Iran yatishia kuziba mfereji wa Gibraltar ambako meli zinazozunguka Afrika Kusini hupita kwenda Israel

Hasira tu hizoo.tuma namba nikurushie buku unywe Pepsi baridi.🤣
Ata wa Tanganyika tumewahukumu kuwanyonga magaidi waislamu mpaka wafe , inamaana na wewe mtanganyika una hasira nao

Omba Mungu husije ingia anga za magaidi waislamu, wanakuomba Aya moja ya kitabu Cha pedophile Muhammad ukishindwa unakula kisu Cha shingo
 
Mihemko.com
 
Porojo labda wangekuwa jirani na hapo
 
Mbona hazibi???? Iran ndio nchi mnayotegemea waislam kupambana na Israel?? baada ya mataifa yote ya kiislamu kupigwa kila kukicha hadi wamenyosha mikono yao juu refer majirani wote wanaozunguka Israel

Israel ni taifa la akina mama tu, kazi yao ni kuonea wanawake na kuwabaka tu wanawake wao huko, hamna lolote jipya kwa Iran ok🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nakubaliana na wewe.Mataifa ya kiislamu yamekuwa dhaifu kutokana na kuongozwa na wafalme na viongozi wa kuwapachikwa.
Kama Muhammed Morsi angekuwepo Palestina ingekuwa ishapata uhuru wake.
Kama Morocco inatawaliwa na mwanamume kama Houth basi hakuna meli ingepita pale kuelekea Israel.
Iran hawalaumiki moja kwa moja kwani wanafanya isipokuwa hawaendi mbali wanafikiria sana miradi yao ya nyuklia na viwanda vya teknolojia.Ndio maana wanapeleka misaada kwa siri kwa wengine ili wapigane kwa niaba yao.Si mbaya sana.
Lakini nakukumbusha tu kuwa kuziba alikokusudia Iran haikuwa na maana ya kupeleka meli yake na kuanza kupiga meli zinazopita au kuzui zisipite.Kuziba alikokusudia na ana uwezo nako ni kupiga kwa droni meli za Israel mpaka zihofu kutumia mfereji huo nao.Hilo si lazama lifanyike mara baada ya tamko.Tegemea kuona vitu kama hivyo huko mbele iwapo Israel haitositisha vita gaza/
 
Kuna jamaa yangu ndani ya realm ya Marekani ameniambia hii vita ni kubwa kuliko tunavyoiona.

Tujiandae kwa vita kuu ya dunia. Hotuba ua Netanyahu pale UNGA baada ya shambulizi la Oktoba 7 ilielezea kiufasaha namna AI itakavyotumika ingawa wengi hawakumuelewa
 
Kama Israel anashambulia misaada yakibinadamu inayoenda Gaza, nihalali Yemen na Iran wakishambulia meli zote zinazoenda Israel.
Umekumbusha jambo muhimu sana.
Misaada ya kuingia Gaza watu wanaihitaji na wanakufa njaa kwanza Israel anaizunguusha huku na huko na kuichelewesha kupita kisasi juu ya kwamba ni kidogo mno.Watu wanadhalilika kwa njaa mpaka matajiri wamekuwa omba omba na kukimbizana kufuata misaada hiyo.
Kuna siku askari wa Israel wanaichoma moto ile iliyokwishakuingia.Kimebaki nini kwa watu wenye huruma kuzuia meli zinazokwenda Israel zisipite maeneo yao.
 
mipasho ya aina hiyo yanatambulisha jinsia yako.
Hujaona ya kuwa hasara ya hii vita haiko upande mmoja pekee.Na kila siku zinavyokwenda Israel na Marekani wataumia zaidi.
Kama wote wanaumia shida nini!? Hapa naona kuna mmoja anaumia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…