100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Jeshi lao lipo imara na lina umoja kuliko mwanzo wa vita, wananchi pia wapo pamoja na serikali yao kuliko kabla ya vita, kilichopelekea wao kufanya hivyo ni kama hivyo nilivyoandika, wanajiandaa na chochote kitakachotokea maana kuna mamilioni ya wananchi wamejitolea kupambana ikitokea uvamizi.Labda jeshi kwenyewe Kuna baadhi ya wanajeshi hawataki kuendelea na msimamo wao wanataka kusalimu amri hivyo hii inafanyika ili kupata jeshi la akina kwa watakao kuwa tayari
Mm naona Mr Q kutumia neno pengine yuko sahihi zaidi.Jeshi lao lipo imara na lina umoja kuliko mwanzo wa vita, wananchi pia wapo pamoja na serikali yao kuliko kabla ya vita, kilichopelekea wao kufanya hivyo ni kama hivyo nilivyoandika, wanajiandaa na chochote kitakachotokea maana kuna mamilioni ya wananchi wamejitolea kupambana ikitokea uvamizi.
Iran wamezungukwa na maadui pande zote, UAE na baadhi ya nchi hapo gulf walikuwa wanaishambulia Iran kwa kujificha kwenye mgongo wa Israel na US, kibaya wakagundulika, ndio maana katika nchi zimepata kichapo zaidi ni UAE.. sehemu nyingi Dubai zile za starehe ni kweupe watu wamekimbia na mahoteli mengi yamefungwa.
Mafunzo si yatawafikia hata wasaliti wa ndani?
Televisheni ya serikali ya Iran sasa hivi inarusha vipindi vya mafunzo ya jinsi ya kutumia bunduki aina ya AK-47 kwa raia, ambapo wakufunzi kutoka jeshi la IRGC wanaonyesha namna ya kushika bunduki na kujiandaa kwa mapambano.
Hatua hii isiyo ya kawaida inaleta maswali mengi magumu kuhusu usalama wa ndani wa Iran, hasa kwa kuwa hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka kote Mashariki ya Kati.
Wataalamu wanasema uamuzi huu wa kuwapa raia mafunzo hadharani unaonyesha kuwa serikali ya Iran inaweza kuwa inajiandaa kwa ghasia, mapigano makubwa zaidi, au vita vya kikanda.
**********************************************************
Hicho wanachokifanya faida yake ni ndogo kwaani wanahatarisha usalama wa ndani.
Mafunzo si yatawafikia hata wasaliti wa ndani?
"Enemy within"...
Mzee serikaliya Iran inaelewa inachofanya kuliko mimi na wewe, hadi kufanya hatua hiyo wanajiamini na wanaionyesha dunia ni jinsi gani raia na jeshi walivyo na solidarity kipindi hiki kigumu cha vita.Kwa huo utawala wao ulivyochokwa, mbona raia watasaidia wageni kuangusha huo utawala.
Muiran wa Chalinze Mzee.π€£π€£Jeshi lao lipo imara na lina umoja kuliko mwanzo wa vita, wananchi pia wapo pamoja na serikali yao kuliko kabla ya vita, kilichopelekea wao kufanya hivyo ni kama hivyo nilivyoandika, wanajiandaa na chochote kitakachotokea maana kuna mamilioni ya wananchi wamejitolea kupambana ikitokea uvamizi.
Iran wamezungukwa na maadui pande zote, UAE na baadhi ya nchi hapo gulf walikuwa wanaishambulia Iran kwa kujificha kwenye mgongo wa Israel na US, kibaya wakagundulika, ndio maana katika nchi zimepata kichapo zaidi ni UAE.. sehemu nyingi Dubai zile za starehe ni kweupe watu wamekimbia na mahoteli mengi yamefungwa.
Daahh!!! ππππ
Televisheni ya serikali ya Iran sasa hivi inarusha vipindi vya mafunzo ya jinsi ya kutumia bunduki aina ya AK-47 kwa raia, ambapo wakufunzi kutoka jeshi la IRGC wanaonyesha namna ya kushika bunduki na kujiandaa kwa mapambano.
Hatua hii isiyo ya kawaida inaleta maswali mengi magumu kuhusu usalama wa ndani wa Iran, hasa kwa kuwa hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka kote Mashariki ya Kati.
Wataalamu wanasema uamuzi huu wa kuwapa raia mafunzo hadharani unaonyesha kuwa serikali ya Iran inaweza kuwa inajiandaa kwa ghasia, mapigano makubwa zaidi, au vita vya kikanda.
**********************************************************
Naam! Wanaandaliwa kuingia kwenye miji ya majirani maadui.
Nakumbuka katikaki ya vita Marekani alisema atapeleka jeshi la ardhini Iran ikasema endapo watavamiwa ardhini, basi wao wataanza kuivamia kuait na Qatar
Ukiangalia kwa makini unagundua hizi nchi ni ndogo sana lakini Marekani imewekeza sana huko.., ubaya mwingine ni kwamba maadui wa Iran walioko karibu pamoja na wale walioko mbali ni waoga mno wa vita vya uso kwa uso huku raia wa nchi hizo wakiiona Iran kama mkombozi.
Vikitokea vita vya ardhini tutashangazwa kama tulivyoshangazwa kwenye vita vya anga
Kiongozi unaichukuliaje Iran?Iran inajitengenezea kaburi lake. Nchi ambayo wananchi wengi hawaitaki serikali na hawawataki watawala, halafu unawafundisha wananchi hao hao namna ya kutumia silaha! Siku mambo yakiharibika, wote hao wanageuka kuwa maadui zako. Fikiria nchi inayoongoza kwa idadi ya wakimbizi Duniani, zaidi ya wairan milioni 7 wameikimbia Iran, wapo nchi za kiarabu, Ulaya na America.
Labda ndivyo Mungu anavyoongoza, utawala dhalimu wa kidikteta unajiondoa wenyewe.
Katika vitu vinavyowaunganisha wairan ni uchokozi kutoka nje.Iran inajitengenezea kaburi lake. Nchi ambayo wananchi wengi hawaitaki serikali na hawawataki watawala, halafu unawafundisha wananchi hao hao namna ya kutumia silaha! Siku mambo yakiharibika, wote hao wanageuka kuwa maadui zako. Fikiria nchi inayoongoza kwa idadi ya wakimbizi Duniani, zaidi ya wairan milioni 7 wameikimbia Iran, wapo nchi za kiarabu, Ulaya na America.
Labda ndivyo Mungu anavyoongoza, utawala dhalimu wa kidikteta unajiondoa wenyewe.
Weka link
Televisheni ya serikali ya Iran sasa hivi inarusha vipindi vya mafunzo ya jinsi ya kutumia bunduki aina ya AK-47 kwa raia, ambapo wakufunzi kutoka jeshi la IRGC wanaonyesha namna ya kushika bunduki na kujiandaa kwa mapambano.
Hatua hii isiyo ya kawaida inaleta maswali mengi magumu kuhusu usalama wa ndani wa Iran, hasa kwa kuwa hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka kote Mashariki ya Kati.
Wataalamu wanasema uamuzi huu wa kuwapa raia mafunzo hadharani unaonyesha kuwa serikali ya Iran inaweza kuwa inajiandaa kwa ghasia, mapigano makubwa zaidi, au vita vya kikanda.
**********************************************************
Chalinze Mzee ππππββοΈMuiran wa Chalinze Mzee.π€£π€£
Asante nami napata somo hapo