permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ngoja kwanza tumalize kukata mikono ya Iran [Hamas na Hezbollah] ndio tumshenyente vizuri.Tunasubiri Israel ajibu kwa sasa maneno matupu hayatusaidii. Iran keshapiga Israel ajibu sasa tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja kwanza tumalize kukata mikono ya Iran [Hamas na Hezbollah] ndio tumshenyente vizuri.Tunasubiri Israel ajibu kwa sasa maneno matupu hayatusaidii. Iran keshapiga Israel ajibu sasa tuone
😂😂😂😂 mmekubali yaishe kiaina siyoNgoja kwanza tumalize kukata mikono ya Iran [Hamas na Hezbollah] ndio tumshenyente vizuri.
Nani kasema Yemen hakuna Fujo? Yemen imekuwa failed State no one care for it Ndio maana haiongelewi, kwa sasa Yemen imegawanyika vipande viwiliNani alipeleka majeshi Yemen juzi tu hapo akisaidiwa na USA Ili kupambana na Houth?. Mbona kwa sasa Yemen hakuna fujo?.
Iran.Nani kazifanya hizo nchi ziwe masikini kati ya USA na IRAN?.
Na Marekan kwa nn aliivamia 2002/2003 alikua anataka nini?. Je baada ya hio 2003 imetulia ?. Hata hio 1980 Marekan alikua anasapot nchi gani na kwa nini aliigeuka 2002?.Iran.
Iran anazibadilisha kuwa Vassals
Yemen ni Moja ndio maana hata juzi Marekan kasema Houth wasishambulie meli Ili aitambue kama Serikal halali. WEST na USA wakishindwa kutambua Serikali sio kwamba nchi imegawanyika. Hata Venezuela tumeona na tuliona.Nani kasema Yemen hakuna Fujo? Yemen imekuwa failed State no one care for it Ndio maana haiongelewi, kwa sasa Yemen imegawanyika vipande viwili
Wangejua waisrael wengi sio wakristo, asilimia 70 ni wayahudi, 20 waislamu, 10 ndio wakristo wasingekuwa wanawapapatikia 😅Hawa watu ni tatizo sijui kww nini mtu akishaasoma biblia aya 2 basi ruksa kufungua kanisa
Huo mkwara aliutoa Russia(baba ake Irani), mara oo atakaye mpa siraha Ukraine naye atajumuishwa kwenye mgogoro, miamba ilimpa siraha na ilikuwa ikitaja na aina iliyompa. Alifanya nnIran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Migogoro ilianza wakati mtume anaumwa na alivyofariki ndo zikwa brutal battle na hazitakaa ziisheUnajua Saudi Arabia kuna propaganda inazieneza kwa kutumia madhheb ya Salafi kuhusu Iran na kinachoendelea ME.
Baada ya Iraq kuparaganyika Saudi Arabia anataka ukiranja mkuu wa waarabu wote hapo ME.
Tatizo la Saudi Arabia hana nguvu ya kijeshi, basi angalau ingelikuwa kwenye diplomasia kama Qatar inavyopambana kuweka mambo sawa Saudi Arabia yeye hashighuliki kabisa. Angalau angelikuwa anaongea ingeliwajaza nguvu wenzake.
Hii hatua kaichukua Iran kwa Saudi Arabia kwake hii ni bahati mbaya na anaona jinsi waarabu wengineo wanashawishika na ushawishi wa Iran kitu ambacho kwake ni hatari anaona anapoteza ukaka mkuu kwa waarabu wenzake.
Vurugu zote zinazotokea ni hapo ME Saudi Arabia na Uran ni kugombea ukiranja mkuu hapo ME.
Kama mlishindwa kuzuia kuanzishwa kwa taifa la israel mwaka 1946 ndo mfute mila zaoWalishakaririshwa hawa watu, daima wako upande wa wasio waislamu, isipokua baadhi wenye kujitambua, hata Qur'an imeshawazungumzia hawa watu, hawatakua radhi nasi mayahudi na Manaswara mpaka tufuate mila zao
Alisema wapi?Russia anatimiza ahadi yake alisema mkiisaidia Ukraine na yeye atasaidia maadui wa marekani na NATO na ndio anachokifanya kwa sasa.
Yemen sio MojaYemen ni Moja ndio maana hata juzi Marekan kasema Houth wasishambulie meli Ili aitambue kama Serikal halali. WEST na USA wakishindwa kutambua Serikali sio kwamba nchi imegawanyika. Hata Venezuela tumeona na tuliona.
Mbona mnapenda vita nyie watu?Kituo kinachofuata baada ya Beirut ni Tehran
Kwenye vita huwezi mpangia adui yako jinsi ya kupigana anachofanya iran ni kichekeshoAsichotaka Iran ni makombora kurushwa kutokea ndani ya nchi nyingine tofauti na Israel. Kwa mfano base za USA zilizopo Saudia zimshambulie Iran kutokea Saudia hapo Iran atashambulia Moja kwa moja makombora yalikotokea. Nadhani umeelewa.
Inabidi nitulie nije niandikie Why baada ya Ottoman kuanguka na vita za middle east zilizopo sasa zikaanza rasmi... I see wapi Watu wengi hamuangalii sababu ya Nchi za Mashariki zinapigana kila siku...Na Marekan kwa nn aliivamia 2002/2003 alikua anataka nini?. Je baada ya hio 2003 imetulia ?. Hata hio 1980 Marekan alikua anasapot nchi gani na kwa nini aliigeuka 2002?.
Kua na kiasi na uzungumze logic basi maana Kila mtu anaelewa nini kinaendelea na nini kilitokea.
Yemen sio moja acha ubishi wa kitotoYemen ni Moja ndio maana hata juzi Marekan kasema Houth wasishambulie meli Ili aitambue kama Serikal halali. WEST na USA wakishindwa kutambua Serikali sio kwamba nchi imegawanyika. Hata Venezuela tumeona na tuliona.
Hako ka kiwanja kanakopakana na Iraq, Saudia na Bahari kameshauzwa?Ayatollah aache kulia lia bila mpangilio. Asubiri kunyolewa kama mwenzie Nasrallah..
View attachment 3119621
Dunia kwako ni USA&WEST.Yemen sio Moja
View attachment 3120160
Hii ni Taarifa ya Al-Jazeeraa kuhusu Houthi na Yemen.
Yemen inaserikali inayotambulika Dunia nzima na kuna Kundi la waasi wa Kabila la Kishia kinaitwa Houthi ambao wanapokea Silaha nyingi sana kutoka Iran
Weiterleitungshinweis
www.google.com