Majina ya hizi undersea cables hayafahamiki kwa watu wengi: SEA-ME-WE 5, AAE-1 (Asia-Africa-Europe 1), Falcon, GBICS (Gulf Bridge International Cable System), na TGN-Gulf. Cables hizi zinaunganisha Europe, Middle East, South Asia, Southeast Asia na Africa.
Hazisafirishi mafuta. Zinasafirisha data, commands, financial transactions, settlements, communications na operational directives.
Strait of Hormuz ni chokepoint muhimu kwa global oil transport, lakini pia ni chokepoint kwa global data flow. Kiasi kikubwa cha financial transactions, interbank settlements, stock market quotes, government communications na military orders, kutoka London hadi Mumbai, Frankfurt hadi Singapore, na Dubai hadi Hong Kong, husafirishwa kupitia conduits hizi. SWIFT messages, stock exchange orders, central bank settlement instructions, airline scheduling data na control signals za power grids , vyote hivi hupitia kwenye fiber-optic strands hizi, ambazo unene wake ni mkubwa kidogo tu kuliko human wrist.
Kuharibu oil route husababisha oil prices kupanda kwa kasi (spike).
Kuharibu data route husababisha financial system kusimama au kufanya kazi kwa shida kubwa.
Wakati oil shipments zinaweza kuelekezwa kwenye alternative routes, data haiwezi kuhamishwa kwa urahisi hivyo.
Kuna alternative paths chache kwa cables hizi na repairs zinaweza kuchukua miezi kadhaa.
Next war is no mere bluster
Msemaji wa Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) alizungumzia next war. Hakusema, “Ikiwa adui atatushambulia, tunaweza kufikiria hatua za kuchukua.” Badala yake, alisema, “Katika vita vijavyo, hizi cables saba zitaharibiwa.”
Kauli hii si maelezo tu ya hypothetical scenario. Ni ufafanuzi wa deterrence condition ambayo tayari imeanza kuwekwa mezani. Anaiambia Washington, Tel Aviv na kila anayehusika katika military planning dhidi ya Iran kwamba war plans zenu lazima zijumuishe consequences za kukata hizi undersea cables saba.
Consequences hizo ni zipi?
Financial systems za Gulf states zingepooza.
India's IT industry ingekumbwa na disruption.
Data transmission kati ya Europe na Asia ingelazimika kutegemea satellite na terrestrial links, ambazo zina limited capacity na extremely high latency.
Katika global financial markets, transaction latency ingebadilika kutoka milliseconds hadi seconds, au hata minutes. High-frequency trading, real-time clearing na cross-border payments — infrastructure inayotegemea millisecond-speed connectivity ya undersea cables — vingerejeshwa ghafla katika mazingira yanayofanana na pre-internet era.
Missile haiwezi kushambulia New York Stock Exchange moja kwa moja. Lakini pair ya wire cutters inaweza.
Why say this now?
Katika miezi michache iliyopita, Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) imeonyesha uwezo wake wa kudhibiti Strait of Hormuz: oil tankers zinazozima tracking systems zao kabla ya kugonga mines, unauthorized vessels zinazokamatwa au kuzuiwa na US carrier strike groups zinazojiondoa katika Red Sea. Hizi ni displays za maritime control.
Threat dhidi ya undersea cables ni extension ya control hiyo. Inapanua ujumbe kutoka “Ninadhibiti hii waterway” hadi “Ninadhibiti kila kitu kilicho chini ya hii waterway , oil, data, finance na communications. Kila kitu.”
Hii si escalation.
Ni kuweka moja ya cards mezani. Iran inawaambia adversaries wake: “Tayari mmehesabu consequences za mimi kuzuia Strait. Lakini bado hamjahesabu consequences za mimi kukata hizi cables. Sasa lazima mfanye hivyo.”
Who has most to fear from this?
Si United States. Marekani ina satellites, terrestrial networks, redundant routing systems na control kubwa katika global financial system. Kukatwa kwa cables katika Gulf kungeisababishia Marekani madhara, lakini kusingeisukuma katika hali ya financial paralysis.
Nchi zilizo hatarini zaidi ni Gulf states:
Saudi Arabia, UAE, Qatar, Kuwait, Bahrain na Oman.
Financial hubs zao, data centers, cloud services, banking systems na stock markets zote zinategemea cables hizi.
Dubai International Financial Centre,(DIFC), Abu Dhabi digital infrastructure, na tech hubs zinazopangwa chini ya Riyadh Vision 2030 vyote vinategemea connectivity inayotolewa na cables hizi.
Na India pia iko kwenye risk kubwa. India's IT industry, outsourcing services na financial transactions zinategemea sana undersea cables zinazopita Persian Gulf. AAE-1 na SEA-ME-WE 5 ni miongoni mwa primary conduits zinazounganisha India na Europe.
Cables hizi ni arteries za global financial system.
SWIFT messages, interbank settlements na stock exchange quotes, ingawa hazisafirishwi kupitia cables hizi pekee, zinategemea cables hizi kwa sehemu kubwa ya traffic yake.
Kukata connections hizi hakutasababisha interruption pekee. Kutasababisha latency. Na katika dunia ya finance, latency inaweza kumaanisha loss.
Kauli hii kutoka Iran haikulenga Washington pekee. Ilielekezwa pia kwa Gulf states ambazo zimeruhusu territory yao kutumiwa kwa mashambulizi dhidi ya Iran.
Inaweka calculation mbele yao: “Mara tu hizi cables zitakapokatwa, financial hubs zenu zinaweza kuendelea kufanya kazi kwa siku ngapi?”
Ultimate implication
Msemaji wa Revolutionary Guard hakuzungumzia kushambulia civilians. Alirejelea seti maalumu ya infrastructure, infrastructure inayowezesha economic na social functioning ya eneo zima.
Kuharibu infrastructure hii hakutakuwa military strike ya kawaida. Kutakuwa ni act ya economic paralysis.
Iran kimsingi inasema: “Mkituingiza vitani kwa nguvu, tutaufanya mfumo wenu mzima wa uchumi kuwa target, kama ambavyo missiles zenu ni targets kwetu.”
Hii si terrorism.
Hii ni reciprocal deterrence.
“Mnabomoa power plants zetu, ports zetu na hospitals zetu. Sisi tutakata cables zenu, financial networks zenu na communications zenu. Mnatumia mabomu kutunyima uwezo wa kupumua. Sisi tutatumia wire cutters kuwazuia ninyi kupumua.”
Cables saba. Chini ya Strait of Hormuz. Next war.
Hii si threat tu. Ni inventory ya targets