Hatuwezi kuishi kwenye dunia ya kigaidi, nchi inafadhili ugaidi, vijana wa Kitanzania waliuawa kwa itikadi za kidini na kikundi kinachofadhiliwa na Iran. Na bado Iran imewahi kutamka kuwa ikipata Nucleae itaifuta Israel, sasa nchi ambayo imejifungamanisha na vikundi vya kijinga na kujiwekea malengo yake wazi ya kumiliki Nuclear ili iipige Israel, unadhani Israel itakubali kuona hilo likitimia? Ingekuwa Kagane anatoa hilo tamko kwa Tanzania unadhani hali ingekuaje?
Utawala wa kishenzi wa Iran unapaswa kuoingwa na kudondoshwa, hata kama wakafunga hiyo Hormuz na kukata hizo cable haina maana kuwa dunia haitapata mbadala wake.