Iran yatoa mafunzo namna ya kutumia AK-47 mbashara kwenye Televisheni ya Taifa

Iran yatoa mafunzo namna ya kutumia AK-47 mbashara kwenye Televisheni ya Taifa

sddefault.jpg

Televisheni ya serikali ya Iran sasa hivi inarusha vipindi vya mafunzo ya jinsi ya kutumia bunduki aina ya AK-47 kwa raia, ambapo wakufunzi kutoka jeshi la IRGC wanaonyesha namna ya kushika bunduki na kujiandaa kwa mapambano.

Hatua hii isiyo ya kawaida inaleta maswali mengi magumu kuhusu usalama wa ndani wa Iran, hasa kwa kuwa hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka kote Mashariki ya Kati.

Wataalamu wanasema uamuzi huu wa kuwapa raia mafunzo hadharani unaonyesha kuwa serikali ya Iran inaweza kuwa inajiandaa kwa ghasia, mapigano makubwa zaidi, au vita vya kikanda.

**********************************************************
Waoga wanaogopa kuwasha internet
 
Iran inajitengenezea kaburi lake. Nchi ambayo wananchi wengi hawaitaki serikali na hawawataki watawala, halafu unawafundisha wananchi hao hao namna ya kutumia silaha! Siku mambo yakiharibika, wote hao wanageuka kuwa maadui zako. Fikiria nchi inayoongoza kwa idadi ya wakimbizi Duniani, zaidi ya wairan milioni 7 wameikimbia Iran, wapo nchi za kiarabu, Ulaya na America.

Labda ndivyo Mungu anavyoongoza, utawala dhalimu wa kidikteta unajiondoa wenyewe.
Bado mnaendelea na hadithi zenu za kipumbavu na kusadikika kuwa wananchi wa Iran hawaipendi serikali yao pamoja na kuumbuka kwote huko?

Alafu Iran ni taifa la watu walio elimika hivyo uvamizi wa marekani na Israel hawauchukulii kama vita dhidi ya serikali yao bali wanauchukulia kama uvamizi dhidi taifa lao.
 
sddefault.jpg

Televisheni ya serikali ya Iran sasa hivi inarusha vipindi vya mafunzo ya jinsi ya kutumia bunduki aina ya AK-47 kwa raia, ambapo wakufunzi kutoka jeshi la IRGC wanaonyesha namna ya kushika bunduki na kujiandaa kwa mapambano.

Hatua hii isiyo ya kawaida inaleta maswali mengi magumu kuhusu usalama wa ndani wa Iran, hasa kwa kuwa hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka kote Mashariki ya Kati.

Wataalamu wanasema uamuzi huu wa kuwapa raia mafunzo hadharani unaonyesha kuwa serikali ya Iran inaweza kuwa inajiandaa kwa ghasia, mapigano makubwa zaidi, au vita vya kikanda.

**********************************************************
Marekani na wenzie wanajiandaa kuingia Iran, baada ya lile kabila kupewa silaha na kuzisunda badala ya kuwapa wapinzani ndani ya Iran,huenda marekani kapata njia ya kuzifikisha,leo midege toka ulaya imefanya sana safari huko ghuba

UK na France majuzi wamesogeza meli vita,kinaenda kunuka haswa
 
Aisee, mona inakwenda kuwa mbaya sana...

Na mshenzi mmoja anaye chochea hilo kwa kila namna ni Israel..

Maana Iran wanataka guarantee kwamba wakubaliane hawatoshambuliwa tena, ina maana Israel atafanya juu chini achafue hali ya hewa, yupo radhi hata kufanya setups za mchongo ili kuaminisha EU kwamba Iran hawana nia njema.
 
Mm naona Mr Q kutumia neno pengine yuko sahihi zaidi.
Wanasema usiusemee moyo wa mtu.
Iran wanajiandaa na vita kubwa zaidi, sidhani kama Israel atakubali hili suala liishe hivi hivi, maana ni yeye ndiye kaivutaUS vitani.

Lengo lao kama si kuiangusha dola ya Iran basi ni kuwadhoofisha kama Syria ili awe anajipigia kama Iraq na Syria au muda wowote na wakati wowote, ngoja tuone mpambano..
 
