Iran yatishia kukata cable za internet zinazopita baharini

Iran yatishia kukata cable za internet zinazopita baharini

Starlink inaenda take over internet dunia nzima na itakuwa ni households needs kama ilivyo maji ya kunywa. Elon Musk anadevelop tech ecosystem ambapo dunia nzima watatumia. Kwa mfano kuna X money ambapo miaka michache ijayo itatumika dunia nzima, na wanadamu na itakuwa linked na Neuralink ya huyohuyo Elon Musk. mpaka hapo tech tatu za Elon Musk zishatumika. Elon now anazungumzia Super AI sio AI tena.
Mkuu, hoja yako ina ushawishi mkubwa na inaonyesha unafuatilia sana maono ya mbali ya Elon Musk. Hata hivyo, ukizama ndani kwemye Uhandisi wa Mawasiliano (Telecom Engineering), Sayansi ya Kompyuta, na Uchumi wa Miundombinu, utagundua kuna ukuta mkubwa wa kiteknolojia na kifizikia unaozuia maono haya kuwa ukweli wa 100%.

Starlink vs. Nyaya za Chini ya Bahari (Subsea Cables): Pambano la Kifizikia

Mdau unadhani Starlink itachukua nafasi ya internet yote ya dunia. Hili haliwezekani kifizikia (Laws of Physics).
• Bandwidth na Uwezo (Capacity): Nyaya za fiber-optic chini ya bahari zinabeba asilimia 99% ya data zote za kimataifa. Waya mmoja tu wa fiber wa sasa unaweza kubeba mamia ya Terabits per second (Tbps). Starlink nzima, ikiwa na maelfu ya satelaiti zake, haina uwezo (aggregate capacity) wa kubeba hata 10% ya data za dunia nzima kwa wakati mmoja.
• Hali ya Hewa na Vikwazo (Attenuation): Mawasiliano ya satelaiti yanategemea mawimbi ya redio (RF) yanayopita angani. Mvua kubwa, mawingu, na dhoruba za jua (solar flares) huingilia mawimbi haya. Fiber optic iko salama chini ya ardhi na bahari ikisafirisha data kwa kasi ya mwanga bila kuathiriwa na hali ya hewa.
• Uhalisia: Starlink ni teknolojia ya kuziba mapengo (Complementary Tech). Imetengenezwa kwa ajili ya maeneo ya vijijini, milimani, baharini, na porini ambako fiber haiwezi kufika. Mijini kwenye majengo marefu na msongamano wa watu, Starlink inakabiliwa na tatizo la Line of Sight na msongamano wa masafa (spectrum congestion).
 
salari

Ili internet iwepo, data lazima zihifadhiwe mahali. Hapa ndipo Data Centers na Minara ya Simu (5G/6G) inapoingia.
• Satelaiti za Starlink ni kama "vioo vinavyoakisi mwanga" (mirrors in the sky). Hazihifadhi data zote za dunia; zinapokea data kutoka ardhini na kuzirudisha ardhini kwenye vituo vikuu vinavyoitwa Gateways.
• Hizi Gateways zimeunganishwa moja kwa moja kwenye Data Centers kubwa za ardhini (kama Amazon AWS, Microsoft Azure, na Google Cloud) kwa kutumia fiber optic. Bila miundombinu ya ardhini, Starlink haina cha kusafirisha.
• Kuhusu minara, huduma mpya ya Starlink ya Direct-to-Cell haitabadilisha minara ya simu mijini. Inatoa kasi ndogo sana (2Mbps hadi 4Mbps kwa kila eneo)—inayotosha tu kutuma SMS au kupiga simu za dharura ukiwa porini, siyo ku-stream video za 4K
 
