla sana!?
Israel anahujumiwa, sio bure.
😁😁😁😁 Nacheka kama mazuriAaaah.
Nani kawafundisha Iran kulenga!?
Mbona ghafla sana!?
Israel anahujumiwa, sio bure.
😁😁😁😁 Njoo uchukue Pepsi big mkuuIran KWA pace hii ya makombora ingeachwa bila vikwazo hata US angesubiri kijeshi. Nimeona Kombora moja linapaa juu utadhani linalenga jua. Likishuka linashuka vertically KWA speed ya hatari Hadi kwenye target.
Kwa alichokifanya katika level za ushabiki Mimi nimeridhika hata akibondwa. Nimeona wale jamaa wanaakili kubwa sana Kila mtu duniani amejua. Hakuna Thaad, allow Wala David sling au iron dome, zilikuwa ni siasa za kijeshi na kibiashara tu
Acha kuliaNani kakudanganya ujinga huo???
Safi sana.makao makuu ya myahudi ya mossad yameshambuliwa vibaya huku maafisa wakuu wa mossad wakiuawawa kufuatilia mashambulizi makali ya makombora ya iran ya ballastic na hypersonic kushambulia leo asubuhi,
iran iliudanganya mfumo wa ulinzi wa iron dome na thaad wa israel na kufanya shambulizi la kushtukiza
inasemekana mkuu wa mossad ameuwawa
😁😁😁 Yaani mossad HQ Inapigwa mambomu Aisee Iran Wana dharau sanaMossad Tower imeangushwa na remote tu, mtu akiwa chumbani
iran ameanza kupiga kwenye mshonoAcha kulia
Kwamba unakataa makao makuu ya MOSSAD hayajashambuliwa ama unabisha nini?Nani kakudanganya ujinga huo???
Sawa sawa wenzako Haifa wanalia
View: https://youtube.com/shorts/6K5qMlIFpp8?si=ibTBoB6CIvzwWGSM
Vipi umeme sehemu zingine umerudi
View: https://youtube.com/shorts/uv0OWZJT83Q?si=O7xR_hOEnHeNfo_V
Sawa sawa wenzako Haifa wanalia
View: https://youtube.com/shorts/6K5qMlIFpp8?si=ibTBoB6CIvzwWGSM
Vipi umeme sehemu zingine umerudi
View: https://youtube.com/shorts/uv0OWZJT83Q?si=O7xR_hOEnHeNfo_V
😁😁😁😁Tunaomba tu, USA+CHINA+URUSI na mwingine yeyote asiingilie Ili tuone kati ya Kulwa na Dotto nani atamtia mwenzake adabu. Maana Tuliaaminishwa sana kua Dotto ndio Kila kitu anaakili kuliko yeyote yule. Lakini Kulwa anatuonyesha upande Halisi wa nduguye.
Uongo Njoo utam koleaKwamba unakataa makao makuu ya MOSSAD hayajashambuliwa ama unabisha nini?
Fuatilia vyombo vya habari vya kuaminika acha kuokoteza vijihanari huko kanisani kwa kondoo wenzako halafu unazileta humu kwa GT.
Halafu baadae tutakuja kulalamika Marekani anamsaidia Myahudi. Wabongo tunashida si kitoto.Sakata LA Israel no Iran litatibua Sana multi billion dollar business ya silaha za Kimerikani. Dunia nzima imeangalia luninga na kuona jinsi missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa air defense systems za Kimerikani zilizo kuwa zinapigiwa debe pamoja no propaganda za kila siku kuhusu Umahili wa silaha hizo, huku wakitumia media za magharibi kuziponda silaha za Urusi na Uchina kwamba si lolote si chochote.
Vita hii ndio imewatia aibu hasa zaidi Merikani, ndiyo maana Israel wamehamua kikipiga mabomu kituo cha matangazo ya Radio na TV cha Iran, hawaraki Dunia ifahamu jinsi Air defense systems za magharibi zilivyo kuwa zinazidiwa kete no missiles za Iran na ukiwekea maanani kwamba mapaka sasa Iran imekwisha tungua ndege 3(tatu) aina F-35 - hivi sasa Merikani na marafiki zake walio nunua F-35 kwa wingi wamechanganyikiwa na hawataki kitunguliwa kwa ndege hizo kujulikane!!
Sijui kwa nini Trump amerudi haraka haraka White House kutoka mkutanoni,sina shaka anataka kutafuta mbinu za kuisadia Israel, mwishowe atajikuta ya Afghanitani yanajirudia tena huko Iran - Yankees ,never learn!!!
Safi sana.
Huyu ni Muajemi sio mwarabu watu hawaelelewi tu.
Na bado kipondo kitazidi hadi Israel aombe poo kmmmk.
Usiku wa mateso kwa Mazayuni umewadia tena.
Israel atajuta kuanzisha ugomvi asiouweza kwa Muajemi.
Jana tu tumeambiwa Iran anarusha makombora kama anapopoa maembe.😁😁😁😁 Nacheka kama mazuri
Propaganda tu hizo ila kinacho wafika wanakijua wenyewe Kwa kweliJana tu tumeambiwa Iran anarusha makombora kama anapopoa maembe.
NIni kimebadilika? Maana ni ghafla sana.
Usimtaje lisu ukiwa umetoka kufirwa ili uwe chawa maarufuWatu wanajadili mambo ya vita jinsi vinavyopoteza uhai, halafu kuna hiyo ng'ombe ya Lissu inaleta ujinga!!
Sir...Mzee Mohamed Said niliwahi kusoma sehemu kuwa umewahi kuishi kama siyo kufika Iran. Je unaweza kutudokeza kwa ufupi wairan kwa ujumla ni watu wa aina gani na uwezo wao katika masuala mbalimbali? Natanguliza shukrani