Tumeua wapi na wangp
The war with the highest reported death toll in human history is World War II (1939–1945).

Because tracking casualties on a global scale is incredibly complex, historians work with estimates, but the widely accepted total death toll ranges between 70 million and 85 million people

To give you an idea of how that breaks down and how it compares to other massive historical conflicts, here is a quick look at the numbers.

The Scale of World War II
Unlike many historical wars where military combatants made up the bulk of the casualties, WWII was a "total war" that devastated civilian populations.
Civilian Deaths 50–55 million (due to strategic bombing, systematic genocides like the Holocaust, forced starvation, and disease).
Military Deaths: 21–25 million.
Hardest Hit Nations:The Soviet Union lost an estimated 27 million people, and China lost roughly 15 to 20 million people.

---

How it Compares to Other Deadliest Conflicts

While WWII holds the record for the highest absolute number of deaths, several other historical conflicts resulted in catastrophic loss of life, often over a much longer period of time:

NB.

Hivyo vita makafiri ndio mlioanzisha.
 
Ngonjera
 
Kiongozi unaichukuliaje Iran?
Wamewazidi akili na strategy gulf states zote wakiongozwa na US na Israel, strategy zao za kivita si za dunia hii..
Wao wanajua wanachofanya na wanajiamini, na utashangaa serikali itawapa wananchi silaha ambao watakuwa tayari kuingia kwenye mapambano.

Nchi ambayo ilitafuta kambi zote za US na radar zake middle east na kuzitwanga kwa usahihi mkubwa huwezi kusema hawajui wanachokifanya...

Umeongea as if serikali ya Iran haikufikiri kuhusu hilo, kwamba wewe ndio unawasanua ukitokea Tanzania ambapo hata Tehran hukuwahi kanyaga..

Jews wanaoishi US ni milion 7.6, jews waliopo Israel ni 7.4 million, hapo unasemaje? na wao ni wakimbizi?

Kulingamisha Wamarekani wenye asili ya kiyahudi waliopo Marekani Vs Wakimbizi kutoka Iran waliokimbilia Marekani na Ulaya kutokana na utawala katili wa Ayatollah, ni sawa na mtu anayelinganisha machungwa na mihogo.

Wayahudi waliopo Marekani, ni Wamarekani, lakini Wairan ni wakimbizi. Wengi walikimbilia huko kuogopa kuuawa baada ya kuingia utawala wa Ayatollah. Na hawawezi kurudi Iran kutokana na hofu.

Hivi hufahamu kuwa wengi wa Wayahudi waliopo Israel walitokea huko USA na Ulaya? Wengi wao ni vizazi vya baadaye vya Wayahudi waliohamia Ulaya miaka mingi wakikimbia tawala za kikoloni, ikiwemo Ottoman Empire ambayo ilikuwa na mtizamo wa chuki dhidi ya wayahudi kutokana na tabia yao ya kutokukubali kutawaliwa.

Iran ndiyo nchi inayoongoza Duniani kwa kunyonga wananchi wake.

Kusema kuwa Iran imeyazidi mataifa yote ya ghuba, ni uwongo mkubwa! Imewazidi nini, wakati Iran wananchi wake wanaishi katika umaskini mkubwa kuliko mataifa mengi ya kiarabu? Umaweza kulinganisha maendeleo ya wananchi wa Saudia, UAE, Qatar, Kuwait na Iran? Iran, ni kama North Korea, wananchi wake wanaishi katika umaskini mkubwa huku Serikali ikimalizia pesa zake kwente miradi ya mabomu na kufadhili makundi ya kigaidi.
Angali hata GDP per capita ya Iran ilivyo duni, linganisha na majirani zake:

1. Iran GDP per capita $4,260.

2. Kuwait GDP per capita $30,880

3. Saudi Arabia GDP per capita $ 35,450

4. UAE GDP per capita $51,290

5. Israel GDP per capita $60,520

6. Turkey GDP per capita $18,040

Unaona kabisa kuwa katika mataifa hayo yote, Iran ndiyo yente uchumi duni, na ndiyo nchi inayoongoza eneo hilo kwa kuwa na wananchi wengi wenye maisha duni kabisa ambao hata kupata mlo wa uhakika ni shida.
 
Back
Top Bottom