Starlink inaenda take over internet dunia nzima na itakuwa ni households needs kama ilivyo maji ya kunywa. Elon Musk anadevelop tech ecosystem ambapo dunia nzima watatumia. Kwa mfano kuna X money ambapo miaka michache ijayo itatumika dunia nzima, na wanadamu na itakuwa linked na Neuralink ya huyohuyo Elon Musk. mpaka hapo tech tatu za Elon Musk zishatumika. Elon now anazungumzia Super AI sio AI tena. Hivyo Starlink sio internet ya kufanyia mambo madogo, tunazungumzia internet yenye product inayotumika jeshini (Zelensky analialia huko kubaniwa speed) hivyo hiyo sio internet ya kufanyia mambo madogo. Elon now anaanda kitu inaitwa large-scale orbital data center kwa kutumia hiyo hiyo starlink.
Hizi ni ndoto za mchana, amka hapo.
 
salari
Kuhusu hiyo tech ecosystem.yake elon
X Money: Hakuna sarafu au mfumo mmoja wa malipo unaoweza kutawala dunia nzima kwa sababu ya Sovereignty (Mamlaka ya Nchi). Benki Kuu za mataifa makubwa (US Federal Reserve, European Central Bank, Benki ya Uchina, na hata BOT ya Tanzania) haziwezi kuruhusu kampuni ya mtu binafsi idhibiti mzunguko wa fedha wa nchi zao. Sheria za kuzuia utakatishaji fedha (AML) zitaukata mnyororo huu mapema.
•Neuralink: Hii ni teknolojia ya matibabu (Medical Device) inayolenga kusaidia watu waliopooza (paralyzed) au wenye matatizo ya mfumo wa neva kuongoza kompyuta kwa kutumia ubongo. Wazo la kwamba kila mwanadamu atafanyiwa upasuaji wa ubongo ili kuwekewa chip ya Neuralink ili atumie X Money ni hadithi ya kisayansi (Sci-Fi). Gharama, usalama wa kibiolojia, na maadili ya kibinadamu (ethics) huzuia hili.
Super AI (AGI/ASI): Elon Musk anajenga kompyuta mpakato (Supercomputers) kama xAI (Grok). Lakini yeye siyo peke yake. Anapambana na makampuni yenye miundombinu mikubwa zaidi na data nyingi zaidi kama OpenAI (ChatGPT), Microsoft, Google (DeepMind), na Meta. Soko la AI litakuwa na ushindani mkubwa (Oligopoly), hakutakuwa na mshindi mmoja anayetawala kila kitu.
 
Mkuu, hoja yako ina ushawishi mkubwa na inaonyesha unafuatilia sana maono ya mbali ya Elon Musk. Hata hivyo, ukizama ndani kwemye Uhandisi wa Mawasiliano (Telecom Engineering), Sayansi ya Kompyuta, na Uchumi wa Miundombinu, utagundua kuna ukuta mkubwa wa kiteknolojia na kifizikia unaozuia maono haya kuwa ukweli wa 100%.

Starlink vs. Nyaya za Chini ya Bahari (Subsea Cables): Pambano la Kifizikia

Mdau unadhani Starlink itachukua nafasi ya internet yote ya dunia. Hili haliwezekani kifizikia (Laws of Physics).
• Bandwidth na Uwezo (Capacity): Nyaya za fiber-optic chini ya bahari zinabeba asilimia 99% ya data zote za kimataifa. Waya mmoja tu wa fiber wa sasa unaweza kubeba mamia ya Terabits per second (Tbps). Starlink nzima, ikiwa na maelfu ya satelaiti zake, haina uwezo (aggregate capacity) wa kubeba hata 10% ya data za dunia nzima kwa wakati mmoja.
• Hali ya Hewa na Vikwazo (Attenuation): Mawasiliano ya satelaiti yanategemea mawimbi ya redio (RF) yanayopita angani. Mvua kubwa, mawingu, na dhoruba za jua (solar flares) huingilia mawimbi haya. Fiber optic iko salama chini ya ardhi na bahari ikisafirisha data kwa kasi ya mwanga bila kuathiriwa na hali ya hewa.
• Uhalisia: Starlink ni teknolojia ya kuziba mapengo (Complementary Tech). Imetengenezwa kwa ajili ya maeneo ya vijijini, milimani, baharini, na porini ambako fiber haiwezi kufika. Mijini kwenye majengo marefu na msongamano wa watu, Starlink inakabiliwa na tatizo la Line of Sight na msongamano wa masafa (spectrum congestion).
wakati wewe unastaajabu na kuandika nadharia zako kuwa haiwezekani Elon now yupo actively anadevelop future plans to turn Starlink's network into orbiting space data.
 
