Iran yatoa mafunzo namna ya kutumia AK-47 mbashara kwenye Televisheni ya Taifa

Ina maana Iranians wote hao uliosema 7 millions wapo kwenye list ya kuuawa? hivi hizi habari huwa mnazipatia wapi?

1970s huko ndiko mapinduzi yalitokea, hao waliokimbia wengi wao wamezeeka hivi sasa na wengine wamefariki, nashangaa uongo unao andika hapa.. na waliokimbia walikuwa vibaraka na wasuka mipango wa US, Khamenei ndiye mkombozi pale na mtu aliyekuwa na nia njema na Iran.



Na kama ulikuwa hufahamu Iran ndio nchi ina namba kubwa ya wayahudi wengi kwa mashariki ya kati ukiitoa Israel na wana synagogues wana abudu katika dini yao ya kiyahudi, hio serikali unayosema inaua wananchi wake kwanini chuki za wasielekeze kwenye hizo synagogue?

Hivi unaelewa kwenye hii vita Israel ndiye ameshambulia synagogue ya wayahudi pale Tehran?

Mbona wananchi wa Iran hawakuandamana na kwenda kuharibu synagogues za wayahudi kwa sababu wana chuki, maana hapo SOuth Africa waafrika wanaua waafrika wenzao na kuwafukuza watoke warudi kwao..

Mzee acha story za kwenye vijiwe vya kahawa.. Hebu funua akili na utoke hapo ulipo... vitu havipo kama ulivyoaminishwa....

Kuhusu GDP, dont you know Iran ipo kifungoni, ipo kwenye vikwazo karibu miaka 50? Lakini pia elewa hio GDP per capita umefanya na tafiti za gharama za maisha , labdanikuambie tu Iran ndio nchi ina gharama ndogo zaidi ya mafuta kuliko nchi zote za middle east na sio middle east tu, duniani kote hakuna nchi ina gharama ndogo ya mafuta kwa wananchi wake kama Iran wanauza $0.03 USD per liter licha ya vikwazo kwa karibu miaka 50... kiongozi hujui kitu..
 
Huyo jamaa nilisha muignore kitambo sana. Akili kisoda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…