Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

Sir...

Mwaka wa 2006 Iran ilifanya Hawli ya Imam Khomeini na walialika watu kutoka kila pembe ya dunia na watu wa imani zote.

Nilibahatika kuwa mmoja wa walioalikwa kutoka Tanzania.

Kulifanyika Kongamano la Kimataifa na suala la nuclear lilizungumzwa na Iran ilishikilia kuwa wao hawana nia wala haja ya kuwa na bomu hilo.

Mimi nilijiuliza huu mwaliko wa ulimwengu mzima nini hasa nia yake?

Nilichokiona ni kuwa Iran ilitaka ieleweke duniani na kama kuna wasioijua nchi yao waifahamu.

Nadhani kwa kiasi fulani walifanikiwa.

Mimi nifanya vipindi kadhaa vya mahojiano na Radio Tehran Idhaa ya Kiswahili na naamini Idhaa nyingine zifanya vipindi mfano wa nilivyofanya mimi.

Bahati mbaya nilipotua uwanja wa ndege Dar es Salaam nikakamatwa kwa tuhuma za kuwa muuzaji wa mihadarati.
Pole sana hasa hapo ulipomalizia haya ya Mwisho.Nafikiri niyalikuwa ni maelekezo ya West kwamba ukamatwe.
 
Fahamu Israel ilishamisha kila kitu kabla ya kuanza mashambulizi.
 
Echolimai kitumbua kimemwagiwa mchanga pole sana kama nakuona unavyotamani Tramp atimbe !!!!

Mm Nauliza tu uyu Israel ndio uyu mlisema anaweza kusimama na Dunia !!!!

au Sijui Vita vya siku 6 ndio uyu uyu au mwengine mana anachapwa na Wahuni wakiwa uko uko Iran !!

je awa wahuni Wakimfata Kwake apo Israel kutabaki mtu pale !!!!!!!!
 
Kwani yumo humu mzee Mohamed!!🤔🤔
Implicit...
Nipo najitahidi kusoma kila kinachowekwa hapa kuhusu hivi vita vya kusikitisha.

NewsFeed

Israeli intelligence buildings targeted as Iran claims direct hit​

Video of an Iranian attack on and near Israeli intelligence buildings near Tel Aviv has been circulating online, despite restrictions by the Israeli military censor.

Published On 17 Jun 202517 Jun 2025
 
Sir...

Mwaka wa 2006 Iran ilifanya Hawli ya Imam Khomeini na walialika watu kutoka kila pembe ya dunia na watu wa imani zote.

Nilibahatika kuwa mmoja wa walioalikwa kutoka Tanzania.

Kulifanyika Kongamano la Kimataifa na suala la nuclear lilizungumzwa na Iran ilishikilia kuwa wao hawana nia wala haja ya kuwa na bomu hilo.

Mimi nilijiuliza huu mwaliko wa ulimwengu mzima nini hasa nia yake?

Nilichokiona ni kuwa Iran ilitaka ieleweke duniani na kama kuna wasioijua nchi yao waifahamu.

Nadhani kwa kiasi fulani walifanikiwa.

Mimi nifanya vipindi kadhaa vya mahojiano na Radio Tehran Idhaa ya Kiswahili na naamini Idhaa nyingine zifanya vipindi mfano wa nilivyofanya mimi.

Bahati mbaya nilipotua uwanja wa ndege Dar es Salaam nikakamatwa kwa tuhuma za kuwa muuzaji wa mihadarati.
Bora tu wangekunyonga mpaka ufe maana huna maana yoyote!!!
 
Iran KWA pace hii ya makombora ingeachwa bila vikwazo hata US angesubiri kijeshi. Nimeona Kombora moja linapaa juu utadhani linalenga jua. Likishuka linashuka vertically KWA speed ya hatari Hadi kwenye target.

Kwa alichokifanya katika level za ushabiki Mimi nimeridhika hata akibondwa. Nimeona wale jamaa wanaakili kubwa sana Kila mtu duniani amejua. Hakuna Thaad, allow Wala David sling au iron dome, zilikuwa ni siasa za kijeshi na kibiashara tu
Hizo ni Ballistic Missiles, zikiwa zinaenda jiu zinaenda kwa speed ya kawaida ila zikishuka zikirenga target zinakimbia kwa speed ya sauti.

Kwa bahati nzuri/mbaya THAAD zina uwezo wa kuzizuia. THAAD zilileta mafanikio fulani dhidi ya Hypersonic missile kule Ukraine dhidi ya Russia.

Nafkiri batteries/pod zinakuwa zimeishia silaha au incoming missiles zinakuwa ni nyingi mno, so defence systems zinazidiwa.

