Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mbwa akipata kichaa suluhisho huwa ni kumuua tu.Iran kama zuchu tu....
Iran akiwashambulia tena wayahudi,
Itakuwa ni sawa na mbwa aliepata kichaa.
Hawatamuacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa akipata kichaa suluhisho huwa ni kumuua tu.Iran kama zuchu tu....
NOTAM yao kama wameitangaza kweli basi ni ndefu kwa hizo siku mbili. Mara nyingi NOTAM huwa ni ya masaa machache wakati nchi inapofanya jaribio la kombora.Tarehe 4 sio mbali ngoja tuone, ila kwanini Iran ametangaza kabisa? si ana wa alert wa Israel? T14 Armata
Mbwa akipata kichaa suluhisho huwa ni kumuua tu.Iran kama zuchu tu....
Wachambuzi feki wa mambo ya vita wa jf ambao tangu mzaliwe hata sauti ya risasi hamjawahi kuiskia mnachekesha sanaNOTAM yao kama wameitangaza kweli basi ni ndefu kwa hizo siku mbili. Mara nyingi NOTAM huwa ni ya masaa machache wakati nchi inapofanya jaribio la kombora.
Ingawa sioni ni kwanini itakuwa ya muda wote huo, labda kama wanaamini wakishambulia watajibiwa immediately. Ila napo wangeweza kutoa ya muda mfupi kisha wakaiongezea kama kutatokea majibu. Sababu wametoa window ya 2 days ila what if majibu yatakuja baada ya siku nyingi zaidi ya hapo.
So far taarifa ya mleta mada haina source
Iran inajichimbia kaburi lake mwenyeweIran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni.
Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran anajiandaa kutekeleza operation true promise 3. Tukae mkao wa kula.
View attachment 3141635View attachment 3141636
Hii taarifa sijaiona sehem yoyoteIran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni.
Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran anajiandaa kutekeleza operation true promise 3. Tukae mkao wa kula.
View attachment 3141635View attachment 3141636
Usipotoshe taarifa mkuu.wakati huo huo, madege kadhaa yameshatua Qatar, pia, Misri inaruhusu meli za kivita za kiyahudi kupiga kuelekea Yemen, kwa hiyo iran atakapokuwa anapigwa, wahuthi wa yemen hawatafanya chochote. kule lebanon hezbollah wameshafungwa kengele hawana lolote.
Ni ndoto zako endelea kuota.uzuri ni ukishakula nyama ya mtu uuachi
Israel ishaishambulia Iran, now Iran itakuwa kama Syria
Natumaini umerudi kuwa normal baada ya kucheka. HongeraWachambuzi feki wa mambo ya vita wa jf ambao tangu mzaliwe hata sauti ya risasi hamjawahi kuiskia mnachekesha sana
Si ndiyo vizuri,au!?Iran inajichimbia kaburi lake mwenyewe