Iran yatangaza Kufunga Anga (NOTAM) Kuanzia tarehe 4 November Hadi November 6

Iran yatangaza Kufunga Anga (NOTAM) Kuanzia tarehe 4 November Hadi November 6

Iran kiboko, wanatowa mpaka muda wa mtu kuchezea kichapo.


Kile kichapo cha mwanzo na cha pili ni hivyo hivyo, sikuwaelewa.

Sasa nimewaelewa vilivyo. Wana full confidence, hakuna shoga anayeweza kuwazuia mashambulizi yao.
 
YANI afanye promis 3 na nusu iyo nusu iwe kuwakumbuka watoto wasionahatia wala dhambi waliuliwa kwa chuki tu akukuwa sababu yoyote Iran piga mafezuli tutoke pramis 3 tuje promis 4 + wkt wakuwaadhibu ndio sasa wao wameuwa watoto walioshindwa ata kusogea njiti sasa nawao awana ulinzi ni motoo tu atabkwao wasiende tumalizane apo apo mid est wafukiwe na nawatoto waliowauwa
 
Iran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni.
Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran anajiandaa kutekeleza operation true promise 3. Tukae mkao wa kula.
View attachment 3141635View attachment 3141636
alaaaa!!
kumbe airspace yao ilikua wazi hakua imefungwa hadi tar 4 ndio itafungwa?🐒

sasa si watachakazwa kwa kutangaza siri na nguvu za ufalme wao? 🐒
 
FB_IMG_17305767117502954.jpg
 
NOTAM yao kama wameitangaza kweli basi ni ndefu kwa hizo siku mbili. Mara nyingi NOTAM huwa ni ya masaa machache wakati nchi inapofanya jaribio la kombora.

Ingawa sioni ni kwanini itakuwa ya muda wote huo, labda kama wanaamini wakishambulia watajibiwa immediately. Ila napo wangeweza kutoa ya muda mfupi kisha wakaiongezea kama kutatokea majibu. Sababu wametoa window ya 2 days ila what if majibu yatakuja baada ya siku nyingi zaidi ya hapo.

So far taarifa ya mleta mada haina source
Upo mkuu picha za satellite za shambulizi la Israhell hujazipata huko ukatuletea
 
Kweli kabisa. Hiyo ni kutokana na uhakika kwamba mzee wa Suluhu(USA) au mzee wa kumdhibiti Myahudi asimpige mno Iran na proxys wake kupita kiasi (Kama ilivyo jitokeza USA kumkataza IDF asipige vituo vya mafuta au Nukes) sasa USA atakuwa bize na Uchaguzi hatakuwa na muda wa kumdhibiti Israel -Labda iwe baada ya uchaguzi. Kwa mantiki hiyo Israel atamfumua Iran kishenzi na kwa hasira zote na Iran hatokuwa na mahali pa kulia lia eti mzee naomba umshike/umzuie huyo kijana (IDF) walau nipumue kidogo. Iran anaenda kufa na tai yake shingoni. Ngoja Iran aliamshe kizembe tushuhudie kipondo.
Haya ukakojoe ukalale sasa
 
ikiwemo pia Syria. Hao wote wameshaandaliwa. Lakini pia tusisahau kwamba Myahudi naye atakuwa amejiandaa. Tunausubiri kwa hamu huo mtanange. Historia inataka kujirudia.
Safari hii zile mbwembwe za yule jamaa mwenye maskio kama mokonge kutoa tahadhari eti tumejiandaa kww kila scenario hatazioni tena maana sio kawwida yake hata kidogo
 
Iran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni.
Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran anajiandaa kutekeleza operation true promise 3. Tukae mkao wa kula.
View attachment 3141635View attachment 3141636
Rafiki siyo Mkao wa kula bali ni mkao wa kunyolewa for good! Maayatollah wa Iran wangejua where we are in the stream of time wasingecheza huo mchezo unaosema. Nimekuwa nikisema hapa mara kwa mara kuwa tunakoelekea Serikali za Dunia hii zitapiga Dini marufuku (Hiyo ni kulingana na Biblia Kitabu cha Ufunuo). Sasa ukiangalia Serikali ya Maayatollah wa Iran, wao ndiyo Serikali na wao ndiyo Dini. Set up hiyo ni lazima itapingana na Maazimio ya Serikali za Dunia; hivyo, ili unabii utimie ni lazima Ayatollah aondolewe. Kwa taarifa yenu tu ni kuwa shambulio lililofanya na Israel lilikuwa la kimkakati kiasi kwamba kwa sasa Irani yuko mtupu kiulinzi. the third round, Israel itaenda kumalizia kabisa. Na kama Mungu alivyoachia Farao awe na Kichwa ngumu ndiyo hivyo hivyo anamuachia Ayatollah awe na kichwa ngumu. He is finished for good
 
alaaaa!!
kumbe airspace yao ilikua wazi hakua imefungwa hadi tar 4 ndio itafungwa?🐒

sasa si watachakazwa kwa kutangaza siri na nguvu za ufalme wao? 🐒
Irsn walizolock F35 za mmarekani na Israel zilipokwe da kushambulia, ikabidi zisisogee kuingia ndani ya Iran.

Ukiambiwa wanafungia maana yake siyo kuwa linawekwa geti, maana yake hawaruhusu ndege yoyote kukatiza anga yao. Iwe ya binafsi, biashara au kivita. Inaweza kutunguliwa.

Fikiri, walikuwa hawajatangaza kuifungia anga ili wenye kazi zao zisizohusiana na vita na majirani zao waendelee kupita kama kawaida na kue delea na shughuli zao.

Licha ya hayo, hakuna ndege ya mazayuni wala mashoga zao iliyothubutu kuingia anga ya Iran.
 
Iran kiboko, wanatowa mpaka muda wa mtu kuchezea kichapo.


Kile kichapo cha mwanzo na cha pili ni hivyo hivyo, sikuwaelewa.

Sasa nimewaelewa vilivyo. Wana full confidence, hakuna shoga anayeweza kuwazuia mashambulizi yao.
"Full confidence" ni lugha ya Makafiri, achana nayo kabisa isikupotezee muda.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Back
Top Bottom