Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Wamejifungia wenyewe,myahudi anaingia , piga na kutoka anavyotaka, na sasa viberiti vya 300 vimechomwa vyote, Iran maneno tuu kama kina Ritz na faizafoxy wa JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo itakuwa safi sana anawakaanga tarehe 5Iran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni.
Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran anajiandaa kutekeleza operation true promise 3. Tukae mkao wa kula.
Tahadhari muhimu ili nchi zingine wazingatie hizo tarehe wasipitishe ndege zao unaweza kuanzisha mgogoro mwingine kwa kuangusha ndege ya somalia ambayo ilikua inajipitia zake tu Wala haijui kinachoendelea.Angempiga Yahudi kimya, kimya kama unamfinya mkorofi mbele ya mkutano wa Rais tena wa North Korea.
Kweli kabisa. Hiyo ni kutokana na uhakika kwamba mzee wa Suluhu(USA) au mzee wa kumdhibiti Myahudi asimpige mno Iran na proxys wake kupita kiasi (Kama ilivyo jitokeza USA kumkataza IDF asipige vituo vya mafuta au Nukes) sasa USA atakuwa bize na Uchaguzi hatakuwa na muda wa kumdhibiti Israel -Labda iwe baada ya uchaguzi. Kwa mantiki hiyo Israel atamfumua Iran kishenzi na kwa hasira zote na Iran hatokuwa na mahali pa kulia lia eti mzee naomba umshike/umzuie huyo kijana (IDF) walau nipumue kidogo. Iran anaenda kufa na tai yake shingoni. Ngoja Iran aliamshe kizembe tushuhudie kipondo.Naona Iran inaenda kufutika kabisaa kwenye utawala wake baada ya shambulio atakalofanya atapigwa sehemu zake zote anazotegemea.
Iran imeingia chooni bila kujijua
Hata akiwalert hana Israel njia ya kuzuia kipigo vitu vitashuka tu sehemu alizo kusudia.Tarehe 4 sio mbali ngoja tuone, ila kwanini Iran ametangaza kabisa? si ana wa alert wa Israel? T14 Armata
Kweli kabisa. Hiyo ni kutokana na uhakika kwamba mzee wa Suluhu(USA) au mzee wa kumdhibiti Myahudi asimpige mno Iran na proxys wake kupita kiasi (Kama ilivyo jitokeza USA kumkataza IDF asipige vituo vya mafuta au Nukes) sasa USA atakuwa bize na Uchaguzi hatakuwa na muda wa kumdhibiti Israel -Labda iwe baada ya uchaguzi. Kwa mantiki hiyo Israel atamfumua Iran kishenzi na kwa hasira zote na Iran hatokuwa na mahali pa kulia lia eti mzee naomba umshike/umzuie huyo kijana (IDF) walau nipumue kidogo. Iran anaenda kufa na tai yake shingoni. Ngoja Iran aliamshe kizembe tushuhudie kipondo.Naona Iran inaenda kufutika kabisaa kwenye utawala wake baada ya shambulio atakalofanya atapigwa sehemu zake zote anazotegemea.
Iran imeingia chooni bila kujijua
ikiwemo pia Syria. Hao wote wameshaandaliwa. Lakini pia tusisahau kwamba Myahudi naye atakuwa amejiandaa. Tunausubiri kwa hamu huo mtanange. Historia inataka kujirudia.Safari hii Iran atatumia proxy zote middle east,yemen,iraq, lebanon
Mtoto analilia wembe......Iran wanatafuta matatizo. Hawajui wanashindana na nguvu kubwa. Watapata maafa ma kubwa
😂😂😂😂 poleUjinga mtupu..
Pole mkuu hata Israel Huwa anatoa taarifa kabla hajashambulia na haimaniishi kuwa anatoa vitishoHivi mambo ya vitisho yataisha lini, wewe kama siraha unazo si uzitumie tuone? Taarifa na vitisho vya kijinga naona kama ni ishara ya kushindwa
Hata Israel alitangaza ni utaratibu wa kawaida labda kama huna unalojua kuhusu haya mambo ya kimataifa.Tarehe 4 sio mbali ngoja tuone, ila kwanini Iran ametangaza kabisa? si ana wa alert wa Israel? T14 Armata
Nimeweka link hapo kwenye andiko langu fuatilia utaona mkuu.Sema nimeisaka hii taarifa sijaiona
Anatoa taarifa ili vyombo vya anga visipite kwenye anga yake kwasababu ana kazi maalum. Huu ni utaratibu wa shirika la anga la kimataifa ICAO muwe mnajisomea somea kidogo kupunguza ujinga mdogo mdogo.kwanini anatoa taarifa
Mbona Israel naye alimwahidi Iran kwamba lazima atajilipiza kisasi na akawa nafanya maandalizi na akaonywa /akashauriwa na USA asipige maeneo ya visima vya mafuta au nyuklia ? Ila hakutaja tarehe. Kwa hiyo Iran anajiona ni mbabe sana na anamtangazia Israel labda ni ili kumjaza Israel hofu pengine Israel aombe mazungumzo ya amani(Truce). Hii nayo ni mbinu mojawapo vitani.Hawa wanataka kuwapoteza watu maboya Ili china, Russia wafanye udukuzi katika uchaguzi wa marekani ili mtu wanaye mpenda ashinde otherwise kama unataka kumshambulia adui yako kuna haja gani ya kupiga panda si ufanye kimya kimya.
Hiyo fuatilia zaidiHii taarifa sijaiona sehem yoyote
Na kweli watampa.Mtoto analilia wembe......
Njia moja wapo ya kupunguza ujinga ni kuuliza hapa jukwaani. Kwahiyo na juzi hapo israel alitangaza?Anatoa taarifa ili vyombo vya anga visipite kwenye anga yake kwasababu ana kazi maalum. Huu ni utaratibu wa shirika la anga la kimataifa ICAO muwe mnajisomea somea kidogo kupunguza ujinga mdogo mdogo.