Irsn walizolock F35 za mmarekani na Israel zilipokwe da kushambulia, ikabidi zisisogee kuingia ndani ya Iran.
Ukiambiwa wanafungia maana yake siyo kuwa linawekwa geti, maana yake hawaruhusu ndege yoyote kukatiza anga yao. Iwe ya binafsi, biashara au kivita. Inaweza kutunguliwa.
Fikiri, walikuwa hawajatangaza kuifungia anga ili wenye kazi zao zisizohusiana na vita na majirani zao waendelee kupita kama kawaida na kue delea na shughuli zao.
Licha ya hayo, hakuna ndege ya mazayuni wala mashoga zao iliyothubutu kuingia anga ya Iran.