Mzungu akili nyingi sana, Russia pia alivyokata internet kule Ukraine kwa kuhack mifumo yao hasa ya kijeshi, ikabidi Elon Musk apeleke Internet. So Iran akiblock ni kama kumpiga teke chura, bado US kupitia kampuni ya Elon Musk atauza sana Internet.Kete alizonazo ameshatumia zote na zilizobakia zenye nguvu ni chache sana ambazo ni Babu almandar, straight of Hormuz na hizo cable basi.
Na akifanya hvy atakuwa ameipa dunia hasara ambayo haielezeki.
Lakini pia Iran anatakiwa ajue kuwa Kuna starlink za Elon musk akizima hizo cable mbadala utapatikana baada ya muda then yeye hatokuwa na kete nyengine ya kutishia nayo.
Hatuwezi kuishi kwenye dunia ya kigaidi, nchi inafadhili ugaidi, vijana wa Kitanzania waliuawa kwa itikadi za kidini na kikundi kinachofadhiliwa na Iran. Na bado Iran imewahi kutamka kuwa ikipata Nucleae itaifuta Israel, sasa nchi ambayo imejifungamanisha na vikundi vya kijinga na kujiwekea malengo yake wazi ya kumiliki Nuclear ili iipige Israel, unadhani Israel itakubali kuona hilo likitimia? Ingekuwa Kagane anatoa hilo tamko kwa Tanzania unadhani hali ingekuaje?Wakate ili tuone itakuwaje. Kama mbwai na iwe mbwai. Maneno mengi badala ya kufanyia kazi vita iishe
Hatuwezi kuishi kwenye dunia ya kigaidi, nchi inafadhili ugaidi, vijana wa Kitanzania waliuawa kwa itikadi za kidini na kikundi kinachofadhiliwa na Iran. Na bado Iran imewahi kutamka kuwa ikipata Nucleae itaifuta Israel, sasa nchi ambayo imejifungamanisha na vikundi vya kijinga na kujiwekea malengo yake wazi ya kumiliki Nuclear ili iipige Israel, unadhani Israel itakubali kuona hilo likitimia? Ingekuwa Kagane anatoa hilo tamko kwa Tanzania unadhani hali ingekuaje?
Utawala wa kishenzi wa Iran unapaswa kuoingwa na kudondoshwa, hata kama wakafunga hiyo Hormuz na kukata hizo cable haina maana kuwa dunia haitapata mbadala wake.
Ni kweli unachosema lakini haitatosheleza Kwa mujibu wa mahitajiMzungu akili nyingi sana, Russia pia alivyokata internet kule Ukraine kwa kuhack mifumo yao hasa ya kijeshi, ikabidi Elon Musk apeleke Internet. So Iran akiblock ni kama kumpiga teke chura, bado US kupitia kampuni ya Elon Musk atauza sana Internet.
😁🤣😁 kama Shanghai yenu mnaemtegemea kashindwa nyie muna maajabu ganiAnataka kupigwa na dunia nzima sasa
Musije mukaanza kulialiaMzungu akili nyingi sana, Russia pia alivyokata internet kule Ukraine kwa kuhack mifumo yao hasa ya kijeshi, ikabidi Elon Musk apeleke Internet. So Iran akiblock ni kama kumpiga teke chura, bado US kupitia kampuni ya Elon Musk atauza sana Internet.
Iran sio mjinga mwenzetu yule unadhani anakurupuka😁 kaisha jiandaaIran Akikata hizo cable yeye ana alternative tech gani kwenye internet?
😁😁😁 pole kwa kuteseka maana umeandika kwa maumivu makubwa kwakweliHatuwezi kuishi kwenye dunia ya kigaidi, nchi inafadhili ugaidi, vijana wa Kitanzania waliuawa kwa itikadi za kidini na kikundi kinachofadhiliwa na Iran. Na bado Iran imewahi kutamka kuwa ikipata Nucleae itaifuta Israel, sasa nchi ambayo imejifungamanisha na vikundi vya kijinga na kujiwekea malengo yake wazi ya kumiliki Nuclear ili iipige Israel, unadhani Israel itakubali kuona hilo likitimia? Ingekuwa Kagane anatoa hilo tamko kwa Tanzania unadhani hali ingekuaje?
Utawala wa kishenzi wa Iran unapaswa kuoingwa na kudondoshwa, hata kama wakafunga hiyo Hormuz na kukata hizo cable haina maana kuwa dunia haitapata mbadala wake.
Hizo Star link si ndio Iran alizi jam pale nchini kwake na kuzikamata!? Sasa zitasaidia nini??Mzungu akili nyingi sana, Russia pia alivyokata internet kule Ukraine kwa kuhack mifumo yao hasa ya kijeshi, ikabidi Elon Musk apeleke Internet. So Iran akiblock ni kama kumpiga teke chura, bado US kupitia kampuni ya Elon Musk atauza sana Internet.
Acha kuongea uongo matako wewe.Hatuwezi kuishi kwenye dunia ya kigaidi, nchi inafadhili ugaidi, vijana wa Kitanzania waliuawa kwa itikadi za kidini na kikundi kinachofadhiliwa na Iran. Na bado Iran imewahi kutamka kuwa ikipata Nucleae itaifuta Israel, sasa nchi ambayo imejifungamanisha na vikundi vya kijinga na kujiwekea malengo yake wazi ya kumiliki Nuclear ili iipige Israel, unadhani Israel itakubali kuona hilo likitimia? Ingekuwa Kagane anatoa hilo tamko kwa Tanzania unadhani hali ingekuaje?
Utawala wa kishenzi wa Iran unapaswa kuoingwa na kudondoshwa, hata kama wakafunga hiyo Hormuz na kukata hizo cable haina maana kuwa dunia haitapata mbadala wake.
Kwenye hili gazeti chapisha lingine ila edit tu izo sehemu ulizoandika iran iweke marekaniHatuwezi kuishi kwenye dunia ya kigaidi, nchi inafadhili ugaidi, vijana wa Kitanzania waliuawa kwa itikadi za kidini na kikundi kinachofadhiliwa na Iran. Na bado Iran imewahi kutamka kuwa ikipata Nucleae itaifuta Israel, sasa nchi ambayo imejifungamanisha na vikundi vya kijinga na kujiwekea malengo yake wazi ya kumiliki Nuclear ili iipige Israel, unadhani Israel itakubali kuona hilo likitimia? Ingekuwa Kagane anatoa hilo tamko kwa Tanzania unadhani hali ingekuaje?
Utawala wa kishenzi wa Iran unapaswa kuoingwa na kudondoshwa, hata kama wakafunga hiyo Hormuz na kukata hizo cable haina maana kuwa dunia haitapata mbadala wake.
Mbona kule meli hazipiti na hapigwiAnataka kupigwa na dunia nzima sasa
Naona korodani zinataka kuminywa hapa...Msemaji wa jeshi la mapinduzi la Iran (IRGC) limewakumbusha 'maadui' zake kwamba, kuna cable kuu 7 za internet zimekatiza kwenye mlango bahari wa Hormuz
Kwa mujibu wa Google AI, hizi ndiyo cable 7 kuu za internet zinazokatiza mlango huo:
View attachment 3693953
View attachment 3693955