Iran yatangaza Kufunga Anga (NOTAM) Kuanzia tarehe 4 November Hadi November 6

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Iran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni.
Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran anajiandaa kutekeleza operation true promise 3. Tukae mkao wa kula.
 
Angempiga Yahudi kimya, kimya kama unamfinya mkorofi mbele ya mkutano wa Rais tena wa North Korea.
 
wakati huo huo, madege kadhaa yameshatua Qatar, pia, Misri inaruhusu meli za kivita za kiyahudi kupiga kuelekea Yemen, kwa hiyo iran atakapokuwa anapigwa, wahuthi wa yemen hawatafanya chochote. kule lebanon hezbollah wameshafungwa kengele hawana lolote.
 
Hivi mambo ya vitisho yataisha lini, wewe kama siraha unazo si uzitumie tuone? Taarifa na vitisho vya kijinga naona kama ni ishara ya kushindwa
Yeye kaamua kufunga anga yaheshimiwe maamuzi yake.

Kama atarusha makombora, tutaona

Au kama akirusha matikiti na mu israel acheze candy crush game tutajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…