wakati wewe unastaajabu na kuandika nadharia zako kuwa haiwezekani Elon now yupo actively anadevelop future plans to turn Starlink's network into orbiting space data.
Mdau, hakuna anayepinga kwamba Elon Musk anaendeleza mipango ya kupeleka AI data centers angani. Hoja yangu si kwamba haiwezekani, bali ni kwamba kutangaza mpango na kuufanikisha kwa kiwango kinachokusudiwa ni vitu viwili tofauti.

Changamoto si kuweka GPU angani pekee. Ni gharama za kurusha na kubadilisha vifaa, kupoza seva, kusambaza umeme, uwezo wa kuhamisha data kati ya angani na ardhini, usalama wa data na hatari za space debris.

Hata kama compute itahamishiwa angani, haitamaanisha miundombinu ya ardhini itakuwa haina umuhimu. Watumiaji, biashara na mifumo mingi bado itahitaji network connectivity, storage na miundombinu ya kusafirisha data.

Kwa hiyo, mimi sihoji ukubwa wa ndoto ya Elon; nahoji gharama, scalability na uendelevu wa kuitekeleza. Kuweza kufanya kitu kiteknolojia si sawa na kuweza kukifanya kwa gharama nafuu na kwa kiwango cha dunia nzima. Hapo ndipo tutakapopima mafanikio halisi ya mradi huu.
 
wakati wewe unastaajabu na kuandika nadharia zako kuwa haiwezekani Elon now yupo actively anadevelop future plans to turn Starlink's network into orbiting space data.
Wakati unajiuliza hayo, jiulize Iran ilifanikiwaje kuiblock starlink nchini kwao? Utaona bado safari ni ndefu, na lengo la starlink lilikuwa ni kutoa huduma za internet kwenye sehemu ambazo hazifikiki
 
Mdau, hakuna anayepinga kwamba Elon Musk anaendeleza mipango ya kupeleka AI data centers angani. Hoja yangu si kwamba haiwezekani, bali ni kwamba kutangaza mpango na kuufanikisha kwa kiwango kinachokusudiwa ni vitu viwili tofauti.

Changamoto si kuweka GPU angani pekee. Ni gharama za kurusha na kubadilisha vifaa, kupoza seva, kusambaza umeme, uwezo wa kuhamisha data kati ya angani na ardhini, usalama wa data na hatari za space debris.

Hata kama compute itahamishiwa angani, haitamaanisha miundombinu ya ardhini itakuwa haina umuhimu. Watumiaji, biashara na mifumo mingi bado itahitaji network connectivity, storage na miundombinu ya kusafirisha data.

Kwa hiyo, mimi sihoji ukubwa wa ndoto ya Elon; nahoji gharama, scalability na uendelevu wa kuitekeleza. Kuweza kufanya kitu kiteknolojia si sawa na kuweza kukifanya kwa gharama nafuu na kwa kiwango cha dunia nzima. Hapo ndipo tutakapopima mafanikio halisi ya mradi huu.
Bila kusahau signal jamming system, bado safari ni ndefu, kiuhalia starlink hawezi kureplace cable za fibre chini ya bahari
 
Ukraine ni swala la kitaifa ila Iran akibutua hizo cable ni swala la dunia mkuu. Then hizo starlink zilizopo Ukraine zimeanza kusumbua mara baada ya Ukraine kupinga kuondolewa vikwazo vya kununua mafuta ya Russia lakini kabla ya hapo zikikuwa zinafanya kazi na zilipelekea athari kubwa kijeshi
Hebu soma hapa kwanza
EU wenyewe wanapanga kuipiga pini na kuanzisha za kwao kutokana na ujinga wa musk kuinyanyasa ukraine huku wakipewa vitisho na Trump

US Threats Over EU Starlink Restrictions
©Daniel Torok/WIKIMEDIA COMMONS© IBTimes

Donald Trump's administration has warned European businesses they could face 'devastating' retaliation if Brussels pushes ahead with satellite-spectrum plans that could restrict American rivals, turning a battle over connectivity into another explosive flashpoint in transatlantic relations.

