Islam's dominant sect, which roughly 85 percent of the world's 1.6 billion Muslims follow, view Shia Islam with suspicion, and extremist Sunnis have portrayed Shias as infidels, heretics and apostates.Ki namna gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Islam's dominant sect, which roughly 85 percent of the world's 1.6 billion Muslims follow, view Shia Islam with suspicion, and extremist Sunnis have portrayed Shias as infidels, heretics and apostates.Ki namna gani
Soon gani hiyo ambayo unatandikwa Kila siku lakini una kazi ya kusema soon tumechoka kusubiriaSoon tutasikia free Iran.
Mwanzo watu walidai Hezbula ni kiboko ya Isarel mwaka 2006 alikimbia, wakadai anawaonea Gaza. Sasa Hezbu wanaomba poo (pause) bila masharti ya kuihusisha Gaza huku mtarajiwa wa mrithi na mtarajiwa wa mrithi wa mrithi wakiungana na mrithiwa.
Yeye Iran anasema akipiga mkwara kwa nguvu zake hajui kimo cha nguvu za wengine.
Kikubwa ameyavulia nguo. Kitajulikana na uwanja wa vita utaamua, na hii inaweza ikawa jumlajumla maana mlengwa hapo ni Ayatollah.
Nakumbuka Iraq alitoa mkwara kama huo, mwisho wa siku ndio hivo tena.
Bila Urusi kuwa bize, ingekuwa ngumu kumpiga Iran, kama ilivyokuwa Syria. Sasa Urusi yupo bize na yake, yafaa sasa kulianzisha na huyu Iran.
😂😂😂😂 Leo mnawakumbatia waislamu wa Saudi Arabia ili tu kuepuka adhabu ya muirani . Na Bado mtasema yoteKwa taarifa yako uelewe kwamba Israel ni muhimu kwa Saudi Arabia kuliko Iran na Saudi Arabia anaelewa kwamba Wairan ni makafiri tu.
ungeendelea kaka,Hawa wengine wamejaa ushabiki na kutulisha matango poriKiongozi, mimi najua kinachoendelea ME kuliko wewe.
Mimi ni sunni na nina ndugu Yemen ambao ni sunni.
Najua kilichotokea Yemen kwa undani kuliko wewe.
Najua kinachoendelea Syria kuliko wewe. Sheikh Muhammad Al Hudaa Al Yaaqoubi msimamo wa kwanza alidhani kama wewe ambaye ni Sunni. Baadaye alibadilisha msimamo wake.
Sheikh Said Ramadhan Al Bouti ni mwanawazuoni mkubwa sana wa kisunni. Kauliwa na hao hao Isis ambao Saudi Arabia alikuwa aki fund operation zao kisa Sheikh Al Bouti aligundua hila zao na kuwa pamoja na Bashar Al Assad.
Tena aliuliwa ndani ya msikiti na bomu la kutegwa. Alikufa yeye pamoja na mjuu wake na watu wengine 42 na 84 wakiwa maeruhi.
Katika haya uliyoandika huwezi kuniongopea hata nukta.
Saudi Arabia walishaiuza Palestina kitambo na miaka ya nyuma kama siyo 2003 au 2005 mwakilishi wa Saudi Arabia alizomewa na wapelestina na wengine kumtaka aondoke. Mohammad Bin Suleyman alivyokuwa crown prince aliwataka wa Palestina wakubaliana na matakwa ya Israel kabla hata hii vita yao ya oktoba kuanza.
Sijisikii kuandika sana naishia hapa!
Nyie Ndio hamna akili timamu, yaani mnaona Wapalestina Ndio wanaonewa Lakini Wakurdi hawana hakiHuna akili napoteza muda hapa.
Unaweza paki gari Yako uwani kwa kushindwa gharama za mafuta. Au ukatumia TZ 11 kusafiri kwa kushinda kumudu gharama za nauli.Wacha wanyukane.
Hawaniwekei muhogo wangu na matembele mezani.
