Iran yasimamisha safari zote za ndege usiku wa leo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jamaa wanaweweseka balaa!

Ndege zote kutoka viwanja vya ndege vya Iran zimefutwa kuanzia saa 3 usiku leo hadi saa 12 asubuhi kesho kwa saa za huko, kwa mujibu wa shirika la habari la Mehr la Iran, likinukuu msemaji wa Shirika la Usafiri wa Anga la Iran.

Taarifa kwa marubani, au NOTAM, iliyotumwa na mamlaka za Iran inathibitisha kufungwa huku, isipokuwa kwa "ndege za dharura, ndege za kubeba abiria bila mizigo, na ndege za serikali."
======================

Flights from all Iran’s airports have been canceled from 9 p.m. today until 6 a.m. tomorrow local time, Iran’s Mehr news agency says, citing a spokesperson for Iran’s Civil Aviation Organization.

A notice to pilots, or NOTAM, sent out by Iranian authorities confirms the closure, while carving out exceptions for “emergency flight, ferry flights and state aircraft.”

Another state-run outlet, IRNA, cites “operational restrictions” for the closure, which may relate to an expected Israeli counterattack following an Iranian missile assault last week.

Soma Pia: Shambulio kubwa la makombora ya Iran liliharibu kituo cha ndege za kivita za F-35 cha Nevatim nchini Israel
 
Si ndio maisha walioamua kuyachagua kwa kuingilia vita isiyokuwa yao, we Shia na Sunni wapi na wapi??
 
Mala ngoja nivue viatu tupigane mala vyiup kumbe ndio anavyopigana siku zote atuyaoni aya Syria na kwengine😆😆😆
 
Umeanza na sentence yenye utata. Kama wanavyoweweseka wakiristo wa jf
 
It's a very dangerous thing for a nation like Iran, which has a cutting edge missile technology to acquire nuclear bombs. Thou owing to what's currently going in Lebanon, Palestine, Syria and Iraq, I wouldn't blame the Mullahs of Iran if they do acquire them.

For deterrence and balance of power, the Middle East is better off, if both nemesis states acquire Atomic Weapons. Respect and Order would be restored over a night, just like Europe in 40's and 50's.

By the way, Iran is fighting a Planetary King-Kong like Smashing Baboon, the United States who in 1953 invaded Iran and overthrew their democratically elected Prime Minister in order to steal Iranian oil.

This current fear and neurosis against the West is dully justified. If I was the Ayatollah I would be afraid too. Really Afraid.​
 
Mala ngoja nivue viatu tupigane mala vyiup kumbe ndio anavyopigana siku zote atuyaoni aya Syria na kwengine😆😆😆
Uandishi mmoja wa hovyo sana.

Ukiandika kitu kwani huwezi ukakihariri kabla hujakiachia mtandaoni?au device unayotumia umeikwara unaandika haraka haraka kabla mwenyewe hajakunyang’anya?
 
Sawa ila hatutotaka kelele za Israel anapiga watoto na wanawake
Uzuri iran alianza kuipiga tangu mwezi April mwaka huu na mpaka sasa israel imeshindwa kufanya lolote

Pili kuhusu Israeli kupiga watoto na wanawake sio sisi tu tuna lalamika pale ghaza hata UN wanalijua hilo na ndio maana hata macron anaona ni upuuzi kuendelea kumpa silaha huyo kibaka.
 
Na bado wanaweza wakachapwa kwa kupitia ndege...
 
Unapoonda mambo magumu na huna uwezo wa kuzuia ni jambo la kawaida kuificha familia yako na kuipa tahadhari
 
Poleni walaji ilitatizo limekuwa sugu kwangu naendelea kulifanyia kaz. Ila tumepewa chai yenye chumvi😂😂
 
Back
Top Bottom