Iran yatangaza Kufunga Anga (NOTAM) Kuanzia tarehe 4 November Hadi November 6

VITU LIVE HD FROM TEHRAN TO TELAVIV akuna chengachenga atawatoto wataona kipondwa mana kenge asikiii adi damu imtoke sikioni. Tutaona damu mbugi hii IRAN kashaamuwa kuwavua nguo wazungu mbele ya Dunia kazi kwetu yetu macho Starring Ayatollah
Ha ha ha ha ha hatari sana
 
Tahadhari muhimu ili nchi zingine wazingatie hizo tarehe wasipitishe ndege zao unaweza kuanzisha mgogoro mwingine kwa kuangusha ndege ya somalia ambayo ilikua inajipitia zake tu Wala haijui kinachoendelea.
Alafu al-shababu wanaanza zogo
 
Umeeleweka vizuri
 
Safari hii zile mbwembwe za yule jamaa mwenye maskio kama mokonge kutoa tahadhari eti tumejiandaa kww kila scenario hatazioni tena maana sio kawwida yake hata kidogo
Amejua kwamba watu wesha mshtukia. Hana lolote.
 
Na ndio western walichikua wanakitafuta muda mrefu, Iran ajisababishie sababu mwenyewe
Kama vyanzo na sababu za kuivamia Iran vilishatokea miaka ilopita.
Ila tambua kuivamia Iran sasa kutaleta maafa makubwa sana.
Hata kipindi cha Trump sababu ya kuivamia Iran ilipatikanika ila mbona hawakufanya hivyo!?
 
Sababu kubwa hawataki afikie level ya Kim kiduku, na wanajua wakichelewa kumdibiti mapema atakua kichaa kuliko Kiduku, na ni asili ya waarabu wengi wakiwa na uwezo
 
Sababu kubwa hawataki afikie level ya Kim kiduku, na wanajua wakichelewa kumdibiti mapema atakua kichaa kuliko Kiduku, na ni asili ya waarabu wengi wakiwa na uwezo
Kama kufikia level za Kiduku ameshafikia muda sana kaka muda mno.
Hakuna silaha ambayo Iran hawezi kuunda labda ndege tu ndio bado hajawa na uwezo.
Ila Iran ni waajemi sio waarabu,umewahi kuona wakitoa vitisho hovyo kama kiduku!??
Iran sio watu wa namna hiyo.
 
Ngoja tuone lakini mifumo ya ujasusi ya Wenzake imepenya sana kwenye mifumo sensitive ya kwake, hata mauji ya watu wake muhimu bila chenga ni sababu hiyo, wanajua level ya Maendeleo yake katika uundaji wa kila anachoundq
 
Nahisi mazayuni watashambulia tena kabla Iran hajashambulia.

Maana mmaekani na natoi nzima wamejikita jirani hapo na wameshaanza kuzuia Yemen amabayi wanaamini wakiishambulia Iran na yenyewe itashambulia mazayuni na mba a saudi arabia.
Punguza Uoga Mkuu. Ngoja Tuone Iran Usimchukulie Kinyonge Zitarushwa ICBM Zitue Pale Pentagon
 
Punguza Uoga Mkuu. Ngoja Tuone Iran Usimchukulie Kinyonge Zitarushwa ICBM Zitue Pale Pentagon
Hakuna uoga hapo, labda hujanisoma vizuri. Naona Iran wanawachelewesha mazayuni. Wabamize tu wasichelewe.
 
Hakuna uoga hapo, labda hujanisoma vizuri. Naona Iran wanawachelewesha mazayuni. Wabamize tu wasichelewe.
If you know the Enemy And Know Yourself You Need Not Fear The Results of Hundred Battles.Iran Hana Chakupoteza anajua akifanya one wrong move Iran itaenda kuwa kama Libya,Iraq etc. Muda Utatupa Majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…