Andrew Puzder, the US ambassador to the European Union, issued the warning as Europe seeks greater control over critical technology infrastructure. The timing is striking: on 19 October, four of the continent's biggest telecom operators announced they were exploring a joint bid for satellite spectrum, signalling a fresh push to strengthen Europe's position in a market dominated by Elon Musk's SpaceX and its Starlink network.

US Ambassador Issues Stark Warning​

Speaking to the Financial Times, Puzder warned European companies they should be wary of possible retaliation if the EU advances its proposed policy.

'They should be wary that it could happen and it would be very devastating for those companies,' he said, pointing to the scale of the US market.

His remarks raise the prospect of a commercial backlash, although he did not announce specific tariffs, sanctions or other punitive measures.

Puzder argued that Europe should not make American companies less competitive in an attempt to strengthen domestic rivals. He also questioned whether the EU's Digital Markets Act was being enforced to improve competition or to generate revenue through fines on US technology firms.

The dispute highlights a widening divide between Washington's defence of American businesses and Brussels' drive to reduce reliance on foreign technology.

What the EU's Satellite Plan Means for Starlink​

At the centre of the confrontation is a European Commission proposal adopted on 27 May 2026 to establish a new EU-level selection process for mobile satellite services using the harmonised 2 GHz frequency band.

The current authorisations expire in May 2027. The proposed framework would determine how the spectrum is allocated for future services, including direct-to-device technology that allows compatible smartphones to connect to satellites.

The changes could restrict the frequencies available to some American and Chinese operators, including SpaceX. However, the proposal is not a blanket ban on Starlink, and the final rules have yet to emerge from the EU legislative process.

Brussels says its plan would encourage competition, diversify suppliers and improve Europe's resilience while remaining open to non-EU operators.

SpaceX has warned that the proposed changes could undermine connectivity in Ukraine, where Starlink has played a crucial role in civilian and military communications since Russia's full-scale invasion. The company has raised concerns about potential consequences, rather than reporting a disruption already caused by the proposal.

Four Telecom Giants Explore a European Alternative​

On 19 October, Deutsche Telekom, Orange, Telefónica and Vodafone announced that they had signed a letter of intent to explore a joint bid for future European mobile satellite services spectrum.

Their ambition is to strengthen European satellite connectivity and support direct-to-device services that could extend mobile coverage to underserved areas. They also want key ground infrastructure and coordination functions to be based in Europe.

The plan is still at an exploratory stage. The operators have not launched a functioning rival to Starlink, and a satellite partner has yet to be selected. They also do not intend to build a satellite constellation directly through this initiative, which would not replace their existing satellite partnerships.

Even so, the announcement gives fresh momentum to Europe's push for technological sovereignty, with major telecom companies now considering how they could play a greater role in the next generation of satellite communications.
 
