Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Lugha gonganaa tafuta "Google translater "Story za vijiwe vya kahawa
Huo muda tangu umesema haufiki kama ni mtoto kazaliwa na meno ameshaota sasa.[emoji1787]muda ukifika msiseme anaonewa , haya yote mnayaona , waislam hamchelew kusahaau haya yote , yatunzen vzr sn , Israel haiez kubali kufutwa kijinga , hii migogoro wanaitaka waarab wachache na wapersia
Sasa si ndo vita inaendelea ikiwa ni pamoja na kumdhohofisha mwenzako kiuchumi kwa kushambulia vyanzo vyake vya kiuchumi au ulitaka achekewe?
Kwanza unacho takiwa kujua ni kuwa mshindi wa vita huwa ahamuliwi kwa mauaji au uharibifu alio ufanya bali mshindi wa vita huwa anaamuliwa kwa kutimiza lengo lililo mpeleka vitani.
Kila mtu aliingia vitani akiwa na malengo yake ,upande wa Hamas waliingia Israel wakateka watu kwa ajili ya kufanya mabadilishano na wafungwa wote wa kipalestina ina maana Israel ingekubali sharti hilo mpaka sasa vita hii usingekuwepo na Hamas angejitangaza mshindi.
Upande wa Israel marengo yake ni kukomboa mateka na kuiangamiza Hamas ili atangaze ushindi ni razima atimize malengo hayo tofauti na hapo ni ameshindwa vita.
Israel ilitoa pendekezo la kubadilishana mateka na usitishaji wa vita kwa wiki moja lakini hamas wenyewe wakakataa kuwa hatima ya mateka itaamuliwa baada ya vita kuisha.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hamas kamatia hapohapo🤣😂😆mipasho ya aina hiyo yanatambulisha jinsia yako.
Hujaona ya kuwa hasara ya hii vita haiko upande mmoja pekee.Na kila siku zinavyokwenda Israel na Marekani wataumia zaidi.
Waache waumie ...unawapenda?mipasho ya aina hiyo yanatambulisha jinsia yako.
Hujaona ya kuwa hasara ya hii vita haiko upande mmoja pekee.Na kila siku zinavyokwenda Israel na Marekani wataumia zaidi.
Fucken idiot..Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu wakati vita vikiendelea,mori wa vita sasa umepanda kwa Iran na kusema iwapo vita havitasimama basi dunia ijitayarishe kuona taifa hilo likiuziba mfereji wa Gibraltar.
Mfereji huo kama ilivyo kwa mfereji wa Sueza na bahari nyekundu nao ni njia kubwa ya baharini inayounganisha mabara na nchi nyingi katika usafiri wa baharini.Mfereji huo uko baina ya kaskazini ya Afrika eneo la Morocco na Spain na ndipo meli zote zinazoelekea Ulaya kaskazini na Marekani zinapopita baada ya kupita mfereji wa Suez
Tamko hilo limetolewa na Brigedia Mohammad Reza Naqdi wa Iran.Japo Iran haipakani moja kwa moja na mfereji huo lakini washirika wake wa Lebanon na Syria wanapakana na bahari ya Medeteranean.
Kuonesha kuwa chagizo hilo linawezekana pindi washirika hao wakikusudia,leo meli nyengine yenye uhusiano na Israel ikitokea Saudi Arabia kuelekea India imepigwa na droni na kushika moto pamoja na kwamba eneo hilo tayari lina ulinzi wa nchi 20 zikiongozwa na Marekani.
Iran threatens to shut Strait of Gibraltar as tensions ramp up
Israel kaonyesha njia jinsi ya ku deal na magaidi ya kiislamu, anaua mpaka mtoto njiti, anaua mama aliebeba mayai ya vigaidi anaua vitoto ambavyo vitakuja kua vigaidi, hii ni njia nzuri sanaHuo muda tangu umesema haufiki kama ni mtoto kazaliwa na meno ameshaota sasa.[emoji1787]
Katika medani za kivita Hilo suala ni kizungumkuti Sana.Kwa nini vita visitishwe wakati hamas ameshinda si hamas aendeleze kichapo kwa mazayuni🤣😅😁
Kweli mficha maradhi kifo humuumbua
Kama Hamas wanawageuza watoto,wazee kama ngao ulitegemea Israel ifanye niniKwani Israel inaua Hamas.inaua wagonjwa ,watoto,wanawake na wazee mplaka watoto waliozaliwa leo wanawaua.
Na sasa inakusudia kuua wote kwa kuwanyima chakula na maji.
Hamas wengi na wapalestina pia wameuawa, Hamas wasiuawe wenyewe kina naniKwani Israel inaua Hamas.inaua wagonjwa ,watoto,wanawake na wazee mplaka watoto waliozaliwa leo wanawaua.
Na sasa inakusudia kuua wote kwa kuwanyima chakula na maji.
Hasira tu hizoo.tuma namba nikurushie buku unywe Pepsi baridi.🤣Israel kaonyesha njia jinsi ya ku deal na magaidi ya kiislamu, anaua mpaka mtoto njiti, anaua mama aliebeba mayai ya vigaidi anaua vitoto ambavyo vitakuja kua vigaidi, hii ni njia nzuri sana
Unafikiri kuonea ni kitu cha kudumu.Anayeonea siku akipigwa na wewe usijeukasema amechezewa rafu.muda ukifika msiseme anaonewa , haya yote mnayaona , waislam hamchelew kusahaau haya yote , yatunzen vzr sn , Israel haiez kubali kufutwa kijinga , hii migogoro wanaitaka waarab wachache na wapersia
Israel inasema mipango yake ya kupigana na Hamas na kuifuta inakwenda kama ilivyopangwa.tangu lin mmeanza shiriki swala lenu la kuifuta Israel , hz mbinu zenu mlikuwa wap kuzifanya miaka hiyo?