Usiichukulie poa THAAD mzee.
 
Tunaomba tu, USA+CHINA+URUSI na mwingine yeyote asiingilie Ili tuone kati ya Kulwa na Dotto nani atamtia mwenzake adabu. Maana Tuliaaminishwa sana kua Dotto ndio Kila kitu anaakili kuliko yeyote yule. Lakini Kulwa anatuonyesha upande Halisi wa nduguye.
USA kisha ingia toka zamani nchi hizi zote zinamsaidia Israel kuangusha Missiles za Iran.

USA, UK, Germany, Italy. Turkey, India. Saud Arabia, UAE, Morocco, Jordan na bado Israel anapelekewa moto

Afu huku Turkey anajidai kumtuka Netanyahu na Saud Arabia wanajidai kama vile marafiki na Iran haha hio dunia imejaa wanafiki wanajidai Waislam kumbe ni hatari kuliko Wayahudi na Wakristo.

Israel ni chui kwenye karatasi tu mbele ya Iran.
 
Sakata LA Israel no Iran litatibua Sana multi billion dollar business ya silaha za Kimerikani Dunia nzima imeangalia luninga na kuona jinsi missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa air defense systems za Kimerikani zilizo kuwa zinapigiwa debe pamoja no propaganda za kila siku kuhusu Umahili wa silaha hizo, huku wakitumia media za magharibi kuziponda silaha za Urusi na Uchina kwamba si lolote si chochote - vita hii ndio imewatia aibu hasa zaidi Merikani ndiyo maana wamehamua kikipiga mabomu kituo cha matangazo no TV channel Iran hawaraki Dunia ifahamu jinsi Air defense systems za magharibi zilivyo zidiwa kete no missiles za Iran na ukiwekea maanani kwamba mala sasa Iran imekwisha tungua ndege 3(tatu) aina F-35 - mpaka sasa wamechanganyikiwa no hawataki hilo lijulikane!!

Sijui kwa nini Trump amerudi haraka haraka White House kutoka mkutanoni,sina shaka anataka kutafuta mbinu za kuisadia Israel, mwishowe atajikuta ya Afghanitani yanajirudia tena huko Iran - Yankees ,never learn!!!

Hizo ni Ballistic Missiles, zikiwa zinaenda jiu zinaenda kwa speed ya kawaida ila zikishuka zikirenga target zinakimbia kwa speed ya sauti.

Kwa bahati nzuri/mbaya THAAD zina uwezo wa kuzizuia. THAAD zilileta mafanikio fulani dhidi ya Hypersonic missile kule Ukraine dhidi ya Russia.

Nafkiri batteries/pod zinakuwa zimeishia silaha au incoming missiles zinakuwa ni nyingi mno, so defence systems zinazidiwa.

Usiichukulie poa THAAD mzee.
Mzee Thaad tumeshakubaliana KWA hypersonic haifui dafu labda KWA hizo Ballistic ambazo sio hypersonic
 
Hizo ni Ballistic Missiles, zikiwa zinaenda jiu zinaenda kwa speed ya kawaida ila zikishuka zikirenga target zinakimbia kwa speed ya sauti.

Kwa bahati nzuri/mbaya THAAD zina uwezo wa kuzizuia. THAAD zilileta mafanikio fulani dhidi ya Hypersonic missile kule Ukraine dhidi ya Russia.

Nafkiri batteries/pod zinakuwa zimeishia silaha au incoming missiles zinakuwa ni nyingi mno, so defence systems zinazidiwa.

Usiichukulie poa THAAD mzee.
Hii inapotelea outer space vertically. Inashuka kwenye target uso wanchi KWA speed ya +15 Mach
 
Hizo ni Ballistic Missiles, zikiwa zinaenda jiu zinaenda kwa speed ya kawaida ila zikishuka zikirenga target zinakimbia kwa speed ya sauti.

Kwa bahati nzuri/mbaya THAAD zina uwezo wa kuzizuia. THAAD zilileta mafanikio fulani dhidi ya Hypersonic missile kule Ukraine dhidi ya Russia.

Nafkiri batteries/pod zinakuwa zimeishia silaha au incoming missiles zinakuwa ni nyingi mno, so defence systems zinazidiwa.

Usiichukulie poa THAAD mzee.
Iran anatumia FATTAH ziko more advancing ikifika umbal fulan ina eject decoy na zinagawanyika kumchanganya adui alafu ile Warhead inaenda kwa kasi kulenga target..
 
Mbona makombora mengi sana tu yana decoy? Hio sio ajabu.
 
Back
Top Bottom