salari
Kuhusu hiyo tech ecosystem.yake elon
X Money: Hakuna sarafu au mfumo mmoja wa malipo unaoweza kutawala dunia nzima kwa sababu ya Sovereignty (Mamlaka ya Nchi). Benki Kuu za mataifa makubwa (US Federal Reserve, European Central Bank, Benki ya Uchina, na hata BOT ya Tanzania) haziwezi kuruhusu kampuni ya mtu binafsi idhibiti mzunguko wa fedha wa nchi zao. Sheria za kuzuia utakatishaji fedha (AML) zitaukata mnyororo huu mapema.
•Neuralink: Hii ni teknolojia ya matibabu (Medical Device) inayolenga kusaidia watu waliopooza (paralyzed) au wenye matatizo ya mfumo wa neva kuongoza kompyuta kwa kutumia ubongo. Wazo la kwamba kila mwanadamu atafanyiwa upasuaji wa ubongo ili kuwekewa chip ya Neuralink ili atumie X Money ni hadithi ya kisayansi (Sci-Fi). Gharama, usalama wa kibiolojia, na maadili ya kibinadamu (ethics) huzuia hili.
Super AI (AGI/ASI): Elon Musk anajenga kompyuta mpakato (Supercomputers) kama xAI (Grok). Lakini yeye siyo peke yake. Anapambana na makampuni yenye miundombinu mikubwa zaidi na data nyingi zaidi kama OpenAI (ChatGPT), Microsoft, Google (DeepMind), na Meta. Soko la AI litakuwa na ushindani mkubwa (Oligopoly), hakutakuwa na mshindi mmoja anayetawala kila kitu.
Dunia inaenda kuwa na utawala wa kiongozi mmoja, jeshi moja, dini moja, sarafu moja aisee kweli wengi mko gizani, WEF, Global elites wanazungumzia universal basic income, CBDCs, Surveillance State we unashangaa X Money!!! kweli upo nyuma ya muda! wewe ndiyo wale wakiambiwa US economy, hence USD inaenda crash na kutoa njia kwa digital finance mnabisha. Subiria miaka miwili mpaka mitatu utakapoona hiyo BOT inalazimishwa kuwa CBDC na hivyo cash kupotea ndiyo utakumbuka ninachoandika hapa. Hiyo Soverenity unayoandika hapa very soon inaenda kupotea ambapo mtu mmoja ndiyo atakuwa na final say, kama sasa kuna G7 kwa maana ya watawala 7 ndo wanarun dunia sasa unashangaa nini kuwa kuna siku mtawala mmoja ndiyo atatawala dunia?
 
salari

Mdau, sasa turudi kwenye chanzo cha mjadala wetu: tishio la kukatwa kwa nyaya za intaneti chini ya bahari.

Hili linatuonyesha kwamba miundombinu ya dunia ina udhaifu wa kimkakati. Lakini pia halimaanishi kwamba Starlink au orbital data centers zitachukua nafasi ya fiber optic yote.

Elon Musk anaweza kufanikiwa kuhamisha sehemu kubwa ya AI computing kwenda angani, lakini hilo ni tofauti na kujenga mfumo unaoweza kuchukua nafasi ya miundombinu yote ya mawasiliano ya dunia kwa gharama nafuu.

Hoja yangu ni rahisi: kutatua tatizo moja la miundombinu hakumaanishi umetatua matatizo yote ya mfumo.

Ikiwa nyaya zitakatwa, satelaiti zinaweza kutoa njia mbadala kwa baadhi ya huduma. Lakini kama mahitaji ni kusafirisha data nyingi sana kati ya nchi, kuendesha mifumo mikubwa ya kifedha na kuunganisha data centers, fiber bado ina faida kubwa.

Kwa hiyo, tusichanganye uwezekano wa teknolojia na uwezo wake wa kuchukua nafasi ya mfumo mzima.

Elon anaweza kubadilisha jinsi dunia inavyotumia internet bila kuifanya fiber optic isiwe na umuhimu. Huo ndio msimamo wangu, na kipimo chake ni gharama, uwezo, latency na uendelevu wa mfumo mzima, si ukubwa wa jina la Elon Musk.
 
Swali ni kwamba starlink ata weza kuziba pengo la hizo fibre optic??
 
Utopia
 
Hao wanaongea pumba tu.kwanza hawawezi kukanyaga hormuz tena wanaota tu.
Cable zipo zile pale chini kweli,kuna submarine kama 100 sambamba huko chini zinapiga. Doria.
Halafu watu wako kwenye satelite sasa internet ya mkonga ni ttcl labda wataathirika.
 
