Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Wanasema Iran ni gamechanger. Ngoja tuone. Nadhani wanajiandaa kuja na comeback si ya kitoto.Kwahiyo game imebadilika??
Kwa haraka sana. Trump kaitisha kikao cha dharura white houseKwahiyo game imebadilika??
Letβs wait and seeWanasema Iran ni gamechanger. Ngoja tuone. Nadhani wanajiandaa kuja na comeback si ya kitoto.
Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi.
Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila mafanikio.
Tuombe amani Hali ni tete. View attachment 3372854
Safi sana sana ,hapa sasa yahudi atakapoichaza Δ°ran iwe kama gaza hatutaki kelele za kusema kusimamisha kipondo
Nitajie reporter unaemuamini nikuwekee taarifa hii mkongwe.Mkongwe, mwambie huyo Global Report aache umama!
πππNitajie reporter unaemuamini nikuwekee taarifa hii mkongwe.
Hata Afghanistan waliitisha vikao vingi, lakini mwisho wakakimbia.Kwa haraka sana. Trump kaitisha kikao cha dharura white houuse
Hahaha nimeshakuelewa sasa.πππ
Haujanielewa!
Iran KWA pace hii ya makombora ingeachwa bila vikwazo hata US angesubiri kijeshi. Nimeona Kombora moja linapaa juu utadhani linalenga jua. Likishuka linashuka vertically KWA speed ya hatari Hadi kwenye target.Hata Ayatollah akifa leo, kwangu atakuwa mshindi wa hii vita, he is a real man and true friend.
Amekubali kukaa kwenye vikwazo kwa zaidi ya 40yrs na kuwa na uhasama na west + Israeli kwasababu tu ya misimamo yake kuwatetea wapalestina
Ayatollah angeamu tu kukaa kimya kama wengine mfano Saudia, Kuwait, UAE nk yeye angeendelea tu kulazake bata.
Na bahati mbaya Iran hawezi kufika Kwa ground force Israel ingeishaIran KWA pace hii ya makombora ingeachwa bila vikwazo hata US angesubiri kijeshi. Nimeona Kombora moja linapaa juu utadhani linalenga jua. Likishuka linashuka vertically KWA speed ya hatari Hadi kwenye target.
Kwa alichokifanya katika level za ushabiki Mimi nimeridhika hata akibondwa. Nimeona wale jamaa wanaakili kubwa sana Kila mtu duniani amejua. Hakuna Thaad, allow Wala David sling au iron dome, zilikuwa ni siasa za kijeshi na kibiashara tu