Mugabe huyu huyu au mwingine! Kichaa aliyeng'ang'ania Madaraka mpaka anajikolea mwenyewe! Huu utani Sasa.Kwa bahati mbaya sana viongozi wa nchi nyingi za Waarabu ni wale tunaowaita wanafiki na wamewekwa kwenye mamlaka yao na USA ikisapotiwa na Israel. Yani hapo Jordan, Saudi, Misri, UAE etc zote viongozi wao ni vibaraka wa USA na Israel na ndio maana huoni hata wakikemea dhuluma ya Israel dhidi ya Palestina.
Hawa viongozi wao wanachojali ni maslahi yao tu hawajali chochote wala hawapo hapo kuwatetea wanaoonewa, infact wenyewe wanawaonea wananchi wao na katika hizo nchi hakuna demokrasia na hakuna uchaguzi. Lakini kamwe huwezi kusikia USA au UN wanasema hao viongozi kuwa ni madikteta. Kwa dunia ya leo Dikteta ni kiongozi ambaye hataki kufata masharti ya USA mfano Saddam na Gadafi au Mugabe lakini wanaotii kamwe sio madikteta.
Hawa viongozi waliowekwa na USA na Israel wanahakikisha wanalinda maslahi ya waliowaweka vinginevyo wanapinduliwa, na wote wanalindwa na USA na Israel. Na hawataweza kwenda kinyume na makubaliano yao na mabwana zao otherwise watakuwa eliminated. Hawa wameuza ubinadamu wao kwa mali na vyeo
Kwa hivyo ni ngumu sana hawa viongozi kubadilika labda kama yatatokea mageuzi kwenye nchi zao waondolewe madarakani. Na sisi tunaombea hilo na ninaamini ipo siku wataondoka na kupatikana viongozi wema na hapo ndio utakuwa mwisho wa Israhell.
Bwana Yesu apewe sifaIran sio nyepesi kama unavyodhani.
Kama ingekua nyepesi ingeshavunjwa utawala wake miaka ile ya 1980s ikiwa bado nchi dhaifu.
Ila sasa ishakita mizizi no way unaweza iangusha Iran.
Hao USA wenyewe wanajua sio rahisi ndio maana kila siku wanaishia kutishia tu.
Unaizungumzia nchi iliyopigana vita miaka nane consecutively.
Hata Russia alitoa onyo kama hili, lakini halikutiliwa maanani na wanaume, bado wanatoa misaada ya kijeshi huko UkraineIran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Hii sasa ni rasmi, Iran hawalali kwa uoga na hofu ya kushambuliwa.Iran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Hayo si yanaongozwa na ujinga na upumbavu!yaani wanawapangia wenzao hadi matumizi ya anga zaoYaani wao Iran watumie anga za wengine kurusha makombora kwenda Israel, ila Israel isitumie hizo hizo anga kulipiza? Upuuzi huo
Mkuu embu ongea kama mtu mzima basi.Hasara to which levels? Iran wali declare kuwa wanahusika na hizo attack?
A perfect attack ni kumuumiza adui asiweze kuendelea na operation zake. But then saudi ndio wana uchumi mkubwa kuliko iran, probably wana jeshi bora sasa kuliko nyuma
Tunarudi pale pale iran hamna kitu atafanya ni biti tu for nothing
Mzee hakuna nchi yoyote ya kufikisha mwisho wa Israel hapa duniani hata malaika mwenyewe hawezi, mpaka kwa idhini ya Mungu mwenyewe na haitatokea mpaka mwisho wa mbingu na nchi.na hapo ndio utakuwa mwisho wa Israhell
Kaka huna point bado. If attack ya iran ingekuwa ina damage kihadi hiko leo saudi angekeua haganayi kitu bila iran kuruhusu, or wasingekuwa ecomic power house, billions of dollar is nothing kama saudi ame revover in short period of timeMkuu embu ongea kama mtu mzima basi.
Billions of dollars hiyo siyo hasara!?
Hata ingekua hasara ya mia moja ni hasara.
Houthi ni kundi linalopewa msaada wa silaha, jeshi na fedha na Iran.
Kuna IRGC soldiers ndani ya Houthi kama ulikua hujui.
Saudi Arabia kuwa na uchumi mkubwa hiyo inatambulika toka zamani,ila usisahau Iran ni nchi yenye economic sanctions 40+ years lakini ni middle upper income country.
Nenda kafanye tafiti ujengaji wa petroleum plant ni mamilioni mangapi kesha urudi hapa.