Dunia inaenda kuwa na utawala wa kiongozi mmoja, jeshi moja, dini moja, sarafu moja aisee kweli wengi mko gizani, WEF, Global elites wanazungumzia universal basic income, CBDCs, Surveillance State we unashangaa X Money!!! kweli upo nyuma ya muda! wewe ndiyo wale wakiambiwa US economy, hence USD inaenda crash na kutoa njia kwa digital finance mnabisha. Subiria miaka miwili mpaka mitatu utakapoona hiyo BOT inalazimishwa kuwa CBDC na hivyo cash kupotea ndiyo utakumbuka ninachoandika hapa. Hiyo Soverenity unayoandika hapa very soon inaenda kupotea ambapo mtu mmoja ndiyo atakuwa na final say, kama sasa kuna G7 kwa maana ya watawala 7 ndo wanarun dunia sasa unashangaa nini kuwa kuna siku mtawala mmoja ndiyo atatawala dunia?
Mdau, hoja yako ina jambo la msingi ambalo sikatai: dunia inaingia kwenye kipindi ambacho teknolojia ya fedha, utambulisho wa kidijitali, AI na mifumo ya ufuatiliaji inaweza kuongeza uwezo wa taasisi na serikali kudhibiti shughuli za watu. Lakini kuanzia hapo hadi kuhitimisha kwamba dunia itatawaliwa na mtu mmoja, jeshi moja, dini moja na sarafu moja, kuna hatua nyingi ambazo bado hazijathibitishwa.

Kwanza, historia ya siasa za kimataifa haionyeshi mstari wa moja kwa moja kuelekea utawala mmoja; inaonyesha mapambano ya mara kwa mara kuhusu nani atamiliki na kudhibiti nguvu.

Dola ya Roma ilipanua mamlaka yake, Milki ya Uingereza ilitawala maeneo makubwa duniani, na baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia Marekani na Umoja wa Kisovieti waliunda mfumo wa ushindani wa pande mbili. Baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti mwaka 1991, Marekani ikapata nafasi kubwa zaidi ya ushawishi. Lakini hilo halikumaliza ushindani wa mamlaka. China imeinuka kiuchumi na kiteknolojia, Urusi imeendelea kujenga uwezo wa kijeshi na nyuklia, huku India ikiimarisha nafasi yake ya kimkakati.

Hili linatufundisha kwamba nguvu inapokusanyika upande mmoja, mataifa mengine hutafuta namna ya kujenga uwezo wa kujitegemea au kusawazisha nguvu hiyo.

Pili, G7 si serikali ya dunia. Ni jukwaa la mataifa saba yenye uchumi mkubwa yanayoratibu sera na kushawishi masuala ya kimataifa. Ushawishi mkubwa si sawa na mamlaka ya kisheria ya kutawala kila taifa. Mataifa yana maslahi yanayokinzana, mifumo tofauti ya kisiasa na uwezo wa kupinga au kukwepa shinikizo.

Tatu, tuangalie China, Urusi na India. China na Urusi zinashirikiana katika juhudi za kuunda mfumo wa kimataifa usiotegemea sana utawala unaoongozwa na Marekani. Lakini ushirikiano wao si sawa na kuungana chini ya mtawala mmoja. India nayo inafuata mkakati wa kujitawala kimkakati: inaweza kushirikiana na Marekani katika masuala fulani, kudumisha uhusiano wa kijeshi na Urusi, na kushindana na China katika masuala mengine. Huu ni mfano wa dunia ambamo mataifa yanashirikiana na kushindana kwa wakati mmoja. <Income na X Money: hivi si kitu kimoja. CBDC ni aina ya fedha za kidijitali zinazotolewa na benki kuu; UBI ni wazo la kutoa kipato cha msingi kwa watu; X Money ni huduma ya malipo inayohusishwa na kampuni binafsi. Kuwepo kwa mojawapo hakuthibitishi moja kwa moja kuwepo kwa mpango wa kuanzisha serikali moja ya dunia.

