Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hehehe samahani siku jua kama umeuliza swali ila jibu ni kwamba israhell sikumbuki kama walitangaza kufunga anga na kama hawakutangaza ni kwa sababu mbili kwanza hawajashambulia Iran kwa missiles ambazo kama wangefanya hivi ingekua lazima wafunge kwanza anga kuepusha ajali na ndege za commercial pili Israhell haikuishambulia Iran kutokea kwao kwahio hawakuhitajia kufunga anga yao pia hata kama wangeshambulia kutokea kwao isingewalazimu saana kufunga anga sababu walitumia ndege na sio makombora kama alivyo fanya Iran dhidi yao ama anavyotarajiwa kua atafanyaHuu mgogoro nyinyi mliochagua pande za kudumu mnazingua sana. Mimi sifahamu nimeuliza swali