Iran yatoa mafunzo namna ya kutumia AK-47 mbashara kwenye Televisheni ya Taifa

Kulingamisha Wamarekani wenye asili ya kiyahudi waliopo Marekani Vs Wakimbizi kutoka Iran waliokimbilia Marekani na Ulaya kutokana na utawala katili wa Ayatollah, ni sawa na mtu anayelinganisha machungwa na mihogo.

Wayahudi waliopo Marekani, ni Wamarekani, lakini Wairan ni wakimbizi. Wengi walikimbilia huko kuogopa kuuawa baada ya kuingia utawala wa Ayatollah. Na hawawezi kurudi Iran kutokana na hofu.

Hivi hufahamu kuwa wengi wa Wayahudi waliopo Israel walitokea huko USA na Ulaya? Wengi wao ni vizazi vya baadaye vya Wayahudi waliohamia Ulaya miaka mingi wakikimbia tawala za kikoloni, ikiwemo Ottoman Empire ambayo ilikuwa na mtizamo wa chuki dhidi ya wayahudi kutokana na tabia yao ya kutokukubali kutawaliwa.

Iran ndiyo nchi inayoongoza Duniani kwa kunyonga wananchi wake.

Kusema kuwa Iran imeyazidi mataifa yote ya ghuba, ni uwongo mkubwa! Imewazidi nini, wakati Iran wananchi wake wanaishi katika umaskini mkubwa kuliko mataifa mengi ya kiarabu? Umaweza kulinganisha maendeleo ya wananchi wa Saudia, UAE, Qatar, Kuwait na Iran? Iran, ni kama North Korea, wananchi wake wanaishi katika umaskini mkubwa huku Serikali ikimalizia pesa zake kwente miradi ya mabomu na kufadhili makundi ya kigaidi.
Angali hata GDP per capita ya Iran ilivyo duni, linganisha na majirani zake:

1. Iran GDP per capita $4,260.

2. Kuwait GDP per capita $30,880

3. Saudi Arabia GDP per capita $ 35,450

4. UAE GDP per capita $51,290

5. Israel GDP per capita $60,520

6. Turkey GDP per capita $18,040

Unaona kabisa kuwa katika mataifa hayo yote, Iran ndiyo yente uchumi duni, na ndiyo nchi inayoongoza eneo hilo kwa kuwa na wananchi wengi wenye maisha duni kabisa ambao hata kupata mlo wa uhakika ni shida.
Ina maana Iranians wote hao uliosema 7 millions wapo kwenye list ya kuuawa? hivi hizi habari huwa mnazipatia wapi?

1970s huko ndiko mapinduzi yalitokea, hao waliokimbia wengi wao wamezeeka hivi sasa na wengine wamefariki, nashangaa uongo unao andika hapa.. na waliokimbia walikuwa vibaraka na wasuka mipango wa US, Khamenei ndiye mkombozi pale na mtu aliyekuwa na nia njema na Iran.

Na kama ulikuwa hufahamu Iran ndio nchi ina namba kubwa ya wayahudi wengi kwa mashariki ya kati ukiitoa Israel na wana synagogues wana abudu katika dini yao ya kiyahudi, hio serikali unayosema inaua wananchi wake kwanini chuki za wasielekeze kwenye hizo synagogue?

Hivi unaelewa kwenye hii vita Israel ndiye ameshambulia synagogue ya wayahudi pale Tehran?

Mbona wananchi wa Iran hawakuandamana na kwenda kuharibu synagogues za wayahudi kwa sababu wana chuki, maana hapo SOuth Africa waafrika wanaua waafrika wenzao na kuwafukuza watoke warudi kwao..

Mzee acha story za kwenye vijiwe vya kahawa.. Hebu funua akili na utoke hapo ulipo... vitu havipo kama ulivyoaminishwa....

Kuhusu GDP, dont you know Iran ipo kifungoni, ipo kwenye vikwazo karibu miaka 50? Lakini pia elewa hio GDP per capita umefanya na tafiti za gharama za maisha , labdanikuambie tu Iran ndio nchi ina gharama ndogo zaidi ya mafuta kuliko nchi zote za middle east na sio middle east tu, duniani kote hakuna nchi ina gharama ndogo ya mafuta kwa wananchi wake kama Iran wanauza $0.03 USD per liter licha ya vikwazo kwa karibu miaka 50... kiongozi hujui kitu..
 
Huyo jamaa nilisha muignore kitambo sana. Akili kisoda.
 
Back
Top Bottom