Hatari ya ufuatiliaji na matumizi mabaya ya mifumo ya kidijitali ni jambo la kujadili kwa uzito. Swali sahihi ni nani anayesimamia mfumo, data zinahifadhiwa wapi, miamala inaweza kuzuiwa kwa masharti gani, na wananchi wana haki gani za kisheria za kupinga maamuzi hayo.

Tano, kuhusu Tanzania na kauli yako kwamba ndani ya miaka miwili au mitatu BOT italazimishwa kuanzisha CBDC: hilo ni dai linalohitaji ushahidi. Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2025 inaeleza kuwa BOT inaendelea kufanya uchambuzi kuhusu manufaa, hatari na namna ya kubuni CBDC kwa mazingira ya Tanzania. Hiyo si sawa na tangazo kwamba CBDC itaanzishwa kwa lazima ndani ya miaka miwili au mitatu.

Mwisho, sovereignty haimaanishi taifa haliwezi kushawishiwa au kutegemeana na mataifa mengine. Inamaanisha mamlaka yake ya kujiamulia mambo yake bado yana nafasi ya kisheria na kisiasa. Taifa linaweza kupoteza sehemu ya uhuru wake kupitia madeni, utegemezi wa teknolojia, mifumo ya malipo ya nje au mikataba isiyo na usawa—bila dunia kuhitaji kuwa na rais mmoja.

Kwa hiyo, badala ya kutabiri kwamba mtu mmoja atatawala dunia nzima, ni muhimu zaidi kuchunguza namna nguvu zinavyokusanyika kupitia fedha, data, teknolojia, jeshi, nishati na minyororo ya ugavi.

Swali si kama dunia itakuwa na mamlaka moja tu. Swali ni kama mataifa yataweza kuhifadhi uwezo wa kufanya maamuzi yao wakati yanazidi kutegemeana na mifumo ya kimataifa. Hapo ndipo mjadala wa sovereignty unakuwa wa kweli.
 
salari

Mdau, sasa turudi kwenye chanzo cha mjadala wetu: tishio la kukatwa kwa nyaya za intaneti chini ya bahari.

Hili linatuonyesha kwamba miundombinu ya dunia ina udhaifu wa kimkakati. Lakini pia halimaanishi kwamba Starlink au orbital data centers zitachukua nafasi ya fiber optic yote.

Elon Musk anaweza kufanikiwa kuhamisha sehemu kubwa ya AI computing kwenda angani, lakini hilo ni tofauti na kujenga mfumo unaoweza kuchukua nafasi ya miundombinu yote ya mawasiliano ya dunia kwa gharama nafuu.

Hoja yangu ni rahisi: kutatua tatizo moja la miundombinu hakumaanishi umetatua matatizo yote ya mfumo.

Ikiwa nyaya zitakatwa, satelaiti zinaweza kutoa njia mbadala kwa baadhi ya huduma. Lakini kama mahitaji ni kusafirisha data nyingi sana kati ya nchi, kuendesha mifumo mikubwa ya kifedha na kuunganisha data centers, fiber bado ina faida kubwa.

Kwa hiyo, tusichanganye uwezekano wa teknolojia na uwezo wake wa kuchukua nafasi ya mfumo mzima.

Elon anaweza kubadilisha jinsi dunia inavyotumia internet bila kuifanya fiber optic isiwe na umuhimu. Huo ndio msimamo wangu, na kipimo chake ni gharama, uwezo, latency na uendelevu wa mfumo mzima, si ukubwa wa jina la Elon Musk.
Yaan wewe unamuwekea limits world's first super trillionaire! mtu ambaye anawaza namna isiyo ya kawaida! mtu ambaye ametanguliwa kuwaza ambayo wengine wameona hayawezekani kamwe ila yeye anafanya. Wewe ni kama wale waliamini hakuna namna ambavyo simu za mkononi zingereplace simu za kukoroga, wewe ndiyo wale ambao waliamini email zisingereplance barua za masanduku ya posta.
 
Back
Top Bottom