Waoga wanaogopa kuwasha internet
Televisheni ya serikali ya Iran sasa hivi inarusha vipindi vya mafunzo ya jinsi ya kutumia bunduki aina ya AK-47 kwa raia, ambapo wakufunzi kutoka jeshi la IRGC wanaonyesha namna ya kushika bunduki na kujiandaa kwa mapambano.
Hatua hii isiyo ya kawaida inaleta maswali mengi magumu kuhusu usalama wa ndani wa Iran, hasa kwa kuwa hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka kote Mashariki ya Kati.
Wataalamu wanasema uamuzi huu wa kuwapa raia mafunzo hadharani unaonyesha kuwa serikali ya Iran inaweza kuwa inajiandaa kwa ghasia, mapigano makubwa zaidi, au vita vya kikanda.
**********************************************************
Mbona wanaogopa kuwasha Internet?Katika vitu vinavyowaunganisha wairan ni uchokozi kutoka nje.
Bado mnaendelea na hadithi zenu za kipumbavu na kusadikika kuwa wananchi wa Iran hawaipendi serikali yao pamoja na kuumbuka kwote huko?Iran inajitengenezea kaburi lake. Nchi ambayo wananchi wengi hawaitaki serikali na hawawataki watawala, halafu unawafundisha wananchi hao hao namna ya kutumia silaha! Siku mambo yakiharibika, wote hao wanageuka kuwa maadui zako. Fikiria nchi inayoongoza kwa idadi ya wakimbizi Duniani, zaidi ya wairan milioni 7 wameikimbia Iran, wapo nchi za kiarabu, Ulaya na America.
Labda ndivyo Mungu anavyoongoza, utawala dhalimu wa kidikteta unajiondoa wenyewe.
Iran imefunga Internet ya kimataifa ila internet ya ndani inafanya kazi kama kawaida.Mbona wanaogopa kuwasha Internet?
Marekani na wenzie wanajiandaa kuingia Iran, baada ya lile kabila kupewa silaha na kuzisunda badala ya kuwapa wapinzani ndani ya Iran,huenda marekani kapata njia ya kuzifikisha,leo midege toka ulaya imefanya sana safari huko ghuba
Televisheni ya serikali ya Iran sasa hivi inarusha vipindi vya mafunzo ya jinsi ya kutumia bunduki aina ya AK-47 kwa raia, ambapo wakufunzi kutoka jeshi la IRGC wanaonyesha namna ya kushika bunduki na kujiandaa kwa mapambano.
Hatua hii isiyo ya kawaida inaleta maswali mengi magumu kuhusu usalama wa ndani wa Iran, hasa kwa kuwa hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka kote Mashariki ya Kati.
Wataalamu wanasema uamuzi huu wa kuwapa raia mafunzo hadharani unaonyesha kuwa serikali ya Iran inaweza kuwa inajiandaa kwa ghasia, mapigano makubwa zaidi, au vita vya kikanda.
**********************************************************
Ujue ni kosa kisheria 😂Asante nami napata somo hapo
Aisee, mona inakwenda kuwa mbaya sana...Marekani na wenzie wanajiandaa kuingia Iran, baada ya lile kabila kupewa silaha na kuzisunda badala ya kuwapa wapinzani ndani ya Iran,huenda marekani kapata njia ya kuzifikisha,leo midege toka ulaya imefanya sana safari huko ghuba
UK na France majuzi wamesogeza meli vita,kinaenda kunuka haswa
Wakawashtaki youtube au waifungie hapa TZ manina zaoUjue ni kosa kisheria 😂
Iran wanajiandaa na vita kubwa zaidi, sidhani kama Israel atakubali hili suala liishe hivi hivi, maana ni yeye ndiye kaivutaUS vitani.Mm naona Mr Q kutumia neno pengine yuko sahihi zaidi.
Wanasema usiusemee moyo wa mtu.
Nitamuita yule kiboko yenu..Makobaz na masuala ya uaji 🙌
Sina Kiboko yangu mmNitamuita yule kiboko yenu..
Kuna watu wanaopenda kuua kama nyinyi makafiri?Makobaz na masuala ya uaji 🙌
Tumeua wapi na wangpKuna watu wanaopenda kuua kama nyinyi makafiri?
The war with the highest reported death toll in human history is World War II (1939–1945).Tumeua wapi na wangp
NgonjeraThe war with the highest reported death toll in human history is World War II (1939–1945).
Because tracking casualties on a global scale is incredibly complex, historians work with estimates, but the widely accepted total death toll ranges between 70 million and 85 million people
To give you an idea of how that breaks down and how it compares to other massive historical conflicts, here is a quick look at the numbers.
The Scale of World War II
Unlike many historical wars where military combatants made up the bulk of the casualties, WWII was a "total war" that devastated civilian populations.
Civilian Deaths 50–55 million (due to strategic bombing, systematic genocides like the Holocaust, forced starvation, and disease).
Military Deaths: 21–25 million.
Hardest Hit Nations:The Soviet Union lost an estimated 27 million people, and China lost roughly 15 to 20 million people.
---
How it Compares to Other Deadliest Conflicts
While WWII holds the record for the highest absolute number of deaths, several other historical conflicts resulted in catastrophic loss of life, often over a much longer period of time:
NB.
Hivyo vita makafiri ndio mlioanzisha.
Unajua marekani kaua watu wangapi after Hiroshima and Nagasaki nuclear bombings?Tumeua wapi na wangp
Kiongozi unaichukuliaje Iran?
Wamewazidi akili na strategy gulf states zote wakiongozwa na US na Israel, strategy zao za kivita si za dunia hii..
Wao wanajua wanachofanya na wanajiamini, na utashangaa serikali itawapa wananchi silaha ambao watakuwa tayari kuingia kwenye mapambano.
Nchi ambayo ilitafuta kambi zote za US na radar zake middle east na kuzitwanga kwa usahihi mkubwa huwezi kusema hawajui wanachokifanya...
Umeongea as if serikali ya Iran haikufikiri kuhusu hilo, kwamba wewe ndio unawasanua ukitokea Tanzania ambapo hata Tehran hukuwahi kanyaga..
Jews wanaoishi US ni milion 7.6, jews waliopo Israel ni 7.4 million, hapo unasemaje? na wao ni wakimbizi?
Kawashe wewe MaarassMbona wanaogopa kuwasha Internet?