Iran yasimamisha safari zote za ndege usiku wa leo

Ni kawaida tu mbona?
Hata Israel ilipokuwa inasubiri shambulia la Iran ilikuwa inahaha!.
Kadharika hata Iran wakati inasubiri shambulio la Israel lazima ihahe.
 
Walitangaza toka juzi muda huo viwanja vitakua vikifungwa
 
Wewe ni MSENGE...
Kufunga anga ni kawaida..ili kujiweka kwenye hali ya tahadhari.
 
Shida nini mbona wanaweweseka tangu wiki iliyopita ..si wana nyuklia wanahangaika nini
 
Tatizo liko wapi?
 
Flights zimekuwa canceled ili kutoa wigo kwa jeshi la anga ndege yoyote itakayoonekana kwenye anga ni ndege ya adui ipigwe ubaya ubwela
Uliyoeleza siyo sababu .
Ndege za kiraia na ndege za kivita zote huonekana na rada.

Kwa hiyo mwendo wa ndege vita na ndege ya abiria hutambulika.
 
Intelejensia hiyo, sasa walete hizo ndege zao tuone
 
Uliyoeleza siyo sababu .
Ndege za kiraia na ndege za kivita zote huonekana na rada.

Kwa hiyo mwendo wa ndege vita na ndege ya abiria hutambulika.
Watu hawataki kufanya makosa wanataka kudungua zile za waisrael tu
 
Myahudi hua anyamazi ila ukiona kanyamaza ujue kapigwa kwenye mshono na uwezo wa kurudisha hana rejea kilichotokea mwezi April.
Hamna mtu muoga wa kufa kama mvaa kobazi yeye anashambulia halafu anaenda kujificha Kwa kina mama Ili asife ila safari hii wamekutana na mtu katili netanyahu ni mbabe akawa anayamaliza magaidi ya kobazi pale pale yanapojificha kobazi waoga sana wa kufa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Iran ina wakati mgumu kujilinda maana haifahamu adui ataibukia wapi.
 
Watu wanafanya mambo kwa intelejensia sio mihemuko
Intelejensia Gani wewe hao waoga wa kifo tunawajua wazee wa kuanzisha ugomvi halafu wanakimbilia kujificha nyuma ya kina mama na watoto Ili wasife Sasa safari hii wamekutana na mtu mbad netanyahu yeye anafumua hapo hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo haindoi ukweli kua mwezi April yahudi kapigwa na juzi kapigwa tena na akapewa na onyo kali mpaka wafuasi mnaharishiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…